Kenyan economy is 90 % white dominated while Tanzanian economy is 80 localy dominated by Tanzanians

which international body has said whites dominate 90% of kenya????
Let's finish with Tanzania first, then shall turn to Kenya. Tanzania tops Africa in Economics inclusiveness, that means the economy in Tanzania is evenly distributed, compared to all other African countries.

If a country score very low in this scale, that means few people own big part of economy, can you please tell us the position of Kenya in Economics inclusiveness index?
 
Kaka tatizo wewe unaamini unachokielewa, na mimi ninaamini ninachokielewa, lazima awepo mtu wa tatu aliyepewa maalaka kisheria kuamua nani yupo sahihi, mimi na wewe kila mtu atatetea anachokiamini hatutofikia muafaka.

Duniani kuna mamlaka zilizopewa jukumu la kufanya tafiti za kiuchumi na kuzitangaza duniani kwa matumizi ya watu wote duniani, hizo mamlaka ndio mtu wa tatu kati yetu. Kama unataka huu mjadala uwe ni"Educative", basi tutumie data zao, Kama unataka ligi tu ya kubishana, basi tutumie vile tunavyojua sisi.
 
Unaona unavyojichanganya?, mimienimekuambia tutumie data za International bodies zilizopewa mamlaka, wewe unasema ninaamini data za serikali, kaka upo sawa kweli?,

Hao waliosema kwamba Tanzania inaongoza katika Africa katika "Economic inclusiveness Index" kwani ni serikali, au ni Forbes, soma kwanza ujue ni chanzo gani kimefanya huo utafiti, kisha ndio uhoji Kama ni credible au hapana, kamwe sijasema tuamini data za serikali ya Tanzania.
 

Wakenya kuna vitu huwa vinawauma sana,alafu kujifanya mnaweza wakati 0% mpaka leo unajua kwa nini east africa kuna baazi ya vitu mtasikia tu,mna mlicho na nacho mnapata support sana huku kujitangaza kuwa vinatoka kwenu mfano madini,utalii,kiswahili (alafu amjui kabisa),vyakula (eti ndizi made in kenya wakati mna nunua huku kwenda kuuza ulaya [emoji23]).

Njo na dada ako tuone kama hatarudi huku unafikili wote tunaishi kibela ,huku ukilala nje umependa toka moyoni.ardhi ya kumwaga na ichi ndicho mnalilia east africa lakini tulisha washitukia .acha kumponda baba yako hanaye kuwezesha kubadilisha sukuma wiki
 
Sasa kama unabishana na Sources za UN, basi wewe akili zako sio za safari hii, wewe unastahili utangulie kwenda kuishi katika sayari ya Mars peke yako kwasababu hukubaliani na jinsi hapa duniani na jinsi mambo yanavyoendeshwa.

Kaka wewe una akili nyingi sana, hapa duniani sidhani kama utaelewana na watu, kwasababu duniani data Za UN bodies ndizo zinazotumika, kama hata hao unawabishia, basi wewe sio mtu wa kawaida, wewe ukifa dunia inapaswa kuchukua ubongo wako na kuchunguza kipi cha ziada kipo kichwani mwako, hongera sana kaka kwa kuwa na akili nyingi kupitiliza.
 
black Kenyan will continue suffering until Lucifer come to them # hii ni kwakuwa kenya bado colony la mzungu na uchumi wa Kenya 90 % is white owned economy
kwani kina Dewji, Bakhresa, Patel na yule mfadhili wa CCM MATAGA ni Wabantu?
 
Mkuu

Kuna Takwimu na "kutasfiri" takwimu...

Unapokosea ni "kutafsiri" takwimu....

Hilo tu!
Mkuu jaribu kutumia muda mrefu kusikiliza na kujifunza toka kwa watu zaidi ya kupenda kulazimisha vile unavyofikiria wewe kwamba ni sahihi.
 
Sawa mkuu, ila inathibitisha ukweli kwamba wewe akili zako si za ulimwengu huu au kama ni za ulimwengu huu basi ulipaswa uzaliwe karne ijayo, yaani una akili nyingi hadi kero mkuu, wanasema upo dakika kadhaa mbele [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Remember in East Africa there is only one dollar Billionaire, that man is from Tanzania. Kenya Hakuna $ Billionaire hata mmoja.

Huu ujinga wenu mumekua mkidanganya na media zenu toka utoto wenu, endeleeni kubaki nao huko kwenu, media zenu zinewajaza ujinga kiasi cha kushindwa kutumia akili zenu.
 
Muhindi. Ten out of ten richest people in Tanzania are Indians.
 
Muhindi. Ten out of ten richest people in Tanzania are Indians.

Hawa jamaa huwa wameliwa na kubaki mifupa, wanatajwa kama maskini wa kutupwa duniani ilhali wana raslimali za kumwaga, zote zinaliwa na waarabu na wahindi na hata Wachina.
Tatizo lao kubwa ni uzembe.....
 
Hawa jamaa huwa wameliwa na kubaki mifupa, wanatajwa kama maskini wa kutupwa duniani ilhali wana raslimali za kumwaga, zote zinaliwa na waarabu na wahindi na hata Wachina.
Tatizo lao kubwa ni uzembe.....
Nioneshe article inayosema Tz ni among poorest country niondoke Jf ss hv.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…