Yaani huyu jamaa mnavyompaisha!
Personally ata Channel yake kwa TV Listing apa home nilishaifuta.
Maana nashindwa mweka kundi lipi je ndo hawa manabii wa uongo au ni genuine!
Mbaya zaidi anatokea Nigeria apo mashaka ndo yanazidi.
Ila bado niko kwenye utafiti maana ata Tz namkubali Mwakasege Chriss tuu hao wengine bado naendelea kuwatathmini
makubwa. kihoro na utimanyongo wa nini? hatujuani na kamwe hatutakuja kujuana maishani kwa hiyo haisaidii kufurumusha matusi hewani kama hayawani. huu ni ujinga na uwendawazimu!
kumbe mabomu kuuzwa kama njugu kule SOMALIA kwako ni ujanja. Wanauana kila siku ww unawasifia. Wanashindwa kukaa pamoja ww unawasifia...SOMALIA ni taifa lililodhoofika ktk kila sekta. WaTZ sio wajinga kiasi hicho hawawezi kuuana kama Wasomali. Kumbuka hawa jamaa ni dini moja, lugha moja lkn hawapikiki chungu kimojaww samahan ile sio tz au uganda kama wazungu wakiamua tu wanaweza kufanya wanavotaka, ww hujawah kufika somali pale mabomu yanauzwa kama chungwa, usifananishe kabisa na kanchi yenu hii yenye wajinga asilimia 80%.
Death of Kenyan Minister George Saitoti Prophesied by Prophet TB Joshua
On June 4, 2012 during a Monday Live Service, Prophet T.B. Joshua prophesied regarding the leader of a country. He said he saw an accident and asked whether it was on the air or on the ground. These were his words:
"Ninety percent of what we are doing here is about other nations all over the world. It radiates to the world. Like today around 3:00 am and what happened? I saw the leader of a country whether he is the vice president of a country or the present…I saw all of them having an accident. Is it on the air or on the ground?
Sometimes I want to know what is happening, how does it happen, what is this.. I keep asking."
Huyu jamaa tapeli au?
uislam ni dini nzuri inayosisitiza upendo na amani katika jamii. neno "islam" maana yake ni unyenyekevu. Ila baadhi ya watu wanautumia vibaya kwa kuwaghilibu watu kwa ....... kama silaha(kujitoa muhanga) ni kuhujumu rasilimali hiyo. Msiwaghilibu watu na kuidhalilisha dini yetu nzuri.
Nawasilisha
Mkuu hapo kwenye red .....mie sijashabikia mauaji na sitegemei kufanya hivyo tafadhali labda ungerudia kuisoma post yanguKinadharia, nalazimika kukubaliana na wewe, lakini kihalisia, Hali ni tofauti mno! Soma Kila siku kuna matukio yakiwahusisha waislamu katika mauaji na mapigano, fujo, ubabe na kujitoa mhanga! Sikiliza mihadhara yao sio ya kuleta matumaini ya Amani Bali utengano, uadui na utmwa. Sasa hivi kuna jitihada kubwa za kuzindua mataifa ya kiislamu bila kujali hisia za waNanchi wengine! Hapana nimeshindwa kukubaliana na wewe, na hasa unaposhabikia kifo cha Saitoti na wengine!
"Sitalala hadi nihakikishe nimewasambaratisha alshabab wote"- Prof. Saitoti
Kumbe hajui mungu muumba amepanga nini, kachomeka na moto wa ndege kuliko ndafu, hata fuvu halijapatikana! na bado huu ni just moto wa duniani bado moto wa muumba wa mbingu!