Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Huwa siwataki hata kuwasikia hawa wabinafsi.Upo sawa
Hatuwahitaji sana wakenya
kuliko wao wanavyo tuhitaji.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa siwataki hata kuwasikia hawa wabinafsi.Upo sawa
Hatuwahitaji sana wakenya
kuliko wao wanavyo tuhitaji.
Habari yako haina chanzo ni mawazo yako tu,gesi inayotumika majumbani haijawahi zalishwa Tanzania, gesi ya kupikia ni nzito sana ndio maana haiwezi lipuka hovyo ikivuja inatapakaa chini,gesi inayozalishwa mtwara ni nyepesi na haiwezi tumika kupikia katika mfumo unaotumika sasa, hivyo hakuna gesi ya kupikia inayozalishwa Tanzania labda useme urahisi wa bei tofauti na Kenya ndio umesababisha wakimbilie gas ya huku,nimetumia lugha nyepesi kuelezea sikuingia kwenye lugha za organic chemistry.
Tunaongoza katika ufuta,tunazalisha maua pia lakini sisi hatujaegemea katika mazao ya kibiashara ila ya kilimo na kwa sasa watu ndo wanaanza kuwa na muamko wa kuzalisha kwa ajili ya export na processing for small industries....
mmekuwa mabepari kwa muda mrefu toka uhuru hivyo, private sector yenu ipo strong compared to ours which is still in growth phase...unategemea ni nani atamiliki uchumi wetu kama mabepari waliokubuhu wataachwa wazagae katika wajamaa
Comparative advantage is not achieved over a night,it takes a long process as Nyerere once said that you can not develop people but you must help people to develop themselves so, nurturing the growing SME's is our own goal and exposing them to the intensive competition will do much harm to our economy lether than good
yap tunatakiwa kujiweka katika pahala pa kupata faida na ninakushukuru kwa kuelewa hilo ila kwa sasa hatuoni hiyo faida hata tukiingia jumla so,why should you push us
Uganda,rwanda na burundi hawana say maana ni landlocked countries lakini subiri reli ya kenya na Tz zikamilike ndipo utaona makucha yao.. rejea suala la kuchagua route ya bomba la mafuta ndo utajua true colours ya waganda
Tukizuia nafaka kwenda kenya hawa jamaa watateseka sanatutaacha kuwapa mahindi
Unaamnisha nini kwa kusema ,,We"? Je ni Muzungu ambaye anamliki Kenya, Ni Kenyata familly? Ni Kikuyu? Au ni nani? Kwa maana nijuavyo mimi hakuna kitu kama ,,we" Kenya!
nisameheUmeona uhasama Wapi katika chapisho langu halafu ADA YA MJA HUNENA MUUNGWANA NI KITENDO... je wewe umeonesha uungwana kwa kuwaita watu wapumbavu
Hivi wewe unajua hata kinachoendelea katika umoja huu wa nchi hizi za Afrika ya mashariki na je,umeona kauli zilizotolewa na authority zao kuwa ni bora kidiplomasia!!!!!!!......
nimekujibu kwa staha ila si kwamba unastahili ila ni kwa kuwa nilifunzwa stara hasa kwa watu nisiowajua
Ya Mtwara haikubali kujazwa kwenye mitungi inafoka sana! hahahahGesi yetu ya mtwara haiwekwi kwenye mitungi labdawajuzi watafafanua
akijibu kwa staili unazopendekeza wewe atakuwa hafai kuwa kiongozi wa nchi hii.Najua Profesa Nkenda atajibu mapigo, na sie tutatafuta any product ambayo kwao ina faida tutazuia tu
Si ndo hapo brother...Umebring up point ya maana sana. Compensation mechanism for countries that will lose more than they will gain from integration. EU wanayo. Sisi huku ile protocol ya kuanzishwa soko la pamoja haisemi chochote kuhusu hicho kitu.
Mimi kama Mkenya. We should invade your country.Unaamnisha nini kwa kusema ,,We"? Je ni Muzungu ambaye anamliki Kenya, Ni Kenyata familly? Ni Kikuyu? Au ni nani? Kwa maana nijuavyo mimi hakuna kitu kama ,,we" Kenya!
Mimi kama Mkenya. We should invade your country.
Hawa watu wako na false information about Kenya.Hivyo ndivyo hao maCCM wakomunisti wenu wanavyowadanganyaga!..hahah!
I am a Kenyan. What are you? A Tanzanian ama mSkuma ama mChagga?Hakuna kitu kama ,,We" Kenya, labda useme wewe ni Kenyata familly, Muzungu au sijui Pokot, lkn siyo Kenya!
nisamehe
huenda ni kweli kuna mambo hayaendi sawa lakini kusema eti nchi moja ivamiwe itawaliwe na kujadili kwa mtindo huo wa uhasama haikubaliki. inashtusha watu kuona kama tanzania au nchi zingine africa mashariki zinapoteza sana kwa kenya.
I am a Kenyan. What are you? A Tanzanian ama mSkuma ama mChagga?
Nilitaka kumuonesha kuwa nchi yao haina jeuri hiyo na ajifunze kuwa humble... there was nothing wrong with it unless you tell me where i went wrongnisamehe
huenda ni kweli kuna mambo hayaendi sawa lakini kusema eti nchi moja ivamiwe itawaliwe na kujadili kwa mtindo huo wa uhasama haikubaliki. inashtusha watu kuona kama tanzania au nchi zingine africa mashariki zinapoteza sana kwa kenya.