Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Nimekupiga ban rasmi hadi wiki ijayo.Wewe Choko usitake kunitafutia Ban, unatafuta Bwana?
Vitu vingine ni busara tu, Mbona Ng'ombe hawachomi moto? Au hujasikia Ng'ombe wa Uganda walokamatwa?
Fuc.k off...
Mungu akusamehe maana hujajua unachosema n kitu gani [emoji87]Samahani kwa kutoka nje ya mada, lakini ningependa kuongea ukweli kuwa UKRISTO SIO DINI YA HAKI, NDOMANA WAKRISTO WOOTE WAMELAANIWA, UKIWAANGALIA WAKRISTO WENGI USONI WANA SURA MBAYA KA MATAKO,
Sure!Hawakuona eti haja ya kuvipima ,halafu wanasema wanazuia ugonjwa wa mafua hahahahahah kweli watendaji wa ccm akili kamasi tupu
Kama nawe ni muislam uislam hautaki kutukana miungu au dini za wengine kwani kufanya hivyo utasababisha itukanwe dini yako pia.Samahani kwa kutoka nje ya mada, lakini ningependa kuongea ukweli kuwa UKRISTO SIO DINI YA HAKI, NDOMANA WAKRISTO WOOTE WAMELAANIWA, UKIWAANGALIA WAKRISTO WENGI USONI WANA SURA MBAYA KA MATAKO,
Wewe jamaa unajiona nabii sana.
Ni kama mtoto mdogo akijisifia kuwa moja jumlisha moja ni mbili.
Vifaranga tu? Sisi omba omba wa kibongo wametuchafulia miji yetu lakini hata petroli tu hatujafikiria kuwamagilia.Kwani ndege haibadilishi gia ikiwa angani?
To hell with the EAC
CLEANSE TANZANIA OF LEECHY KENYANS AND THEIR INFESTED CHICKENS
Weka ushahidi wa nchi zinazoteketeza vifaranga kwa moto.Tumia akili acha ushabiki, nchi zote duniani zinatekeleza hiyo sheria ya kuteketeza vifaranga vikiingizwa nchini kinyume cha sheria zilizopo, peleka nchi zilizoendelea uone watakachokufanya, watavichoma na wewe mwenyewe uliyeviingiza pia watakuchoma, hiyo ni adhabu yenye lengo la kutoa ujumbe mkali kwa watu wengine kwamba wasijaribu kufanya hivyo.
wafukuzeni warudi kwao... mna waacha ina maana mna wapenda kwa kuwa mna watumia kama mradi wa biashara, mna wachukua kuja kufanya kazi ya omba omba... CItizen tv mbona wamereport na ina eleweka vizuri tu....Vifaranga tu? Sisi omba omba wa kibongo wametuchafulia miji yetu lakini hata petroli tu hatujafikiria kuwamagilia.
Kwanini wavipime? Tayari serikali imeshapiga marufuku tokea 2007 mpk leo ,kuvipitisha kinyemela ni kukwepa kupima kwa sab ni lazima vipimwe kwanza vinakotoka na anayesafirisha kwanini amekwepa kupima akapata kibali kwenye mamlaka za Kenya? Inaonyesha vina ugonjwa ndio maana akaviingiza kinyemela lkn vipimwe ili iweje kwa sababu nchi ilishapiga marufuku kwa kupambana na magonjwa mbalimbali ya mlipuko marufuku inasema kutokana na sheria no 17 ya 2003 vifaranga vya nyama vyote vinavyoingia kinyemela vinachukuliwa vinaumwa hivyo vinatakiwa kuteketezwa. Mpk sasa tokea 2013 vimeshateketezwa vifaranga vya nyama vilivyoingia kinyemela vipatavyo 67,000 na serikali inaendelea kuteketeza kwa mujibu was sheria mpk marufuku itakapoondolewa.Walivipima!?
