Kenya yazuia Unga wa ngano na Gas ya kupikia toka Tanzania

Hawa huwa najichekea tu
yaani tukijibu moja lazima watulie
 
Unachekesha wewe
unadhani Tanzania ni Burundi!!
Hawana huo uwezo na wala hilo halitupi taabu
nijuavyo mimi Tanzania ikilipa
Lazima Kenya Ilipuke kwa kilio
 

Wata tulia tu hawa
huko hatata fika watakuwa wamesha fyanta mkia
 
povuuuuuu.....tumesema tu hatutaki chakula cha bure kaeni nacho.sasa shida iko wapi hapa?????hehee
 
Una uhakika na hizi tuhuma ulizoweka hapa?
 
Waacheni hao wanatafuta kick ya kura za wafanyabiashara. Uchaguzi ukiisha watarudi kwa S.T.P.
 
Hatutaki shobo za kijinga.
Jino kwa jino.
Ningekuwa Magufuli, ningepiga permanent ban ya KQ kukanyaga Tanzania.
Atleast utawala wangu upite.
Okay.....

Hakuna cha maana mtakayotimiza kwa mihemko. Hii sio njia bora ya kutupiku kibiashara.

Fanyeni yenyu, lakini Kenya always have different and employs effectively options to remain ahead.

Guess what, you will not overtake Kenya anytime soon, probably not till 2045. And definately not in this manner.
 
Hatutaki shobo za kijinga.
Jino kwa jino.
Ningekuwa Magufuli, ningepiga permanent ban ya KQ kukanyaga Tanzania.
Atleast utawala wangu upite.

Plus KCB, plus bidhaa za Unilever zote, hapo ni kwa kuanzia.
 
2045 mbali sana, trust me.
 
Hahahahahaha!! Jamaa wewe unadhani issue ni static siyo. Subiri utaona
 
We can cook with electricity. Grow our own maize and import from elsewhere. Please note that people in the rural areas have their own maize in granaries. There is a shortage of maize NOT FOOD
 
Mnalazimisha tukubali ngano yenu ya bure?Ntarudia tena,hatutakii chakula cha bure!hehe!Simwape wasudi kule Juba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…