Kenya yapewa msaada wa chakula na USA

This is shameful! Huu ushenzi tuumalize 2022!
 
Hawa jirani zetu wanajimwambafai sana ila ukweli wana shida kubwa.


Hii tabia ninya watu wenye njaa.. kuna lori la bia lilidondoka , ndio nikajua wakenya shida kubwa ni tumbo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa nikiifikiria nchi ya Kenya na viongozi wake, ninakosa hamu ya chakula kabisa, hii ni nchi ya hovyo sana.

cc. Tony254
Mkikuyu- Akili timamu
Geza ulole


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu hii kenya kwanini isiunganishwe na tanzania iwe ni mkoa wa tanzania ili ifaidike na wingi wa chakula tulio nao,naona kwa hali walio nayo, mwaka 2025 mbali sana wakenya wote watakuwa wamemalizwa na njaa
 
Juzi tu mkenya kanigongea mlango nafungua namkuta ana bonge la bakuli kama beseni eti nimsaidie msosi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…