Duh, hii siyo haki Mkuu... Mods plz ModeratorSamahani kwa kutoka nje ya mada, lakini ningependa kuongea ukweli kuwa UKRISTO SIO DINI YA HAKI, NDOMANA WAKRISTO WOOTE WAMELAANIWA, UKIWAANGALIA WAKRISTO WENGI USONI WANA SURA MBAYA KA MATAKO,
Ushahidi wa vitendo sio maneno, wewe peleka hivyo vifaranga ulaya, ukirudi utakuwa na ushahidi wa kutosha, jielimishe na usome ni jinsi gani miaka michache iliyopita nchi za ulaya na Amerika ya kusini walivyoteketeza mamilioni ya Nguruwe na Ng'ombe walipovamiwa na ugonjwa wa midomo na miguu wa wanyama, waliwachoma kama manyasiWeka ushahidi wa nchi zinazoteketeza vifaranga kwa moto.
Blah blah blah!Ushahidi wa vitendo sio maneno, wewe peleka hivyo vifaranga ulaya, ukirudi utakuwa na ushahidi wa kutosha, jielimishe na usome ni jinsi gani miaka michache iliyopita nchi za ulaya na Amerika ya kusini walivyoteketeza mamilioni ya Nguruwe na Ng'ombe walipovamiwa na ugonjwa wa midomo na miguu wa wanyama, waliwachoma kama manyasi
Mnataka kutumia hao omba omba ili Tanzania iwahurumie, kama ambavyo Kenya inajikomba kwa South Afrika kwa kuondoa viza kwa wananchi wa South Africa kama kigezo cha kuomba wakenya nao waondolewe viza kwenda South Africa, hata hivyo mumekataliwa, walijua mkiachiwa mtaenda kujazana huko.Vifaranga tu? Sisi omba omba wa kibongo wametuchafulia miji yetu lakini hata petroli tu hatujafikiria kuwamagilia.
MKUU! Yule mdada hakuingiza vifaranga vile kinyemela, alipita Getini akiwa na Gari, na lengo lake ni kufata process zote coz anasema alikua hajui kama kuna Zuio, kama angetaka kupita kinyemela asingepita Getini, angepita njia za Panya na wasingemkamata.Kwanini wavipime? Tayari serikali imeshapiga marufuku tokea 2007 mpk leo ,kuvipitisha kinyemela ni kukwepa kupima kwa sab ni lazima vipimwe kwanza vinakotoka na anayesafirisha kwanini amekwepa kupima akapata kibali kwenye mamlaka za Kenya? Inaonyesha vina ugonjwa ndio maana akaviingiza kinyemela lkn vipimwe ili iweje kwa sababu nchi ilishapiga marufuku kwa kupambana na magonjwa mbalimbali ya mlipuko marufuku inasema kutokana na sheria no 17 ya 2003 vifaranga vya nyama vyote vinavyoingia kinyemela vinachukuliwa vinaumwa hivyo vinatakiwa kuteketezwa. Mpk sasa tokea 2013 vimeshateketezwa vifaranga vya nyama vilivyoingia kinyemela vipatavyo 67,000 na serikali inaendelea kuteketeza kwa mujibu was sheria mpk marufuku itakapoondolewa.
Allah unayemwamini akusamehe wewe na kizazi chako. Hujui ulitendalo. Matako yameumbwa vizuri kwa mfano WA mtumeSamahani kwa kutoka nje ya mada, lakini ningependa kuongea ukweli kuwa UKRISTO SIO DINI YA HAKI, NDOMANA WAKRISTO WOOTE WAMELAANIWA, UKIWAANGALIA WAKRISTO WENGI USONI WANA SURA MBAYA KA MATAKO,
Ungetizama hiyo ripoti ya citizen vizuri ungejua ya kuwa hao wanaowaleta omba omba wa kibongo huku Kenya ni watz wenzao. Shida unakariri tu.wafukuzeni warudi kwao... mna waacha ina maana mna wapenda kwa kuwa mna watumia kama mradi wa biashara, mna wachukua kuja kufanya kazi ya omba omba... CItizen tv mbona wamereport na ina eleweka vizuri tu....
ni ujinga kulalamika alafu hauchukui hatua...