Acha kudanganya watu helcopter waliodondoka nayo hata vipande havionekani yaani vipo vidogo sana.Wameonyesha citzen exclusive picture ya helcopter yenyewe yaani ni imeisha kabisa.Wewe hiyo ya kwako umeitoa maktaba ya ajali nyingine
Wewe mzee ngongo, hali ya msiba huu unaunganisha na siasa?
Mkuu Kabaridi,
Haya mambo yapo sana kwani hujui siasa za Afrika.Nakumbuka wakati Mwl Nyerere akiwa katika harakati la kuachia madaraka Salim A Salim alionekana tishio dhidi wanasiasa waliokuwa wakinyemelea Ikulu ya Magogoni kuna siku alisafiri na Chopper alipotua hazikupita dakika nyingi chopper ikalipuka bahati nzuri waliokusudiwa kuuwawa walishaondoka eneo ilipoegeshwa.

Mimi huwaga namkubali huyu jamaa na mautabiri yake.
kama hauna jibu si afadhali unyamaze tu?...kamuulize yeye mwenyewe!
HIVI HELA YOTE HII ALIKUWA ANAPELEKA WAPI?
Wewe wa-Tanzania wamekukaa sana kichwani!Nini na hawa wa-tanzania, bana?? Eeeiish!!
... Niliwahi kusikia miaka ya nyuma kuwa kuwa huyu jamaa ni mmasai wa TZ japo ameamua ku-base maisha yake zaidi Kenya (yaani wazazi wake walitokea huku wakahamia Kenya). kama kuna anayejua zaidi tueleweshane jamani...
Wewe wa-Tanzania wamekukaa sana kichwani!