lelooo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2011
- 422
- 364
Kabila kubwa tanzania Wasukuma
Wanyamwezi na
Wachagga yanayoendelea sijui
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanyamwezi na
Wachagga yanayoendelea sijui
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Khaaaaa wahaya hahaaaaaaHehehe!! Unaogopa kutaja jamii ya Tanzania inayoshahibiana na Wajaluo wa Kenya kitabia
Wahaya wa Tanzania wanaendana na Wajaluo wa Kenya
Wachagga nao wapo kama Wakikuyu
Nimekaa na Wahaya Bongo, kuna mmoja muda wote alitaka tuongee Kingereza hata tukiwa maeneo ya hadhara wakati tunakula. Kila nikimuongelesha kwa Kiswahili ananijibu kwa Kingereza, ikabidi basi nibadilishe na kufuata anavyotaka. Jamaa alikua na tabia za 'impulse purchase' kila akipata hela, yaani ananunua vitu vya gharama bila kuvipangia mwanzo, kwamba hela zikimjia utaona ghafla hapo na hapo amewaza sofa set tena ghali sana.
Wachagga nao pia nimepiga deals nao sana, wale ilibidi nitumie Ukikuyu ulio ndani ya damu yangu ili kuendana nao, ni wajanja sana. Kwanza wamewekeza sana Nairobi.
Dah hapo ni kama ndo umeeleza kabisa wakikuyu walivo huku Kenya na nje ya nchi pia! Yaani sehemu zote hadi mvunguni mwa kitanda chako! Ebu check sasa hivi! 😀Wachagga wako kwenye kila kitu, kuanzia kupiga rangi viatu, kuuza karanga, kuuza supu, nyama choma, biashara ya bar, maduka, daladala, hardware,hotel, ndege, madini mpaka na ujambazi. Nadhani ukienda sehemu katika jamuhuri ya muungano wa Tanzania ukamkosa mchagga basi ondoka haraka sana hiyo sehemu.
tunayojadili humu yana asili vipi ukuaji wa tanzania ya viwanda?.Hiv ishu za makabila na tanzania ya viwanda wap na wap
Jesus loves u
Niliwahi kuishi na Mhaya mmoja kama roommate miaka ya 2002 -2005 na sikuona ana roho mbaya.Tuliishi vizuri sana na yule jamaa jina Mutashubilwa.Ni kweli kuna wahaya wana tabia mbaya, ila mkuu usigeneralise sana kuna watu wana roho pekee sana
Eish ,mbona hawa jamii mbili kubwa zaidi Tz hawasikiki ama kuonekana? Quite the opposite na hawa jamii yetu waKikuyu wanaomiliki soft power na hard power .Ushawishi wanao mkubwa .
mfumo wa kiutawala tanzania ni wa kipekee sana.makabila makubwa kwa maana ya ukubwa wa idadi ya watu,hayakupewa nafasi ya kushika dola.Eish ,mbona hawa jamii mbili kubwa zaidi Tz hawasikiki ama kuonekana? Quite the opposite na hawa jamii yetu waKikuyu wanaomiliki soft power na hard power .Ushawishi wanao mkubwa .
Hahahahha...ngoja wenyewe waje, hahahaha🙂🙂🙂..awali ya yote,kuna baadhi ya vijitabia vya wajaluo vinashabihiana kwa kiasi kikubwa sana na vijitabia vya jamaa fulani toka kabila moja maarufu kaskazini magharibi mwa tanzania kando kando mwa ziwa Victoria..
Ushapata, ukoo wangu unatoka Israel kwa hiyo sura si ya kikenya!😀 Una mambo we dada, itakuwa wewe ni wale wa Rombo, nakualika ntakupokea pale Namanga nikutembeze mitaa ya Nairobee! Si hela umesema unazo?Hehe!
Najua jombaa lakini haitakuwa ishu kwake! Alisema hela anazo! Hehe umenikumbusha, ngoja nikamfate pm!
Kama ni wa Rombo itabidi ukampokee pale Loitokitoki ,maana anapitia Tarakea. Namanga ni kuzunguka sana labda kama yupo Arusha.
nisome Kenya mie? kuna nn huko?Yaani Geza umesoma Kenya? Basi mbona hupendi Kenya hata kidogo?
Wow ,thanks Kadoda11 this is very educative i didn't know all these details .It makes me look forward to the day our own Mmeru will occupy State House to govern Kenya .mfumo wa kiutawala tanzania ni wa kipekee sana.makabila makubwa kwa maana ya ukubwa wa idadi ya watu,hayakupewa nafasi ya kushika dola.
hii ilileta unafuu sana na inafaida kubwa kwa mustakabali wa nchi.
nyerere alitoka katika kabila dogo la wazanaki,kaskazini mwa tanzania.
mwinyi alitoka katika jamii ndogo ya waswahili wenye asili ya pwani ya tanzania
mkapa alitoka katika jamii ndogo ya kabila la wamakonde kusini mwa tanzania.
kikwete alitoka katika jamii ndogo ya wakwere,pwani ya tanzania.
magufuli ametoka katika jamii ya wasukuma.hata hivyo japo ni wengi kiidadi,haitarajiwi uwingi wao ulete athari katika umoja wa watanzania.
Haha,wewe hujui hebu kuja hapa Gwinnett County uone vile waKikuyu wamejaa ni kama central province.Naskia kule upande wa Seattle Washington ni vile vile.Dah hapo ni kama ndo umeeleza kabisa wakikuyu walivo huku Kenya na nje ya nchi pia! Yaani sehemu zote hadi mvunguni mwa kitanda chako! Ebu check sasa hivi! 😀
wakikuyu wapo kila sehemu kenya.kuna wakati nilisafiri kwenda lodwar,kasikazini-magharibi mwa kenya.Haha,wewe hujui hebu kuja hapa Gwinnett County uone vile waKikuyu wamejaa ni kama central province.Naskia kule upande wa Seattle Washington ni vile vile.
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Wow ,thanks Kadoda11 this is very educative i didn't know all these details .It makes me look forward to the day our own Mmeru will occupy State House to govern Kenya .
Mnama karibu JF.Hiv ishu za makabila na tanzania ya viwanda wap na wap
Jesus loves u