Kenya yafuata nyayo za Tanzania kwa wahujumu uchumi

Umesoma na kuelewa kweli? Kwetu tunafuata katiba, rais haingilii mambo yaliyo mahakamani, hii ni kwa wale hawajashtakiwa, kama unajijua unakasoro sehemu, ujipeleke mwenyewe kabla issue yako haijafika mahakamani na uwe tayari kulipa mara tatu.

He said those who will come out before they are charged and are willing to return the money and apologise to wananchi will be considered in the plea bargaining.
Kesi yoyote ya Jinai, aliyeshitaki ni Serikali, DPP ni wakili wa serikali, yeye ndiye anayeshitaki kwa niaba ya Serikali. DPP anaweza kufuta hayo mashitaka wakati wowote ule baada ya kushauriana na serikali/Mwanasheria MKUU.

Hivyo ndivyo katiba ya Tanzanian inavyosema. Kutokana na akili yenu ilivyo ndogo, mnadhani katiba yenu ya Kenya, ndiyo inayotumika Tanzania.
 
Hili ni jukwaa la kijamii kila mtu ana uhuru wa kujadili na anayetaka bila kushinikizwa, kuna wachache huwa nimewapuuza baada ya kuonywa na mods kuwa nitapata permanent ban.
Hiyo ilitokea wakati walianzisha matusi nikawa najishusha kwenye level yao nawajibu kwa matusi makali, nikatumiwa email na mods ya kuonywa ban ya kudumu, ili kujizuia, ikabidi niwe nawapuuza kabisa, maana hawawezi kujenga hoja kama watu wazima mbishane kwa hoja bila wao kuingiza matusi.
Acha kujitetea kwa kujenga hoja za kitoto, kwanini watu wengine wote wasiwe na matatizo nao iwe ni wewe peke yako?, hii inaonyesha ni jinsi gani ulivyo tofauti na watu wengine.

Tatizo lako wewe ulikua unahisi kwamba ndiye mtu mwenye uwezo wa kujenga hoja kuliko watu wote hapa, hao wote ambao umeamua kuwakasirikia, ni watu wenye uwezo mkubwa kukuzidi katika kujenga hoja, kwahiyo hawapendi kwasababu wana ku - out smart". Ukitaka kujua ukweli huu, tazama " idadi ya posts zao vs likes" ulinganishe na zako.

Hii tabia ya kudhani wewe ni bora kuliko watu wengine, ni tabia juu ya watu wenye tatizo "Mania". Moderator hawana muda mchafu wa kufuatilia mtu mmoja mmoja eti kumtumia private email " who are you here?".
 
MK254 alifanya jambo la busara kuwapuuza. You & other danganyikans always resort to insults once cornered mfano siku moja nilisema kwamba sijawahi sikia mtanzania yeyote anayefanyia serikali ya Kenya kazi nilitukanwa Malaya anayeuza tigo kwa sababu K imeisha utamu.
Geuza ulaliwe alizoea kunitusi uharo na hedhi, mie na mKE mwingine ambaye hapatikani humu siku hizi tukamnyoosha akanyooka sawasawa.
Wewe nawe ukibanwa sana unatusi wavyele wa watu,kwamba wanashikishwa ukuta.
Watanzania hawana maadili. Tunawafahamu vizuri sana
 
Hahahaha, Hahahaha. Mbona bado mpo na mawasiliano na Geza ulole?. Haiwezikani mtu mmoja peke yake ndiyo awe na matatizo na watu wengi.
 
MK254 alifanya jambo la busara kuwapuuza. You & other danganyikans always resort to insults once cornered mfano siku moja nilisema kwamba sijawahi sikia mtanzania yeyote anayefanyia serikali ya Kenya kazi nilitukanwa Malaya anayeuza tigo kwa sababu K imeisha utamu.
Geuza ulaliwe alizoea kunitusi uharo na hedhi, mie na mKE mwingine ambaye hapatikani humu siku hizi tukamnyoosha akanyooka sawasawa.
Wewe nawe ukibanwa sana unatusi wavyele wa watu,kwamba wanashikishwa ukuta.
Watanzania hawana maadili. Tunawafahamu vizuri sana
Wewe una tabia ya kutusi watu alafu ukirudushiwa tusi Unaanza kulia lia,
Nikupe tu taarifa popote utakapo toa tusi humu nitakula sahani moja na wewe.
 
