Kenyan media sector VS Tanzania media sector

Mmh.. mtu ambae ni mgeni anaeza amini maneno yako unavyo yatoa kwa uhakika! Hamna regular wa hii sub section ambae hajui angalau lugha moja kati ya mbili za Kiswahili na English! Huo uweledi unao utaka ni upi wakati mnawasiliana kila siku. Ukishindwa kwa hoja siyo busara kuanza kutoa tuhuma mfukoni nakubambikizia watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bure kabisa, sasa tumeanza kuongea kuhusu lugha inayotumika kufunza mashuleni? Umetumia kigezo cha lugha kuponda media za Kenya. Nikakuuliza swali rahisi, mbona media za Tz ni za ovyo ovyo kwenye taaluma yao wakati lugha wanayoitumia sana sana ni moja tu, ya kiswahili?
 
Soma comment yangu tena. Weledi ninaouongelea ni kwenye uanahabari ambao haupo kwenye media za Tz sio kwenye mawasiliano na lugha. Au wewe huwa unaona freshi tu Tv. zenu zikicheza taarabu wakati wa misiba badala ya kuwafahamisha wananchi yanayojiri live? Ukishindwa kuelewa kinachojadiliwa wakati mwingine ni bora kubaki kimya.
 
Hamna ulisema jamaa anachemsha hapa jukwaani kwa lugha zote mbili!! anyways tufupishe mambo muda ni mchache. Mnajitahidi ila hizo media za makabila zina wagawa mpaka zina andaaga matamasha maalum ya makabila! unaweza ukatetea kwa hoja tamu ila ukabila Kenya unawatafuna na vitu hivi vinachochea. Media house iliyo invest zaidi kwenye miundo mbinu na rasilimali watu kwa E.A ni Azam media najua hujawai itizama ila siku ukipata fursa uta enjoy.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Stop being narrow minded. Nation Media Group(NMG) is all over E. Africa but do we say. In print and mass media too. Tz media is so close to being just a flip of imagination. Quality, zero.
 
Stop being narrow minded. Nation Media Group(NMG) is all over E. Africa but do we say. In print and mass media too.
So according to your broad mind Azam media hipo Tz peke yake!! I know your not informed ila unaeza ukafanya ka research kidogo.. i agree NMG hipo E.A na ni big media house ila kwa uwekezaji wa Azam NMG anangoja sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NMG owns publications all the way in Uganda and Tv. stations. Maybe you should compare their earnings.
 
Nilikua nikifuatulia western media kabla social media hazijawa dominant kwangu. Unakuta mwandishi wa habari ana background[degree etc] ya sheria, udaktari, engineer, uchumi etc Ila elimu yake ya juu ni mwandishi wa habari na akiwa kwenye media yupo kwenye specific issue km ni makala ya afya uchumi nk kutokana na background yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
To be honest hata Kenya kwa sasa wameyumba nikiwa na maana ya kuwa sii kama ilivyokuwa miaka kadhaa nyuma. Ukizungumzia watu kama akina JICHO LA SIMBA enzi zao n.k.

Ila kwa ujumla mambo yamebadilika na asilimia kubwa ya wahariri wa siku hizi wanaangalia maslahi ya taasisi zao zaidi kuliko kuitimizia jamii matakwa yake.
 
weww ndio unasema hivyo lakini watu wamichagua ITV kua superbrandy afrika mashariki so iyo citzeni ipo ulaya au

Sent using Jamii Forums mobile app
ITV ni superbrandy tv kwa upande wa TZ tu huwezi fananisha investment ya ITV na citizen tv kk kwanza tazama studio ya citizen ni super b compare ya itv .... ukweli lazima usemwe hapa alafu kitu kingine biashara ya media kenya imekuwa imara sana maana matangazo ni mengi mnoooo yaani ukiangalia citizen tv kwa mfano unakuta matangazo ya bidhaa tofauti tofauti matangazo yanakwenda dakika 10+
 


okay asante kwa inputs, lkn bado wanafanya poa sanaaa mfano juzi ile makala ya SIRI YA ISIOLO it was super b japo ilikuwa dakika chache
 
yaani wewe naona akili huna kabisa naona hapa tutabishana mpaka kesho au ufatilii hata tv kila siku itv wanasema ni superbrandy east africa na tuzo wamepewa kwa kupigiwa kura kwq mara ya tatu mfululizo wewe unasema ni tz tu sasa unaakiri kweli bhasi hao citzeni waambie nao wqjitangaze kua superbarnd afrika mashariki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo tv tuu elimu maisha, upangaji wa mipango tofauti na tanzania ni sisi tuko kijijini, tunajua kuchonga mdomo tuu
 

kweli kabisa, hata kuna mmoja mmiliki wa radio moja ya kikabila alishitakiwa na kina uhuruto kule the Hague. sijui kesi iliisheje!!?

CC: Pingli-Nywee
 

Ahaaa haaa haaa
acha povu bwana mdogo.
kweli Tanzania media zake ni za hovyo wakati kituo pendwa cha ITV kinapata tuzo za SUPER BRAND EAST AFRIKA MIAKA MITATU MFULULIZO?

Teh teh teh tihiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…