joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Kesi yoyote ya Jinai, aliyeshitaki ni Serikali, DPP ni wakili wa serikali, yeye ndiye anayeshitaki kwa niaba ya Serikali. DPP anaweza kufuta hayo mashitaka wakati wowote ule baada ya kushauriana na serikali/Mwanasheria MKUU.Umesoma na kuelewa kweli? Kwetu tunafuata katiba, rais haingilii mambo yaliyo mahakamani, hii ni kwa wale hawajashtakiwa, kama unajijua unakasoro sehemu, ujipeleke mwenyewe kabla issue yako haijafika mahakamani na uwe tayari kulipa mara tatu.
He said those who will come out before they are charged and are willing to return the money and apologise to wananchi will be considered in the plea bargaining.
Hivyo ndivyo katiba ya Tanzanian inavyosema. Kutokana na akili yenu ilivyo ndogo, mnadhani katiba yenu ya Kenya, ndiyo inayotumika Tanzania.