Bro,, hakuna aliyeomba chakula hapo. Wamarekani wanajaribu kujikombakomba wenyewe ili tuwapatie deals kwa kupeana chakula kitakachopewa refugees kule KakumA.Kwa hiyo wakenya hela ya chakula mnanunua condom alafu mnaomba msaa da wa chakula?
Huo ni umalaya [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
na ukiwasikia hapa jukwaani wanavyojipiga vifua unaweza dhani wanakula msosi wa maana... kumbe ni utumbo wa bataYani asubuhi, mchana, jioni ni mihogo kwenda mbele[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza unaanzaje anzaje kula ugali wa muhogo bana..na ukiwasikia hapa jukwaani wanavyojipiga vifua unaweza dhani wanakula msosi wa maana... kumbe ni utumbo wa bata
Tulia ikuingie weweSoma vizuri hiyo sentensi uelewe ndiyo uilete hapa..........
Haina mashiko hiyo taarifa yako,maana ingekuwa ni jamii nzima ya eneo hilo sawa,huku siyo Turkana mkuu
Na bado pia hyo hyo dunia inajua km kenya ukanda huu ni babalao[emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Imekuingia hyo mchawi wa tandale[emoji1787][emoji1787]A starving babalao.
[emoji1787][emoji16][emoji3]
Eti mshiko[emoji1787][emoji1787]kwan unafikiria mihogo imeanza leo kuwaathiri watoto wa hko kwenuHaina mashiko hiyo taarifa yako,maana ingekuwa ni jamii nzima ya eneo hilo sawa,huku siyo Turkana mkuu
Inawapa nguvu ya kuwanga kumbe[emoji23][emoji23]Teh te te
[emoji3][emoji1787][emoji14][emoji13]
Ukigonga misosi na kushiba hamna [emoji382][emoji382] itakayo kulewesha.
Ila wewe uliyeshinda na kulala na njaa hapo korogosho, [emoji382][emoji382] kidogo tu chali.
Umeshiba tyr na nguvu ya kuandika umepata!Mmeshiba mihogo sio...
Mmepewa condom ndio mpunguze kuzaana, mamake mkishapiga ugali wa mhogo mnajiskia muongeze dunia tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, wazee wa Njaa.Eti mshiko[emoji1787][emoji1787]kwan unafikiria mihogo imeanza leo kuwaathiri watoto wa hko kwenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Story za vijiweni bana, eti watu wanaoishi ulaya[emoji23][emoji23]Hapo kenya ndio wanapokwama kwenye njaa. Halafu huwezi amini wana ardhi nzuri kweli unapoingia tu mpakani kutokea Tz namanga. Maeneo yote ya kajiado,ina mashamba makubwa makubwa hayaendelezwi eti ni ya watu wanaishi ulaya wenye nayo. Hata kukodisha tu wanashindwa?. Kazi kupiga domo
Sent using Jamii Forums mobile app