Kenyan Security Minister George Saitoti Reported Killed


FJM - my apologies Kaka. And you are right. But there is a style of debate here that just gets the goat up. While any normal adult and well-balanced person knows there is a season for all things.

In Kenya, there is a huge shock at the death of these two political leaders, and not because of their popularity, tribe nor even achievements. It would seem the Nation is under siege, and there is real possibility of public despondence growing critical mass if we allow it - not because any of the many indicators of National Growth are persistently pessimistic. If our National Leadership does not re-group and show a Unity of National Purpose at this time, public despondency is real possibility - people will start jumping at shadows, and get paranoid around each other. So that we hold on to this public show of shared national grief, of our leadership holding together even if just this once, of our re-focussed attention to our Nationhood and our Patriotism. We can do very well without the sanctimonious expressions made here by some wtz such as Askari Kanzu that lack balance and rationality. That is all really.

Give Kenyans right and space to properly mourn this National Loss, as we shall when you wtz will face your time of national grief (which surely will come some time); and then after that lets return to our usual juvenile sparring in this and other cross-national foras.

Ndo hayo tuu!
 

Huu mtindo wa kuchangisha umekuwepo Tanzania lakini zaidi kwenye mambo ya harusi. But in the last 2 years tumeanza kuona harambee - Kenyan Style ambapo wanasiasa wanatoa michango sana makanisani, tena hela nyingi sana! There is a bit of un-easiness about it especially from those who do not want to mix politics na siasa. Lakini Kenya imeshakuwa normal.
 
TUME YA KATIBA, nategemea Usalama wa Taifa wakishirikiana na FBI/CIA wataanza kukutunza kwenye kumbukumbu zao hiyo IP number yako.

Kama si Wasomali kuanza kufanya utekaji watalii huko KENYA, basi sidhani kama Kenya wangeliingia kwenye vita nao. Wamepigana wenyewe kwa wenyewe miaka mingi sana na Kenya ilikuwa kimya.

Najua hata kama wakivamia Sudan leo, Sudan pamoja na Uislaam wao, wataamua kuzipiga.

Kwani IRAN vs IRAQ si wote walikuwa Waislaam? Wanavyouawa Afghanistan kabla ya Bush hajavamia huko, si walikuwa Waislaam kwa Waislaam?

Vita ni mbaya sana na ni kuomba isianze. Ikishaanza basi kumbuka kuwa HAINA MACHO hiyo vita.
 
Mmh, Al Shabaab jamani, Kenya wanadeal nao haswa, ndio maana kila siku wanazidi kuwachukia
 

No worries mate. Poleni sana na msiba. Just curious what do you think politicians will do next year 10th June? Watatumia punda kusafiri maana that date will forever remain in the minds of many.
 
"Sitalala hadi nihakikishe nimewasambaratisha alshabab wote"- Prof. Saitoti

Kumbe hajui mungu muumba amepanga nini, kachomeka na moto wa ndege kuliko ndafu, hata fuvu halijapatikana! na bado huu ni just moto wa duniani bado moto wa muumba wa mbingu!

Aliyepanga ni Muumba au Al -Shabaab?

 
Bora niitwe kafir kuliko kumwabudu mungu anayependa ugaidi, mauaji ya kinyama, visasi,kukata viungo vya watu na ujinga
 

i like this!

 
So, what you mean is, "Allah Killed Saitot and his team". Do I get you right?
uislam ni dini nzuri inayosisitiza upendo na amani katika jamii. neno "islam" maana yake ni unyenyekevu. Ila baadhi ya watu wanautumia vibaya kwa kuwaghilibu watu kwa manufaa yao binafsi. Sijaona sehemu yeyote katika quraan au hadithi za mtume (SAW) tunapofundishwa kuua watu wengine wasio na hatia yeyote kwa ajili ya ajili ya dini. hebu tujiulize swali moja. kuuwa na kujeruhi idadi kubwa ya watu waliokuwa wanatafuta riziki zao (sokoni) kwa bomu utakuwa umeusaidia vipi uislam????? nadhani inabidi tufikiri upya kwani haya mambo hayana mahusiano kabisa. Kama ni kuusambaza uislam nadhani muda wake ulikwisha pita kwani kwa karne hii na teknolojia tuliyonayo karibu kila mtu hapa duniani anaujua uislam hivyo hata hakuna haja tena ya kutumia nguvu kwani hata wakati wa mtume watu walipelekewa habari lakini suala la kuamini au la lilbaki la mtu binafsi. Vijana tusidanganywe sisi ndio rasilimali ya taifa ya taifa lolote hivyo kututumia kama silaha(kujitoa muhanga) ni kuhujumu rasilimali hiyo. Msiwaghilibu watu na kuidhalilisha dini yetu nzuri.
Nawasilisha
 
naelekea kuamini kwamba zanzibar kuna tawi la al-shabaab ndio maana ccm wanajiamini sana na kauli zao kwamba wao ni majambazi.!
 
many of the so called prophets they do prophesied the thing which has already been framed, eg sheikh yahya
 
Kwa vyovyote wewe utakuwa ni mtu katili sana sana na mwanachama wa hawa al shabaab. Itabidi hizi comments zako zote ulizozitoa hapa tuzikopi na kuzipeleka sehemu inayohusika. Usifikiririe utajificha kwa kutumia username ya JF. Lazima tukujue wewe ni nani na kwanini unaunga mkono ugaidi.
 
Al-Shabaab, Boko Haram, Alqaeda, wanapenda kutumia jina la mwenyenzi mungu, lakini wao wanamtumikia ibilisi
 
Hebu tufahamishe hizo sababu zao za maslahi
 


Hivi, ni kwanini kila siku kisingizio huwa ni mafuta? Hii inaonesha ufinyu wa hali ya juu wa kufikiria. Jaribu kujifunza na kupata habari kabla ya kuandika hizi pumba. Unadai "inasemekana wana kiwango kikubwa sana cha mafuta", huu mchongo weye umeutoa wapi, au kwenye gazeti lenu la ANNUR au ile radio yenu ya IMANI? Kama kweli Somalia kungekuwa na mafuta, unadhani nini kingezuia Wamarekani, Waingereza au hata Wachina ambao wote wana uchu na mafuta, kuvamia na kuanza kuyachimba. Kweli unadhani watu wanaofuata mafuta katikati ya bahari(deep sea exploration) wangeshindwa kuanza kuchimba kwenye Hell-Hole we now call SOMALIA? Same BS arguments zinatumika kutaka Zanzibar kujitenga, eti wana mafuta, hayo mafuta yameamua kutokea leo tu? Yalikuwa wapi wakati Sultani alipokuwa akitawala hicho kisiwa. Tusiwe wavivu wa kufikiria, inatufanya humu JF tuonekane hamnazo.
 
No worries mate. Poleni sana na msiba. Just curious what do you think politicians will do next year 10th June? Watatumia punda kusafiri maana that date will forever remain in the minds of many.
Hata punda anaweza akapatwa na ajali!
 


Hivi tume ya katiba,
Kati ya alshabab na kenya, nani anafanya somalia isikalike?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…