joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Kumbuka 62% ya uchumi wa Kenya upo mikononi mwa watu 8300, je Wazungu waliopo Kenya hawafikii hiyo idadi?. 1% ya population ya Kenya ni watu laki 4.5, kama watu 8300 pekee wanamiliki 62% ya uchumi wote, je watu 450000 watamiliki % ngapi ya uchumi wote?. Kenya economy is the most ruthless economy in Africa, stupid Kenya.Cha kushangaza ni kwamba wazungu hawajafika hata 1% ya 'population' yote ya Kenya. Kwa hivyo hesabu yako ni ya kukariri tu kama ile ya 1,2,3 kwenye shule ya chekechea! Kijana, tembea ujionee kwa macho yako!
Hivi wewe unajitambua kweli?, kama uchumi wote upo mikononi mwa watu wachache na majority ya wananchi hawana kitu zaidi ya kutumikishwa na hao matajiri, kunafaida gani?. Duniani kote nchi zinapambana kuhakikisha kwamba uchumi unakuwa distributef fairly kwa wananchi wote, wewe unaleta maneno ya ulevi hapa jamvini.Kiuchumi hatuangalii idadi ya watu kuwa wingi ndo kumiliki asilimia kubwa ya uchumi ila tunaangalia who is the controller of the market
Shida hapa ni kuwa hata kama kenya uchumi wao unamilkiwa 90 percent na wazungu je faida wanayoipata wakenya inalingana na tanzania
Kumiliki 90 sio sababu ya nchi kuyumba kiuchumi kwa hata kidunia ni asilimia chini ya 10 ya watu ndio wanamiliki robo tatu ya uchumi wote wa dunia
Sera za nchi ndo kitu pekee kitakacho fanya nchi ifaidike na uchumi wake na sio kuangali sehemu moja tu
8,300 super-wealthy control two-thirds of Kenya’s economyMfano ni omba omba kutoka Tz walotapakaa kwenye miji ya Kenya. Afu kwa akili zenu mnasema wanatoroka utajiri kwenye nchi yao. Takwimu zinaonesha kuwa idadi ya maskini Tz ni kubwa kuliko Kenya. Lakini mtajuaje wakati mpo radhi kukomalia vijiweni mkila chipsi mayai na kubugia kahawa. Yaani watz kwa usingizi nawapa heshima. Hamjui kujituma wala kujinasua, nyie mmezubaa tu ndo maana Tanzanite tulizitafuna hadi basi.
Hivi lete facts za kulinganisha kenya na tanzania kwa hicho unachosema kuna tatizo kubwaHivi wewe unajitambua kweli?, kama uchumi wote upo mikononi mwa watu wachache na majority ya wananchi hawana kitu zaidi ya kutumikishwa na hao matajiri, kunafaida gani?. Duniani kote nchi zinapambana kuhakikisha kwamba uchumi unakuwa distributef fairly kwa wananchi wote, wewe unaleta maneno ya ulevi hapa jamvini.
Nchi inayosifika duniani kuwa na uchumi mzuri na bora ni Norway, kwa sababu tu uchumi vipato kati ya wananchi wake havitofautiani sana, kwamba uchumi umegawanywa karibu sawa kwa wananchi wote, Norway haina hata tajiri mmoja kati ya matajiri wakubwa 100 wa dunia. Huwezi kuwa na nchi yenye matajiri elfu 10 na masikini milioni 20 na ukaona sio tatizo. Kenya ni nchi yenye matatizo mengi yaliyosababishwa na kufuata ubepari kichwakichwa.
Unatapatapa tu huna unachozungumza, ni juzi tu Tanzania imeongoza nchi za kusini mwa sahara katika Inclusive economy, Kenya mnaongoza kwa gap lubwa la kiuchumi kati ya masikini na matajiri, kutokana na sera zenu mbaya za kibepari, Kenya imebaki kuwa na unemployment kubwa, slums nyingi na kubwa, idadi kubwa ya wananchi wasiopata maji ya kutumia, ukosefu wa chakula kwa wananchi wake, na insecurity, kuliko nchi zote hapa EA.Ujamaa, matokeo yake ni akili mgando. Hizi enzi za mtandao na vifurushi vya bei rahisi zitatufanya tujionee mengi. Acha nijitizamie kwa mbali hawa wataalamu wa majungu wakifanya yao! 🙂
Bado ninakupa nafasi kuona nikiamini unaweza kuwa ni mtu unayejua kile unachozungumza, ila nimeanza kuwa na mashaka na uwezo wako wa kuzungumza mada ngumu ngumu kama hizi, hasa pale ulipogusia kuhusu deni la Taifa la TZ, naomba unijibu kati ya Tanzania na Kenya ni nchi gani yenye deni kubwa na ambalo linaanza kuwa tatizo kwa uchumi wa nchi?Hivi lete facts za kulinganisha kenya na tanzania kwa hicho unachosema kuna tatizo kubwa
Haya tz ndo wazawa wanamiliki 90 percentage ni nini benefits ambazo zipo kuizidi kenya?
