Kenya yamuita balozi wa Tanzania akafafanue sakata la vifaranga na kupigwa mnada kwa ng'ombe

Kenya yamuita balozi wa Tanzania akafafanue sakata la vifaranga na kupigwa mnada kwa ng'ombe

Samahani kwa kutoka nje ya mada, lakini ningependa kuongea ukweli kuwa UKRISTO SIO DINI YA HAKI, NDOMANA WAKRISTO WOOTE WAMELAANIWA, UKIWAANGALIA WAKRISTO WENGI USONI WANA SURA MBAYA KA MATAKO,
Aswa kama matako ya mama yako.
 
Ati crossborder grazing is norm. Wtf.
Wao kwao kukitokea crossfarm grazing wanapiga ng'ombe risasi, wanataka sisi tuwaachie wachunge tu.
Huyo balozi aende akawaambie facts na sheria husika za nchi,
undava undava.
 
Sasa kama Kenya hamna mashamba mbona ngombe wenu 4,000 sasa hivi tunawachemsha supu? Walikuwa wanafanya nini Kenya? Hivi hizi stori za vijiweni huwa mnazitunga mkiwa mmechapa mbege na bange au?
Na hii vp? Kwa taarifa yako kuna ng'ombe wasiopungua 100000 toka Kenya upande wa Loliondo mpaka Mwanga!
75af86fd12362dc081762769001186b6.jpg
 
Mshenzi wewe na ng'ombe 71 waliokamatwa Tara kea? Unafikiria sisomi ripoti kama wewe naongea ninachojua! Masai mara nzima na periphery yake iko mikononi mwa Wakikuyu wakiongozwa na Uhuru
Pumbavu kabisa we endelea kusoma 'ripoti' mimi naongea kuhusu kwetu nakokujua. Nilipozaliwa, Kajiado county kazi yako kubadilisha gia angani tu. Mara Taita Taveta,Mara Maasai Mara. Zote hizo hazipo Kajiado county. Useless, kumbe we msomi uchwara tu.
 
Unajua maana ya neno periphery? Kuna ng'ombe wamekamatwa Mwanga na wametokea Taveta
 
Wakenya bana,kutekeleza sheria zetu nako tuwaite tukae nao chini?
Rais ameshasema na nyie mkikuta ng'ombe wa watanzania washughulikieni kwa mujibu wa sheria zenu.
Yaani ng'ombe wa mkenya kula ale Tanzania?
 
Tunashakujua tunakufatilia .Soon tutakula ice cream na wewe
 
Pumbavu kabisa we endelea kusoma 'ripoti' mimi naongea kuhusu kwetu nakokujua. Nilipozaliwa, Kajiado county kazi yako kubadilisha gia angani .

Kwani ndege haibadilishi gia ikiwa angani?

To hell with the EAC

CLEANSE TANZANIA OF LEECHY KENYANS AND THEIR INFESTED CHICKENS
 
Una ushahidi.?
kwani vingerudishwa Kenya. Ingekuwaje.?
Mimi ni mtanzania.
Ila kutetea maovu kwa maslahi ya MTU mmoja na rafiki yake.
Bora nisiwe mzalendo
Tumia akili acha ushabiki, nchi zote duniani zinatekeleza hiyo sheria ya kuteketeza vifaranga vikiingizwa nchini kinyume cha sheria zilizopo, peleka nchi zilizoendelea uone watakachokufanya, watavichoma na wewe mwenyewe uliyeviingiza pia watakuchoma, hiyo ni adhabu yenye lengo la kutoa ujumbe mkali kwa watu wengine kwamba wasijaribu kufanya hivyo.
 
Samahani kwa kutoka nje ya mada, lakini ningependa kuongea ukweli kuwa UKRISTO SIO DINI YA HAKI, NDOMANA WAKRISTO WOOTE WAMELAANIWA, UKIWAANGALIA WAKRISTO WENGI USONI WANA SURA MBAYA KA MATAKO,
Wachache Sana'a kama yule
John anayeitwa yohana mbatizaji
Na mwenzake wa kitabu cha zaburi anaitw daudi
Bilaa kumsahau yule aliyekuwa anawatesa wenzake mpaka akaja kubadilika nadhan n Paulo
ASA wee unamanisha Nani?
 
Tuwekee huo ushahidi hapa na kingine kwanini? wawe wanateketeza kimya kimya kama ilikuwa halal
 
Sasa kama Kenya hamna mashamba mbona ngombe wenu 4,000 sasa hivi tunawachemsha supu? Walikuwa wanafanya nini Kenya? Hivi hizi stori za vijiweni huwa mnazitunga mkiwa mmechapa mbege na bange au?
Mimi ninadhani kama hao ng'ombe wa Tanzania wameingia Kenya bila kufuata taratibu, wapelekeni mahakamani na sheria ichukue mkondo wake, acheni kulalamika.

Pia muache unafiki nyie wakenya, kama ng'ombe wa wananchi wa Kenya zaidi ya 300 wanapigwa risasi na kuuliwa na askari wa Kenya, kwa sababu tu ya kuingia na kulishwa katika ardhi ya Kenya, vipi mnashangaa wanaopigwa mnada na Tanzania?, kumbuka tungeliweza kuwapiga risasi kama mlivyowafanyia hao wenu bila kufuata sheria yoyote au kuwa na roho ya imani
 
Bahati mbaya sana tuliojaaliwa ' maono ' na Mwenyezi Mungu tukishauri au kutahadharisha mambo humu tunaonekana ama ' wachochezi ' au ' wapinzani ' tusio na ' uzalendo ' na nchi ya Tanzania. Jicho la GENTAMYCINE ambalo siku zote huwa halikosei lilishaona ' hatari ' hii ya ' Kidiplomasia ' mapema mno. Ninachojua ni kwamba ' on the ground ' kabisa hali si nzuri na pasipochukuliwa ' jitihada ' za haraka ' kitanuka ' very soon. Yangu macho tu!
 
Hamna haja ya kupima pumbavu wewe! unga wa Azam ulipimwa?
Wewe Choko usitake kunitafutia Ban, unatafuta Bwana?
Vitu vingine ni busara tu, Mbona Ng'ombe hawachomi moto? Au hujasikia Ng'ombe wa Uganda walokamatwa?
Fuc.k off...
 
Kuna Mzee mmoja wa kihindi nilikuwa naongea nae. Yeye ameishi inchi nyingi za Africa. Alisema wakenya hawawapendi kabisa watz. Wanatuchukia sana. Akadai sababu kubwa ni walikuwa wanautaka mlima Kilimanjaro.
Mwambie huyo mhindi ni mpumbavu. Arudi kwao india wakapiganie jimno la kashmir
 
Bahati mbaya sana tuliojaaliwa ' maono ' na Mwenyezi Mungu tukishauri au kutahadharisha mambo humu tunaonekana ama ' wachochezi ' au ' wapinzani ' tusio na ' uzalendo ' na nchi ya Tanzania. Jicho la GENTAMYCINE ambalo siku zote huwa halikosei lilishaona ' hatari ' hii ya ' Kidiplomasia ' mapema mno. Ninachojua ni kwamba ' on the ground ' kabisa hali si nzuri na pasipochukuliwa ' jitihada ' za haraka ' kitanuka ' very soon. Yangu macho tu!
Wewe jamaa unajiona nabii sana.
Ni kama mtoto mdogo akijisifia kuwa moja jumlisha moja ni mbili.
 
Back
Top Bottom