Kenya: Zifahamu jamii mbili zenye nguvu nchini Kenya

Khaaaaa wahaya hahaaaaaa

1. Ni kabila pekee Tanzania linalotumia lugha tatu katika mawasiliano yaani kihaya,kiswahili na kiingereza kwa wakati mmoja yaani hata kama mtu hajasoma hata darasa moja ila kumsikia akisema actually, ok ,of course ni kawaida ...

Mfano wa sentensi ni "nshomire mpaka form four but no job".. (nimesoma mpaka kidato cha nne lakini hakuna kazi)

Usishangae kuona kuwa parachichi kwa kihaya ni evikado =avocado
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

2. Ni watu wazuri katika kujitambulisha Katika audience na sharti utaje status yako,hujitambulisha vyema hata katika vitu vigumu kwa mfano ...

Kuna muhaya alikuwa akifanya kazi motuary (mochwari) na wakati wa kujitambulisha kama mjomba wa bi harusi ukafika ..Alipopewa mic sasa "naitwa muganyizi .. Actually im attending wagonjwa walioshindikana kutibiwa na madaktari bingwa hospitali ya muhimbili..."
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

thread hii ni nzuri kwa kweli
 
Dah hapo ni kama ndo umeeleza kabisa wakikuyu walivo huku Kenya na nje ya nchi pia! Yaani sehemu zote hadi mvunguni mwa kitanda chako! Ebu check sasa hivi! 😀
 
Hiv ishu za makabila na tanzania ya viwanda wap na wap

Jesus loves u
tunayojadili humu yana asili vipi ukuaji wa tanzania ya viwanda?.

kama una capital ya kui-invest katika viwanda,nenda wizara husika utapewa maelezo.hakuna atakaye kuuliza kabila lako.

kumbuka hii ni kenyaforum sio yale majukwaa yenu ya kupiga porojo za kukosoa kila kitu kinachofanywa na serikali ya JPM.

pia kama utaona hii thread inavunja sheria za jf,fikisha malalamiko yako kwa moderators,wakiona hoja yako ina mantiki,wataifuta.
karibu tena.
 
Ni kweli kuna wahaya wana tabia mbaya, ila mkuu usigeneralise sana kuna watu wana roho pekee sana
Niliwahi kuishi na Mhaya mmoja kama roommate miaka ya 2002 -2005 na sikuona ana roho mbaya.Tuliishi vizuri sana na yule jamaa jina Mutashubilwa.
 
Eish ,mbona hawa jamii mbili kubwa zaidi Tz hawasikiki ama kuonekana? Quite the opposite na hawa jamii yetu waKikuyu wanaomiliki soft power na hard power .Ushawishi wanao mkubwa .
mfumo wa kiutawala tanzania ni wa kipekee sana.makabila makubwa kwa maana ya ukubwa wa idadi ya watu,hayakupewa nafasi ya kushika dola.

hii ilileta unafuu sana na inafaida kubwa kwa mustakabali wa nchi.

nyerere alitoka katika kabila dogo la wazanaki,kaskazini mwa tanzania.

mwinyi alitoka katika jamii ndogo ya waswahili wenye asili ya pwani ya tanzania

mkapa alitoka katika jamii ndogo ya kabila la wamakonde kusini mwa tanzania.

kikwete alitoka katika jamii ndogo ya wakwere,pwani ya tanzania.

magufuli ametoka katika jamii ya wasukuma.hata hivyo japo ni wengi kiidadi,haitarajiwi uwingi wao ulete athari katika umoja wa watanzania.
 
Hata kama ulitazama Kampeni ya Kenya utajua haya, uhuru alitumia sana kiswahili kwenye Kampeni zake, na mara zote amekuwa hivyo, Ila Raila full mzungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..awali ya yote,kuna baadhi ya vijitabia vya wajaluo vinashabihiana kwa kiasi kikubwa sana na vijitabia vya jamaa fulani toka kabila moja maarufu kaskazini magharibi mwa tanzania kando kando mwa ziwa Victoria..
Hahahahha...ngoja wenyewe waje, hahahaha🙂🙂🙂
 
Ushapata, ukoo wangu unatoka Israel kwa hiyo sura si ya kikenya!😀 Una mambo we dada, itakuwa wewe ni wale wa Rombo, nakualika ntakupokea pale Namanga nikutembeze mitaa ya Nairobee! Si hela umesema unazo?Hehe!

Kama ni wa Rombo itabidi ukampokee pale Loitokitoki ,maana anapitia Tarakea. Namanga ni kuzunguka sana labda kama yupo Arusha.
 
Wow ,thanks Kadoda11 this is very educative i didn't know all these details .It makes me look forward to the day our own Mmeru will occupy State House to govern Kenya .
 
Dah hapo ni kama ndo umeeleza kabisa wakikuyu walivo huku Kenya na nje ya nchi pia! Yaani sehemu zote hadi mvunguni mwa kitanda chako! Ebu check sasa hivi! 😀
Haha,wewe hujui hebu kuja hapa Gwinnett County uone vile waKikuyu wamejaa ni kama central province.Naskia kule upande wa Seattle Washington ni vile vile.
 
Haha,wewe hujui hebu kuja hapa Gwinnett County uone vile waKikuyu wamejaa ni kama central province.Naskia kule upande wa Seattle Washington ni vile vile.
wakikuyu wapo kila sehemu kenya.kuna wakati nilisafiri kwenda lodwar,kasikazini-magharibi mwa kenya.

wenyeji wa lodwar asilimia kubwa ni waturkana lakini kabiria biashara zote muhimu zinamilikiwa na wakikuyu.

mpaka lodge niliyo lala ilikuwa ni ya mkikuyu.hawa jamaa hawana tofauti na wachaga.

nasikia hata kisumu na kakamega kwa mahasimu wao wajaluo,wakikuyu wameji-establish sana kibiashara.
 
Wow ,thanks Kadoda11 this is very educative i didn't know all these details .It makes me look forward to the day our own Mmeru will occupy State House to govern Kenya .
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…