Kenya yatangaza kutopokea mahindi Tanzania na Uganda


Katika hili soo la mahindi Kenya wametuchokoza kibiashara.

Ati mahindi ya Tanzania yana sumu ya uoto- Aflotoxins yaweza kuwa kweli lakini lilivyotumika inaelekea kuna kitu nyuma ya pazia.
Shirika tu haliwezi kuzuia biashara kati ya Kenya na Tanzania.

Kwa mtaji huo sasa, kama shirika tu laweza simamisha biashara kati ya mataifa, nawahimiza TANROADS WAZUIE YALE MAGARI MAZITO YA KENYA ,TOKA ZAMBIA ,YANAYO HARIBU BARABARA ZETU.
 
Endeleeni kuchoma vifaranga vyao
 
hawa wa Afrika wa kenya bhana hawaishiwagi vituko
 
Tunapanda mahindi wenyewe na pakiwa na upungufu tunaweza kuagiza kutoka Mexico. Nyinyi hatuwahitaji sana.
Nunueni kutoka mexico kisha mtakosa nguvu za kiume tutakuja kwazalishia wake zenu.
Kwani shida iko wapi?
 
Hey buda, Hakuna kitu kama hatutaki mahindi yenu and all nonsense, it's about fair trade..
If your corrupt authorities try to play protectionism please be reminded that Tz is your inevitable market for lots of Kenyan products.. kama na Authorities za Tz zikisema hatutaki bidhaa hizi na hizi toka Kenya sababu hazina standards you'll see how things coming around.
 
Boss, unataka tule mahindi yenye sumu ndio nini ifanyike? At least hatujayachoma kama mlivyochoma vifaranga alafu munalialia. Umesahau mlipokataa peremende za Kenya? Mnajifanya mnatulisha alafu kitu kidogo kama hiki kinawatia wasiwasi? Najua mnaumia jinsi Bei ya bidhaa ilivyoporomoka tulivyoanza kuagiza mahindi Zambia. Ambieni Magu aache ubabe kwa biashara. Ni nyinyi mnaoumia.
 
Mkuu mbona hamjawahi hata kutuanzishia thread,yaani hao watafiti wametuacha tunakufa kimya kimya kumbe wanajua?

Bora umejifungae macho napunguza kula mahindi la sivyo nachanganya na muhogo au mtama maana umetutisha boss
 
Kwanza njugu huwa ina aflatoxin sana hata kushinda mahindi ikiwa hutoihifadhi kwa njia inayostahili. Halafu wazungu wakipima wapate aflatoxin hata kidogo tu basi mzigo wako unakataliwa.
Njugu ndio nini mkuu
 
Siyo kweli, Wakenya waliacha kitambo kutegemea mahindi ya Tz wakawa wanachukua Zambia, toka hapo bei yetu ikaporomoka kutoka 1000/kg mpaka 300[emoji22]
Na huu ndio ukweli mahindi ya mwaka Jana Bado yamejaa kwenye mastoo na msimu mpya umefika,nilidhani serikali ilizuia kuuza mahindi nje kumbe biashara ilikuwa inaendelea ila soko ndio limedoda

Mwaka huu mahindi ni mengi kuzidi mwaka Jana sasa sijui wakulima watafanya nini

Ifike mahali serikali ihimize utunzaji bora na kilimo bora cha Mazao ya nataka Ili kujihakikishia soko la kimataifa la sivyo umaskini utaenda kutamalaki
 
Wewe hakuna unapolima unakisemesha tuu,kama Kongo kuna soko zuri mahindi yamejaa nchini kwa nini yasiende huko? Huu mwezi hunia ni 35,000-40,000 kwa Rukwa hapa na ni mpakani na Congo na msimu wa mavuno unaanza tena inamaana mahindi mwaka huu yatauzwa sh.20,000-25,000 kwa gunia,umaskini utatamalaki hatari.

Nilipanga kununua mahindi sinunui tena bora nikomae na mpunga tuu
 
Lakini serikali inajua Sana uwepo wa hii wanaita sumu kuvu ndio maana wamejenga mavihenge yao Ili isaidie kukausha na kuyahifadhi bahati mbaya serikali huwa inanunua kiwango kidogo Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…