thisdayes
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,610
- 4,556
Mmh.. mtu ambae ni mgeni anaeza amini maneno yako unavyo yatoa kwa uhakika! Hamna regular wa hii sub section ambae hajui angalau lugha moja kati ya mbili za Kiswahili na English! Huo uweledi unao utaka ni upi wakati mnawasiliana kila siku. Ukishindwa kwa hoja siyo busara kuanza kutoa tuhuma mfukoni nakubambikizia watu.Unaumwa, lugha za mama au lugha za asili ndio lugha ambazo huwa zinatumika kufikisha ujumbe wowote nyeti virahisi kule mashinani. Sasa tuseme wewe hapo ambaye huna weledi wowote kwenye lugha yako ya asili, na bado huwa unachemsha hapa jukwaani kwenye lugha zote za kiingereza na kiswahili ni mbumbumbu wa kutupwa au? Alafu pia hujajibu swali langu, kinachozuia media za Tz. kufanya kazi zao kwa weledi ni nini?
Sent using Jamii Forums mobile app