komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nemda juu ukangalie km ni nani aliyeanza ku drag mada[emoji14][emoji13][emoji14]
I can see your efforts of dragging me down to your ignorance and illiteracy.
Bye bye. I'm not of that calibre.
Kwa hiyo ni ya nani yale mashamba hayaendelezwi?. Yapo huko kajiado,ni makubwa makubwaStory za vijiweni bana, eti watu wanaoishi ulaya[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilijua tu ilkua hujui lolote kuhusu hayo mashamba..Kwa hiyo ni ya nani yale mashamba hayaendelezwi?. Yapo huko kajiado,ni makubwa makubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Njaa haitambui Kingereza
Naona unakiriri sana vya kijiweni?. Siku moja utasema mkeo wa kijiweni. (Tumekuambia fafanua ni ya nani hayo mashamba hayalimwi?) Kila mara mnalia njaa huku mna mashamba makubwa?. Umekazana kijiweni kijiweniNilijua tu ilkua hujui lolote kuhusu hayo mashamba..
Story za vijiweni hatari
Sent using Jamii Forums mobile app
Si kila mtu kenya mwenye shamba eti lazima alime...Naona unakiriri sana vya kijiweni?. Siku moja utasema mkeo wa kijiweni. (Tumekuambia fafanua ni ya nani hayo mashamba hayalimwi?) Kila mara mnalia njaa huku mna mashamba makubwa?. Umekazana kijiweni kijiweni
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwhyo hyo ikitokea tanzania hawato sukumaHawa jirani zetu wanajimwambafai sana ila ukweli wana shida kubwa.
Hii tabia ninya watu wenye njaa.. kuna lori la bia lilidondoka , ndio nikajua wakenya shida kubwa ni tumbo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtakufa njaa,ingali ardhi ipo lakini si kila ardhi lazima ilimwe. Ona sasa kila mwaka mnapewa msaada wa chakula
Wewe jamaa huna akili nzuri...HAHAHHAHANjaa haitambui Kingereza
Mihogo kwetu ndio chakula asilia, tukikosa ndio tunakula mahindi, uliza Rwanda kati ya mahindi na mhogo kipi kwao ni chakula kikuu?
Hapo umesema ukweli, kwakweli hili jambo ni aibu kubwa sana kwa KenyaThis is shameful! Huu ushenzi tuumalize 2022!
Huwa nikiifikiria nchi ya Kenya na viongozi wake, ninakosa hamu ya chakula kabisa, hii ni nchi ya hovyo sana.Hawa jirani zetu wanajimwambafai sana ila ukweli wana shida kubwa.
Hii tabia ninya watu wenye njaa.. kuna lori la bia lilidondoka , ndio nikajua wakenya shida kubwa ni tumbo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh!![emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mihogo kwetu ndio chakula asilia, tukikosa ndio tunakula mahindi, uliza Rwanda kati ya mahindi na mhogo kipi kwao ni chakula kikuu?
Sent using Jamii Forums mobile app