Kenya yapewa msaada wa chakula na USA

Honestty unacheka nini lakini?

Au umeshiba๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
"Wanaohitaji condom ni wale walioshiba"

Tanzania tumeshiba na tunashiba kila siku hivyo zinahitajika kwa sana!

Hawa majirani hawana chakula na mmojawapo ni MK254 .

Lazima waelewe mficha uchi hazai, wangetufungukia tu tuwalishe chap hisia ziwarudie upya!
 
Mmeshiba mihogo sio...
Mmepewa condom ndio mpunguze kuzaana, mamake mkishapiga ugali wa mhogo mnajiskia muongeze dunia tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatukuwaomba, wameleta wenyewe jomba[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sijui ndio waonekaniwe na wao katika miradi..
Aibu ni ile hukuomba condom lkn unaletewa

Sent using Jamii Forums mobile app
Aibu sana, miaka 60 baada ya kupata Uhuru, bado nchi wananchi wanakufa kwa njaa, nchi haina uwezo wa kujilisha yenyewe. Hivi ni nchi gania hapa Afrika ambayo haina vita vya wenyewe kwa wenyewe lakini wananchi wanakufa kwa njaa na inapewa msaada wa chakuka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni nchi gani hapa afrika wana uwezo wa kujilisha wenyewe lkn bado wanapewa msaada wa madawati na condom

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