swissme
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 13,663
- 19,894
Je kwanini wasingevirudisha vilikotoka ili na upande mwingine walidhike?Jamani uzalendo ni muhimu. Vile vifaranga vilikuwa vigonjwa na hamna namna nyingine ya kutreat viral case.
Swissme
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je kwanini wasingevirudisha vilikotoka ili na upande mwingine walidhike?Jamani uzalendo ni muhimu. Vile vifaranga vilikuwa vigonjwa na hamna namna nyingine ya kutreat viral case.
Peleka ujinga Azam wheat flour imezuiwa hata kabla ya uchaguzi! Migogoro ya Loliondo imekuwapo tangu Kikwete akiwa Rais na NGOs za Kenya zilikuwa ziki-promote conflict! Tour vans zilifungiwa kipindi cha JK, Magu hataki upuuzi!Mkuu hebu fafanua kwa kina tatizo lipo wapi hasa? Na kwa nini litokee baada ya Raila swahiba wa rais wetu kushindwa Urais?
Pls fafanua bila kupendelea.
Wanapoteza muda wao.Kenya now expresses anger against Magufuli's tough actions towards Kenyans
Kenyan govt angry after Magufuli burns over 6,000 chicks,sells cattle confiscated from Kenyan herders
ATTACH=full]626029[/ATTACH]
All its an diplomatic issues broSo what!? Mnavunja sheria na kanuni za Nchi yetu halafu mnataka tuwachekee tu. Mmezoea UNYANG'AU .....your game is up. It's either you (Kenyans) follow our country's Rules & Regulations (abiding by the Law) or F#%K OFF! God bless Tanzania and its People.
Hahaha au watiwe moto tuFanyeni mnachotaka wajinga nyie! Kuna wengine 9000 wamekamatwa aidha fine ama tunapiga mnada! Land south of Tanzania-Kenya border is Tanzania’s territory!
Ngoja aje maana amepanic sanaMkuu hebu fafanua kwa kina tatizo lipo wapi hasa? Na kwa nini litokee baada ya Raila swahiba wa rais wetu kushindwa Urais?
Pls fafanua bila kupendelea.
Duh we mkuu mkali. Allow the diplomats to meet and talkPeleka ujinga Azam wheat flour imezuiwa hata kabla ya uchaguzi! Migogoro ya Loliondo imekuwapo tangu Kikwete akiwa Rais na NGOs za Kenya zilikuwa ziki-promote conflict! Tour vans zilifungiwa kipindi cha JK, Magu hataki upuuzi!
Unaongea pumba ww...Wa tz wengi tuna nufaika na huu urafiki wa kenya ..nenda sehem kama namanga uone biashara wanavyofanya Wa tz na wa kenya....haya mambo ni ya kukaa na kuyatatua kidiplomasiaSo what!? Mnavunja sheria na kanuni za Nchi yetu halafu mnataka tuwachekee tu. Mmezoea UNYANG'AU .....your game is up. It's either you (Kenyans) follow our country's Rules & Regulations (abiding by the Law) or F#%K OFF! God bless Tanzania and its People.
I understand mkuu. But Kenyans are not "Angels" and fair players when it comes to EAC economy. Wametuchezea sana hao jamaa....sasa hivi wamekutana na Chuma ndio maana wanalialia.All its an diplomatic issues bro
Kama unaona ni pumba si uchanganye na Viroba unywe. Pathetic creature!Unaongea pumba ww...Wa tz wengi tuna nufaika na huu urafiki wa kenya ..nenda sehem kama namanga uone biashara wanavyofanya Wa tz na wa kenya....haya mambo ni ya kukaa na kuyatatua kidiplomasia
Mbona vifaranga tulipiga moto mkuu!?Heri kupiga mnada kuliko kuchoma viumbe hai aisee
Well said bossUnaongea pumba ww...Wa tz wengi tuna nufaika na huu urafiki wa kenya ..nenda sehem kama namanga uone biashara wanavyofanya Wa tz na wa kenya....haya mambo ni ya kukaa na kuyatatua kidiplomasia
Hahaha chumaI understand mkuu. But Kenyans are not "Angels" and fair players when it comes to EAC economy. Wametuchezea sana hao jamaa....sasa hivi wamekutana na Chuma ndio maana wanalialia.
Mnhhh!!!So what!? Mnavunja sheria na kanuni za Nchi yetu halafu mnataka tuwachekee tu. Mmezoea UNYANG'AU .....your game is up. It's either you (Kenyans) follow our country's Rules & Regulations (abiding by the Law) or F#%K OFF! God bless Tanzania and its People.
Dah hata Mimi nashangaa mkuuMnhhh!!!
Povu lote hili!!???
Chukua kafulie kamanda.Mnhhh!!!
Povu lote hili!!???
Mkuu mwanaume hanaga mishasho, au ni Dada indirect may be...Chukua kafulie kamanda.