Kenya yapata upenyo: Tanzania yajisalimisha tena mikononi mwa Kenya

Chadema mmeanza, nani kamchukia? Kusema ukweli iwe nongwa
Chadema ni tatizo kubwa sana katika nchi hii. Ni waongo,wachonganishi,wazandiki na wanafurahia nchi ikipata matatizo. Tangu wafurahie magaidi ya Kibiti kuua watu sina hamu nao kabisa.
 
Kenya sio rafiki,hajawahi kua rafiki.put on your school uniform urudi shule huenda ukaelewa
Waafrika ni marafiki na ni ndugu hivyo ndivyo tunavyohubiriwa Na CCM au Leo wimbo ni mwengine??
 
Chadema ni tatizo kubwa sana katika nchi hii. Ni waongo,wachonganishi,wazandiki na wanafurahia nchi ikipata matatizo. Tangu walifurahia magaidi ya Kibiti kuua watu sina hamu nao kabisa.
Mbona Nyinyi mnafurahia kuuwa watu Zanzibar?
 
Bado uko kwenye hangover ya siasa za dhalimu, acha watu wafanye biashara, ww baki unalinda kaburi hapo chattle.
 
Nimeona Uhuru ameruhusu mahindi kuuzwa Kenya inaonyesha aflatoxin imeisha!
 
Pumbavu kabisa
 
Duniani ya sasa itaongozwa na watu wenye brain na sio wale wenye mawazo ya uwoga na fear of unknown!
 

amechukua uchumi from $48.5B to 63B so uchumi umekufaje apo? are you mentally fit?
 

ebu niambie how do we write (~70B) in monetary words kwanza
 
Acha ujinga wewe. Hakuna nchi inayoishi bila kutegemeana na wenzake? Shetani wewe. Unajodai una madini wakati bila wazungu hizo ni kokomo za kuchezea mdako tu???
 
Inamaana mwananchi wa kawaida tena wa Jamii Forums anaweza kuyajua haya afu watu wa system wanaomshauri Rais na Rais wasiyajue? Au Rais kaamua kutufanyia roho mbaya tu.
 
Mimi hapo walipo tia Dole kwenye gesi wakati Dangote hana gesi pale Mtwara nikashindwa kuelewa.
Na gesi Iko ntwara !!! Yaani wa mtwara inapopatikana gesi hajapata bado unasainiwa mkataba wa kumpelekea wa mombasa ! Sasa hao wawekezaji tunawajengea rassura gani ? Au labda kuna wengine hatujaelewa mahali... Maana tangu waitwe wawekezaji waliojitokeza kwa pupa ni kama wale wa tani moja kule baharini iliyogeuka ghafla kilo kadhaa !!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…