Kenya yapiga marufuku uingizaji wa gesi(cooking gas) kutoka Tanzania kupitia mipakani

Shida ni kwamba when we practice YOUR game ya protectionism mnalalamika

Si kunya anye kuku ila bata kaharisha...

Tanzania ikifanya kitu ni INFERIORITY COMPLEX ila Kenya ni BUSINESS....

EAC itakuwa na manufaa kama kila nchi itaamua kuwa kivyake ila kushirikiana katika masuala yatakayoinufaisha kila pande bila kutishia ustawi wake....

Kwa nini tung'ang'anie kufungua mipaka ilhali tunajua kuwa kwa hili Tanzania itapoteza zaidi kwa mlengo wa EAC lakini what will EAC compesate for our loss????....
NOTHING

Kila mwanachama ana cha kupoteza na cha kufaidi, sio Tz tu!
Siku zote angalia faida sana sana, kisha ujaribu kuiimarisha faida madhubuti,iwe mara 10 ya hasara/utakachopoteza, hiyo ndio siri ya kuijenga uchumi mkubwa.
Yaani specialization, chagua sehemu ambayo una comparative advantage, kisha tia bidii hapo hapo ili uiteke soko lote ikiwezekana bara lote hata ulimwengu wote,kwa mfano Mjerumani ana Mashine/gari...Msaudia ana Mafuta,Mchina ni bidhaa za kawaida,Mmarekani ni silaha na kadhalika.
Kenya anaiuzia dunia nzima maua pamoja na chai, Tanzania je?
Kila mwanachama awe na kinachombeba.
 
Umebring up point ya maana sana. Compensation mechanism for countries that will lose more than they will gain from integration. EU wanayo. Sisi huku ile protocol ya kuanzishwa soko la pamoja haisemi chochote kuhusu hicho kitu.
 
Kila mwanachama ana cha kupoteza na cha kufaidi, sio Tz tu!
Siku zote angalia faida sana sana, kisha ujaribu kuiimarisha faida madhubuti,iwe mara 10 ya hasara/utakachopoteza, hiyo ndio siri ya kuijenga uchumi mkubwa.
Yaani specialization, chagua sehemu ambayo una comparative advantage, kisha tia bidii hapo hapo ili uiteke soko lote ikiwezekana bara lote hata ulimwengu wote,kwa mfano Mjerumani ana Mashine/gari...Msaudia ana Mafuta,Mchina ni bidhaa za kawaida,Mmarekani ni silaha na kadhalika.
Kenya anaiuzia dunia nzima maua pamoja na chai, Tanzania je?
Kila mwanachama awe na kinachombeba.
Tunaongelea Jumuiya hapa. It is very obvious kwamba Tanzania has more to lose. Nashauri uanzishwe mfuko wa compensation & equalization wa EAC. Mbona hata wenzetu wa EU wanao?
 
Go and invade migingo island if you have the balls to do so...
mighty Kenya is no longer exist in our daily lives so,learn to live with a new reality........

Learn to have some senses
wote mliojibizaka kwa mlengo huu wa uhasama ni wapumbavu. kenya na tanzania hatuna uhasama wowote. kenya inajaribu kulinda raia wake na uchumi wake katika hatua hii. tanzania pia ingeweza kufanya hilo bila kulenga kuiumiza kenya. muwe makini kwa ujinga mnaopost
 
Kila mwanachama ana cha kupoteza na cha kufaidi, sio Tz tu!
Siku zote angalia faida sana sana, kisha ujaribu kuiimarisha faida madhubuti,iwe mara 10 ya hasara/utakachopoteza, hiyo ndio siri ya kuijenga uchumi mkubwa.
Yaani specialization, chagua sehemu ambayo una comparative advantage, kisha tia bidii hapo hapo ili uiteke soko lote ikiwezekana bara lote hata ulimwengu wote,kwa mfano Mjerumani ana Mashine/gari...Msaudia ana Mafuta,Mchina ni bidhaa za kawaida,Mmarekani ni silaha na kadhalika.
Kenya anaiuzia dunia nzima maua pamoja na chai, Tanzania je?
Kila mwanachama awe na kinachombeba.
Tunaongoza katika ufuta,tunazalisha maua pia lakini sisi hatujaegemea katika mazao ya kibiashara ila ya kilimo na kwa sasa watu ndo wanaanza kuwa na muamko wa kuzalisha kwa ajili ya export na processing for small industries....

mmekuwa mabepari kwa muda mrefu toka uhuru hivyo, private sector yenu ipo strong compared to ours which is still in growth phase...unategemea ni nani atamiliki uchumi wetu kama mabepari waliokubuhu wataachwa wazagae katika wajamaa

Comparative advantage is not achieved over a night,it takes a long process as Nyerere once said that you can not develop people but you must help people to develop themselves so, nurturing the growing SME's is our own goal and exposing them to the intensive competition will do much harm to our economy lether than good

yap tunatakiwa kujiweka katika pahala pa kupata faida na ninakushukuru kwa kuelewa hilo ila kwa sasa hatuoni hiyo faida hata tukiingia jumla so,why should you push us

Uganda,rwanda na burundi hawana say maana ni landlocked countries lakini subiri reli ya kenya na Tz zikamilike ndipo utaona makucha yao.. rejea suala la kuchagua route ya bomba la mafuta ndo utajua true colours ya waganda
 
gesi inayozungumzwa hapo ni ile inayotoka nje ya tanzania, kuptita dar es salaam port au tanga na kupenyeza kenya. huenda hata hapa tanzania inapita kinyemela. sehemu kubwa ya gesi tunayotumia majumbani hapa tanzania inatoka nje ya nchi bila shaka

Hilo hawalioni hawa ma saint kayumbaz!
Tanzania pia itafaidika kwa kuuzuia biashara haramu ya gesi inayoingizwa kupitia bandari zake.
 
wote mliojibizaka kwa mlengo huu wa uhasama ni wapumbavu. kenya na tanzania hatuna uhasama wowote. kenya inajaribu kulinda raia wake na uchumi wake katika hatua hii. tanzania pia ingeweza kufanya hilo bila kulenga kuiumiza kenya. muwe makini kwa ujinga mnaopost
Umeona uhasama Wapi katika chapisho langu halafu ADA YA MJA HUNENA MUUNGWANA NI KITENDO... je wewe umeonesha uungwana kwa kuwaita watu wapumbavu

Hivi wewe unajua hata kinachoendelea katika umoja huu wa nchi hizi za Afrika ya mashariki na je,umeona kauli zilizotolewa na authority zao kuwa ni bora kidiplomasia!!!!!!!......

nimekujibu kwa staha ila si kwamba unastahili ila ni kwa kuwa nilifunzwa stara hasa kwa watu nisiowajua
 
What the government did.. Sioni shida nayo I wonder how tz are going to hit back
Najua Profesa Nkenda atajibu mapigo, na sie tutatafuta any product ambayo kwao ina faida tutazuia tu
 
Back
Top Bottom