Rais Uhuru akiingilia uhuru wa mahakama na kuamuru walioshtakiwa warejeshe hela na kurudi kitaani, hiyo siku unitag maana nitamsema hadi basi.
Mahakama zipi? Za Wenye nazo au za makabwela?
IMG_20191023_072137.jpeg
 
So far, chenye mmejenga ni low quality kuliko chenye tumejenga so stop making noise.
Hahahaha,
1)Electronic
2) Continues welded rail
3) 35 tonnes axle
4) 160km/h
5)Full automatic central control
6)10,000 tonnes per one train
7) Bullet trains
 
Na hata hiyo low quality iko wapi, hadi leo tunaskia wako maporini wanajenga, waliahidi itaanza kutumika Novemba, leo hii kimya.
 
Mkandarasi ameomba kuongezewa miezi 6 kutokana na matatizo yake, ila atailipa Serikali kutokana na ucheleweshaji wake, hilo ni kutokana na mkataba. Endeleeni kuandaa passport zenu kwa ajili ya kuja kupenda" the first bullet train in Africa".
 
Hahahaha,
1)Electronic
2) Continues welded rail
3) 35 tonnes axle
4) 160km/h
5)Full automatic central control
6)10,000 tonnes per one train
7) Bullet trains
What's the difference between electronic and electric? Which is electronic here, your rail or the trains?
It's good to learn a new thing everyday
 
MK254 alifanya jambo la busara kuwapuuza. You & other danganyikans always resort to insults once cornered mfano siku moja nilisema kwamba sijawahi sikia mtanzania yeyote anayefanyia serikali ya Kenya kazi nilitukanwa Malaya anayeuza tigo kwa sababu K imeisha utamu.
Geuza ulaliwe alizoea kunitusi uharo na hedhi, mie na mKE mwingine ambaye hapatikani humu siku hizi tukamnyoosha akanyooka sawasawa.
Wewe nawe ukibanwa sana unatusi wavyele wa watu,kwamba wanashikishwa ukuta.
Watanzania hawana maadili. Tunawafahamu vizuri sana

Hao hamna jinsi, ni kuwapuuza maana najijua sina uvumilivu, hauwezi ukanitusi nikuache, nakupa za uso moja kwa moja, mimi sio wale watu wa thick skin, eti nivumilie maatusi. Sasa hapo ingeniletea permanent ban, maana humu nishapigwa ban. Wenyewe wamezoea kupigwa bans, ukiona wametoweka siku tatu ujue kalishwa ban, sema sijui kwanini mod hawawatishi na permanent kama walivyofanya kwangu. By the way yule Redeemer sijamuona akikesha huku siku tatu sasa, nafikiri kalishwa ban.

Cha msingi ni kupuuza kabisa, unamuacha anapita.....akikutusi hata kama hujajadili naye, toa taarifa awekwe pembeni siku tatu.
 
Hahahaha,
1)Electronic
2) Continues welded rail
3) 35 tonnes axle
4) 160km/h
5)Full automatic central control
6)10,000 tonnes per one train
7) Bullet trains

1. Do you even know the meaning of electronic?
2. Ours is jointed, what's your point?
4. Show me a Tanzanian train moving at that speed. Ours are moving at 120kph and will increase when we electrify it.
5. Have you seen Kenya's central control? Please, post yours and we post ours and do the comparison.
7. Bullet trains? kkkk.............where are they? Show me one. 😂 😂 😂
 
So far, chenye mmejenga ni low quality kuliko chenye tumejenga so stop making noise.
Ingekuwa ni low quality ingebomoka mvua ilivyonyeesha majuzi kama hiyo yenu ioivyobomoka kabla hata ya kuanza kutumika.
 
Back
Top Bottom