Hivi nani kakupa hiyo title ya GOLD member? kwa nini mnakuwa wagumu kuelewa jamani!
Utanielewa tu mkuu wangu,
Kimsingi hawa viongozi wanapokuwa madarakani hufikili wao ndio kila kitu, hujisahau kabisa kuwa maisha ya ulimwengu ni kama safari tu, Binafsi nimependezwa na jinsi alivyochomeka kwa kuwa ndivyo yanayotokea kule somalia, wanawake, watoto na watu wasio na hatia wanauwawa kila kukicha kwa kisingizio cha alshabab kumbe wana sababu zao za kimaslah.
Somalia imekaa karibu miongo miwili bila serikali inayotambulika, vikundi vya wababe wote wa imani moja walishindwa kuunda Taifa lenye utulivu. Hawa wakenya wameingia Somalia mwaka juzi tu leo una wasingizia kuwa wana ajenda za kimaslah!
Je Bokoharamu wanao lipua makanisa kama uamsho, nao wana sababu ya kulinda maslahi ya wanigeria? Tuna anza kupata wasiwasi na ajenda za OIC, haiwezekani vikundi vyote vya kigaidi viwe vya toka dini moja tu!
Uncle sam, nimeweka link kama 7 katika post yangu namba #39. Tafadhari kaicheki. Wanajeshi wa kenya walioko somalia hata hawajui kwa nini wapo kule, ni wenye dunia ndio wamewalazimisha wakenya kufanya wanayofanya.
Nimesema na ninarudia: kuna maslah aina mbili somalia
1) Ni eneo zuri la kistratejia ya kijeshi.
2) pili ni reserve kubwa ya mafuta ambayo wanayo.
kutokana na hivyo nchi kama uturuki na Iran wana interest zao na wamagharibi pia wana interest zao.
Mkuu kuna vita congo visivyoisha kila kukicha, na huko kuna watu wa dini gani? Nasisitiza ni maslah tu na hakuna kingine.
Nilisema na ninarudia, "AMANI" ya Tanzania inatokana na wananchi kutonufaika na resource zilizopo, siku akitokea kiongozi akaamua rasilimali za nchi ziwe kwa manufaa ya watanzania ndio itakuwa mwisho wa "AMANI", maana atakuwa ameguza maslah ya wenye dunia.
makubwa. kihoro na utimanyongo wa nini? hatujuani na kamwe hatutakuja kujuana maishani kwa hiyo haisaidii kufurumusha matusi hewani kama hayawani. huu ni ujinga na uwendawazimu!...That is what would be expected of a neighbour, a brother. Not the crass, self-righteous BS spewn out by degenerates likes of ASKari Kanzi. And see the genuine expressions by Government of Ugandan Officials. Ugandan Press even carried a very well researched and adequately detailed Biography of Hon, Professor George Saitoti in their Daily Newspapers today!!
From across the Kilimanjaro, what official reactions has there been made to in-drectly mitigate the horrible BS generated by the likes of Askari Kanzu and some so-called ''Moderators'' on these Jamii Forums?
Kenya kupigana vita na Alshabab ni first class mistake ambayo Kenya itajutia milele.
taratibu. acha kukasirika kama paka shume!
am silent on this.you just had to import this personality from intl forum to this Kenyan sanctuary?huh! Wait for the appropriate thread then go viral, al enlist in it if necessary../presuming kenya forums lasts/..*i have my doubts*...
"Sitalala hadi nihakikishe nimewasambaratisha alshabab wote"- Prof. Saitoti
Kumbe hajui mungu muumba amepanga nini, kachomeka na moto wa ndege kuliko ndafu, hata fuvu halijapatikana! na bado huu ni just moto wa duniani bado moto wa muumba wa mbingu!
Hapana mkuu katuweka sawa,kaanika ukweli hadharani kama CDM nasio uwongo kama wa magamba pale jangwani...Kwa hivyo mama mdogo katuingiza choo cha kiume wote sasa?
Okay, kidogo nikuelewe vibaya, ila kuhusu swala la Kenya kuwa somalia nadhani wako kule sababu ya maslahi ya kiusalama ya wakenya ambayo yamewekwa mashakani na alshababu. au kunamaslahi tofauti?
Kwa iyo kumbe kuna uhusiano kati ya alshaabab na uislam??nimeamini kuwa U AMSHO ni tawi la alshaabab kwa mlolongo wa visa na matukio.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
ni kwa ajali ya ndege huko ng'ong. alikuwa na naibu wake ambaye pia kafariki.
chanzo : radio uhuru breaking news