Kenyan Security Minister George Saitoti Reported Killed


Poleni wafiwa na Wakenya wote..
RIP Saitoti
 
[video]http://www.guardian.co.uk/world/2012/jun/10/kenyan-ministers-killed-helicopter-crash?newsfeed=true[/video]
 

Rest In Peace, mazee. Sad news kwelikweli.
 
Last edited by a moderator:

...Filipo, did i get you correctly? It seems unaona afadhali MUNGU amemwondoa duniani kwa kuwa alikua anang'ang'ania vyeo?! kama ndivyo ulivyomaanisha i'm so sorry for you kwani KIFO ndugu yangu sio cha kushangilia hata kama aliyekufa ulikua humpendi vipi!! Kuwa na moyo wa kibinadamu. Kumbuka Prof Saitoti alikua na watoto ndugu marafiki, admirers, etc. Dont hurt their already hurt feelings!.

Nimesikituishwa mno na kifo cha Prof Saitoti, R.I.P. Prof!. Niliwahi kusikia miaka ya nyuma kuwa kuwa huyu jamaa ni mmasai wa TZ japo ameamua ku-base maisha yake zaidi Kenya (yaani wazazi wake walitokea huku wakahamia Kenya). kama kuna anayejua zaidi tueleweshane jamani...
 

muda huo huwa kuna kipindi uhuru special cha zilipendwa
 
Last edited by a moderator:
@Ab-Titchaz asante kwa picha za matukio ni huzuni kubwa sana kuwapoteza hawa watu muhimu katika siasa za Kenya ,Africa na pengine pote duniani
 
The ides of June! Remember Shakespeare's Julius Caesar and the ides of March?
 
Bujibuji ulitaka kutuingiza choo cha kike,nashukuru wana JF kwa kuwa makini shukrani za pekee kwako mama mdogo kwa kuweka mambo sawa!!!R.I.P wote waliopata ajali.
Kwa hivyo mama mdogo katuingiza choo cha kiume wote sasa?
 
RIP Saitoti.WaKenya poleni sana msiba mzito sijui huyu Prof Saitoti alikuwa camp ya Uhuru au Raila isije ikawa ni mikakati ya uchaguzi.
 
Acha kudanganya watu helcopter waliodondoka nayo hata vipande havionekani yaani vipo vidogo sana.Wameonyesha citzen exclusive picture ya helcopter yenyewe yaani ni imeisha kabisa.Wewe hiyo ya kwako umeitoa maktaba ya ajali nyingine

HUyu jamaa anatufanya sisi mazuzu. Chopper iliyiomuua Saitoti ni vipande vipande yeye anatuwekea chopper nzima. jana imeonyeshwa NTV, Citizen na hat KBC kuwa ni8 vipande kabisa. Bujibuji hata ukinyamaza tutajua upo
 
Jamane eeh! katika zama hizi tulizonazo Kudanganya ni ngumu,, kila kitu kiko wa wazi,, watu tulishaiona CHOPA kitambo sio hiyo,, hata hivyo TUNAKUVUMILIA mkuu
 
RIP Saitoti.WaKenya poleni sana msiba mzito sijui huyu Prof Saitoti alikuwa camp ya Uhuru au Raila isije ikawa ni mikakati ya uchaguzi.

Wewe mzee ngongo, hali ya msiba huu unaunganisha na siasa?
 

La msingi, wengine hawajui kifo ni inevitable...uwe maskini, tajiri, mnyonge, mwenye nguvu. ikishafikia wakati huo hakuna wa kukataa
 
Hivi mmemsahau Bujibuji? Tehe tehe. Ndege ya buji ilipaki siyo kupata ajali! Mbavu zanguuuuuuu mweeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…