Je deni la taifa kati ya kenya na tanzania lipi liko juu
Kama deni la tz ni zaidi ya bajeti ya tz unawezaje kusema uchumi wa tz ndo bora kuliko kenya
In fact unaongea theoretical na dhama hizi sio za theoretical ni za practical
Samahani sana ndugu yangu, I think unazungumza na wrong person, tafuta mwenye uelewa wa level yako uweze kujadiliana naye, I am very sorry can't match with you[emoji125] [emoji125] [emoji125]Hadi mwaka 2016 kenya ilikuwa inadaiwa $37.08 na tanzania $ 16.74 (www. Coubtryeconomy.com)
Foreign exchange tz $1= tsh 2249.90
Kenya $1=ksh100.90
Ukiweka katika viwango ya thamani ya fedha kwa nchi husika kenya wanadaiwa ksh3.74trillion
Na tanzania tsh 37.6 trillion
Nani hapo yupo kwenye danger zone kati ya tz na kenya kulingana na bajeti ya nchi zao
Leta hiyo TakwimuMfano ni omba omba kutoka Tz walotapakaa kwenye miji ya Kenya. Afu kwa akili zenu mnasema wanatoroka utajiri kwenye nchi yao. Takwimu zinaonesha kuwa idadi ya maskini Tz ni kubwa kuliko Kenya. Lakini mtajuaje wakati mpo radhi kukomalia vijiweni mkila chipsi mayai na kubugia kahawa. Yaani watz kwa usingizi nawapa heshima. Hamjui kujituma wala kujinasua, nyie mmezubaa tu ndo maana Tanzanite tulizitafuna hadi basi.
Acha kutapatapa na kutafuta screenshot za kujitetea, juzi tu hapa umoja wa mataifa umeitangaza Tanzania kuongoza katika Africa kwa kuwa na the most Inclusive economy, umeanza kuweweseka kwa kuanza kutafuta taarifa za vichochoroni ili kujiliwaza.
Takwimu ziko wapi hizo za kuonesha Kenya inamilikiwa kwa asilimia tisini na wazungu. Hao wazungu pia majina yao nayangoja. Au ndo upo kwenye shughuli ya kutafuna minofu ya albino? Maliza fasta basi. Afu ukishashiba pitia ujumbe wa Kafrican hapo juu.Leta hiyo Takwimu
na uniambie lini kulitokea Mtanzania akaona heri Anyonge watoto wake
kuliko kufa na njaa
Au lin mtanzania Akategemea Maziwa ya Mbwa!!
Wewe ni Kichwa Maji kabisaCha kushangaza ni kwamba wazungu hawajafika hata 1% ya 'population' yote ya Kenya. Kwa hivyo hesabu yako ni ya kukariri tu kama ile ya 1,2,3 kwenye shule ya chekechea! Kijana, tembea ujionee kwa macho yako!
Un pia walisema 70% dar ni slumWewe ni Kichwa Maji kabisa
Hebu jiulize
Nairobi ina Watu 4ml
Na imezungukwa na Slum kila pande
bila kusahau Slum mbaya na za hatari Duniani zinapatikana Kenya!
hizo Slum zina zaidi ya wakenya 3ml
Nimoja ya picha inayo kuonyesha umasikini Kenya ni Mbaya sana kuliko taifa lolote Hapa EA
Wacha kugeuza madaTakwimu ziko wapi hizo za kuonesha Kenya inamilikiwa kwa asilimia tisini na wazungu. Hao wazungu pia majina yao nayangoja. Au ndo upo kwenye shughuli ya kutafuna minofu ya albino? Maliza fasta basi.
We Hujitambui kabisaUn pia walisema 70% dar ni slum
Hizi comment zako unaandikiwa na mtu mwingine au? Yaani hueleweki kabisa. Unabadilisha gia sana. Rudi kwenye zile mada zako za magaidi wenzako al-shabaab. Au tamaa yako ya kujilipua iliisha?Wacha kugeuza mada
Nshu hapa ni umasikini kati ya Tanzania na Kenya
lete hizo Takwimu zako
ulizo sema Kenya ipo vizuri kuliko Tanzania
Asilimia kubwa ya watz wanaishi kwenye slum. Asilimia ndogo iliyobaki wapo Kenya wakiombaomba. Acha ikuingie akilini ndo upate hasira ya kuenda kudai bikra zako 72!We Hujitambui kabisa
Lete Orodha ya Slum 100
Kama da imo nami nitakunywa maziwa ya mbwa kama wakenya