Kenya yapata upenyo: Tanzania yajisalimisha tena mikononi mwa Kenya

sasa uchaguzi na kuchukowa kuna mahusiano gani. wewe ulitegemea watu wote mil 60 wampende. hamna cha dini, jinsia wala kabila. nature ndio ipo hivyo. amechukiwa gadafi ambae kila kitu alitoa bure kwenye nchi yake sembuse samia mkuu.
Na mama atatimua mamluki wa magufuli wote kwenye serikali yake, kenge nyinyi, na yule mpwawe D.jems hana muda segerea inamuhusu
 
maluweluwe mnayo nyinyi mnaoamini baada ya kifo cha mwamba wasukuma wanahangaika[emoji1787][emoji1787].
Kalifufueni sasa, ye si mnasema mwamba,mbona kala kichapo cha mungu,, naona bashite anawanunulia bando mumtukane Rais mitandaoni, mwambie nae faili lake lipo mezani
 
Kalifufueni sasa, ye si mnasema mwamba,mbona kala kichapo cha mungu,, naona bashite anawanunulia bando mumtukane Rais mitandaoni, mwambie nae faili lake lipo mezani
kichapo cha mungu ambacho hata wewe mganga njaa utachapwa[emoji23][emoji23].hicho ni kichapo au mfumo wa maisha??

tunajua hasira zinazidi kuwapanda sababu hamuoni dalili ya mama kuwabeba,hata baada ya kushangilia kifo cha jpm mat@ko wazi[emoji38][emoji38].
 
Mwendazake alikuwa ni shetani mkuu,, zamu yenu kuonja machungu safari hii k.enge nyinyi,
machungu gani sasa unazungumzia!!!

machungu wanayo waathirika wa mwendazake maana hata baada ya kufariki,bado wanashughulika[emoji23][emoji23].sijui imekaaje kisayansi hii.
 
..hivi kwanini mnamchukia Rais Samia?
Binafsi simchukii ila akikosea kujifanya anaratibu njia yake as hakuwa makamu wa rais wa late Pombe na kuendeleza agenda walizozinadi wakati wa kampeni na kuzinawilisha kwa jamii hapo lazima achukiwe.

Elewa, huyu rais siyo wa kuchaguliwa na wananchi bali ni rais wa kurithi kutoka kwa aliyekuwa boss wake (kikatiba)

Papo kwa papo akienda kwa njia atakayoambiwa achana na kuisimamia nchi fanya yako 'NITAMCHUKIA'
 
perfect explanation. imekaa sawa hii kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…