Hao hamna jinsi, ni kuwapuuza maana najijua sina uvumilivu, hauwezi ukanitusi nikuache, nakupa za uso moja kwa moja, mimi sio wale watu wa thick skin, eti nivumilie maatusi. Sasa hapo ingeniletea permanent ban, maana humu nishapigwa ban. Wenyewe wamezoea kupigwa bans, ukiona wametoweka siku tatu ujue kalishwa ban, sema sijui kwanini mod hawawatishi na permanent kama walivyofanya kwangu. By the way yule Redeemer sijamuona akikesha huku siku tatu sasa, nafikiri kalishwa ban.
Cha msingi ni kupuuza kabisa, unamuacha anapita.....akikutusi hata kama hujajadili naye, toa taarifa awekwe pembeni siku tatu.