Kenyan Security Minister George Saitoti Reported Killed

Bwana ametoa, bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe, Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi, Amina.
 
kwani hiyo choper si kama ile ya chadema.!!!
Nao hawana muda, utasikia siku moja, Mbowe, Slaa, Zitto, Lema na Tundu Lissu is no..................due to helicopter cra........., they were going to loot M4C spirits in western zone.!

Mh! unawatakia mabaya makamanda wa cdm! bado kazi ya ukombozi hawajatimiza.. waombee mema na sio hayo unayowaza kwa sasa!
 
Bahati mbaya sana...but this is life and we have multitude of ways to have it ended up.
 
Hilo jina Saitoti, nasikia ni la Kimasai, so atakuwa alilichukua Umasaini or?!
Mchagueni Prof Ole Kiyapi ndugu,kwanza Saitoti sio Mmasai ,bali alikulia umasaini baada ya wazazi wake kuwakimbia waingereza enzi za maumau,marehemu alikuwa Mkikuyu ingawaje alikuwa hajui kuongea Kikuyu hata Kimasai
 
Waziri wa ulinzi na usalama p.g.saitoti cheo chake ni cha nne kutoka rais, waziri mkuu, makamu wa rais, waziri wa usalama, waziri wa fetha, waziri wa serekali za wilaya, waziri wa mambo ya nnje, kenya mambo ya ndani ni ya makamu wa rais kalonzo musyoka na sio ya saitoti.
 
 
Ooh Mungu! Nchi kavu ajali, majini ajali, angani ajali!
Turehemu Baba wa Mbinguni na kuwatia nguvu wajane, watoto na wazazi wa marehemu. Amin!
 
poleni sana ndugu zetu,marafiki wa kenya kwa msiba uliowapata.
 
Hotuba ya mwisho ya marehemu George Saitoti

 
Last edited by a moderator:
it's very very sad, Mungu wa milele awalaze mahali pema peponi, wapumzike kwa amani.Mungu mfariji wa kweli awafariji Wakenya wote na familia kwa pekee.
 

Hakuna pigo lolote labda kwa familia tu. Mungu wakati anaumba mwanadamu alisema zaeni mkaongezeke mana yake binadamu watakufa na walio hai watachukua nafasi zao.RIP
 
Bujibuji ulitaka kutuingiza choo cha kike,nashukuru wana JF kwa kuwa makini shukrani za pekee kwako mama mdogo kwa kuweka mambo sawa!!!R.I.P wote waliopata ajali.
 
alikuwa ni Kibaraka wa Mwai Kibaki mwaka 2007 na pia ni mmoja kati ya watu ambao nimeshangaa kuwaona wakikosa kupelekwa kwa Ocampo, yeye pamoja na Kibaraka mwengine ambaye alikuwa ni mwenyekiti wa tume ya uchaguzi yaani Samuel Kivuitu.
 
Eeh, hizi ni hela?!, ingekuwa Bongo, sidhani hata kama zingepata nafasi ya kupigwa picha!
 
Yaani bora ulivyosema wewe, nilishangaa helicopta ing'ae hivyo, iue watu kiasi hicho, serious crash sio mchezo bhana, kama ingekuwa inang'aa hivyo wasingekufa wengi, labda mmoja, tena si ajabu kwasababu ya kuzidiwa na mapresha na wasiwasi tu!
Eeh, hizi ni hela?!, ingekuwa Bongo, sidhani hata kama zingepata nafasi ya kupigwa picha!
 
Mission town! Wamemteketeza kabla hajaanza kupiga kampeni za uchaguzi! Wakenya bana, njaaaaaa tuuu! Al shabbab wanaishuhulikia vizuri saivi (hili tukio for sure lina links na governmnt n nt shabab)
 


Kenyan Internal Security Minister George Saitoti has been killed in a helicopter crash, officials say.
Mr Saitoti and his deputy, Orwa Ojode, died when the aircraft went down west of Nairobi. President Mwai Kibaki has declared three days of mourning.
There is no word on the cause of the crash, in which six people were killed, including bodyguards and pilots.
Mr Saitoti, a former vice-president, had been planning to run in a forthcoming presidential poll.
The 66-year-old was on his way to a security meeting when his helicopter crashed on Sunday morning.

BBC News - Kenyan minister George Saitoti killed in helicopter crash
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…