Kenyan Security Minister George Saitoti Reported Killed


wewe utakuwa hauko sawa up stairs.why do you hate RAO, Kiasi cha kutokwa na vijimaneno vya kihuni namna hii.moi kaua wangapi pamoja na biwott wake,hao si ndio walimuua ouko,wakamkosa kosa saitoto,hv ww unaijua game plan ya wakikuyu enzi hizo?they knew that if not saitoti then ouko mmoja wao angechukua nchi.na wao walitaka utawala urudi kwa house of munbi.
Hv ile report ya scotland yard(iliyoongozwa na troon) uliwai isikia au kuiona?it reams ulikuwa cdo katoto.
 

asante mkuu,huyu jamaa ni mtoto wa juzi.kakulia kwenye siasa za wakina ruto hajui ki2.
 

Is this what I am reading? The Law of satan!
 
hope you are not in sane.umeielewa kweli uzi?
Crucial Man, wewe ni mjinga?ina maana usipoelewa something wewe ni kichaa?halafu "insane" is a one word fool!Najiuliza wajaluo mnauwana wenyewe?maana kina Tom Mboya na Ouko si waliuwawa kwasababu ni wajaluo ambao walikuwa poised kuchukuwa nchi?,na Raila si mjaluo?hovyo sana nyie watu,ukabila utawamaliza,mark ma words,mna chuki mbaya sana nyie watu.Kizazi hii ni mbaya nyie si ya kutegemea.
Hii si maneno ya mleta uzi acha ufala,unatakiwa ufafanue. Nicholas alitoa mfano akasema "Kiongozi anayetaka ku accomplish what his father has failed"kwa jinsi alivyoelezea,huyo ni Raila...
 
Last edited by a moderator:
Ina maana Raila ndo anahusika na kifo cha Ouko na jaribio la kumwua Saitoti?

How could Raila kill OUKO?? Raila sio muuaji ,wauaji ni hao Wakalenjin na wakikuyu!! Ever heard of TOTAL MAN Nicholas Biwott during the Moi era? He was the man behind the plot that eliminated OUKO!!!
 
jmushi,punguza asira mkuu,povu limekutooka for nothing.usizanie kila anae msuport odinga ni mjaluo au mkenya.jenga hoja mkuu hapa ni hoja kwa hoja,sio kashfa.mtu mwenye uelewa mdogo ndie anakashifu kabila la mwenzake.
Naomba nikuulize swali dogo tu.ina maana familia ya odinga ndio iliyo usuka na mauaji ya tom mboya,ouko,saitoti jj kariuki,father kizitto,odhiambo mbayi?naomba jibu mkuu.la sivyo sichelei kukuweka kwenye kundi la waropokaji,pili ebu dadavua kasoro walizonazo wajaluo tofauti na kabila lako unaloliona bora zaidi.familia ya odinga iliplay role kubwa sana katafuta uhuru wa kenya,labda utambui hilo.kikuyu waliingia msituni,kupambana na wakoloni,wajaluo walibali mjini kupambana na wakoloni,je walitambua hilo jmushi?
Chuki na fitina hazijenge ndugu,siasa za kupakana matope zinatupeleka pabaya.
 
How could Raila kill OUKO?? Raila sio muuaji ,wauaji ni hao Wakalenjin na wakikuyu!! Ever heard of TOTAL MAN Nicholas Biwott during the Moi era? He was the man behind the plot that eliminated OUKO!!!

mwambie mkuu,inaonekana jamaa historia kwake ni msamiati,au ni kizazi cha shule za kata.
 
leo nilikuwa naongea na mkoenya mmoja ndo karudi leo alikwenda kumuuguza baba yake ...nae anadai raila is behind this...
 
Is this what I am reading? The Law of satan!
Mpangamji, exactly there is a book with the tittle "The Satan Principal" explains the "OBJECT SHADOW PHENOMENAL" Its all about the science of negative emotions and how this emotions can pose as Shadow which terrorize the community through wars, deceases, tragedies, poverty etc which are real objects!! Roulette, mwaJ, AshaDii will enjoy reading this!!!

Mara nyingi itaonekana kama ni kuna mkono wa mtu, balaa, bahati mbaya ..lakini kabla ya kufikia huko ..check up with "OBJECT SHADOW PHENOMENAL" ... Its a science, an emotional intelligence!!!:coffee:
 
Last edited by a moderator:
Ina maana Raila ndo anahusika na kifo cha Ouko na jaribio la kumwua Saitoti?
[h=2]"Who Killed Dr. R. J.Ouko and Why?"[/h]During the Kenya police's ‘Further Investigations' they ‘came across' a document (the report does not say how) entitled, "Who Killed Dr. Ouko and Why?" It was signed but the signature was unreadable and underneath the signature was typed, ‘Dated this 4th December, 1991 at Rome'.
The document of unknown origin alleged that ‘Mrs. Marianne' and ‘Mr. Airaghi' were the master minds behind the murder of the late Dr. Ouko'.
The central allegations were that after Dr Ouko became Minister of Foreign Affairs in March 1989 and the Molasses Project ground to a halt, Briner-Mattern and Airaghi pressured and threatened him to get the money-making project underway but he failed to do so. Bitter at the waste of their time and money, Briner-Mattern and Airaghi ‘orchestrated' a conflict ‘between Dr. Ouko and some of his colleagues – notably the Industry and Energy Ministers' (Dalmas Otieno and Nicholas Biwott respectively).
Far from Dr. Ouko writing a report on corruption among other Ministers at the time of his murder the "Who Killed Dr. R. J. Ouko and Why?" document stated that he was writing one on the corrupt dealings of the BAK group and PEC (a consortium of companies from Italy and Switzerland that had been involved with the initial building of the Molasses Plant). It was for this reason that Briner-Mattern and Airaghi planned to kill Dr Ouko, the document alleged.
In their ‘Further Investigations' Report, 1991, the Kenya police Stated they ‘found no evidence to support the allegations'.
The "Who Killed Dr. R. J. Ouko and Why?" document contained an intriguing postscript. Written by hand, it said:
‘P.S. I am friend of Kenya and an acquaintance of Marianne. I first met with Marrianne in 1988 at Palermo, my home town. The mayor of Palermo is a close friend of mine and am a member of Social Democrat Party. That is all about me - Do not look for me, because Mafia might find you before you find me. Bye – cheerio................. jmushi1
 
Last edited by a moderator:

I sure did Azimio Jipya
 
Last edited by a moderator:
Parliamentary debate on the investigation

 
Last edited by a moderator:

Put it in a simple way: what you think about, you bring about. his obsession of being killed attracted the way he died.
 
Saitoti chopper crash raises suspicion


What the MPs say:

“I am not fully convinced about the story we are being given..” MP William Kabogo (Juja) (also a helicopter pilot)

“Many MPs and ministers have cheated death many times. Accidents happen when they’re accidents, not when they’ve been caused” Mp Nkoidila ole Lankas (Narok South).

“This crash is not ordinary; it is not normal; there are a lot of grey areas that need to be covered. This should be looked at from all angles,” Mr Lanka

“Why was it flying so low? Why did it turn back when we all know that a helicopter can land anywhere? Was someone controlling the aircraft from somewhere else?” MP Gideon Konchella (Kilgoris)

“The circumstances in which top security officials died Sunday need to be properly, thoroughly investigated. It threatens national security” MP Cyrus Jirongo (Lugari)

Source:

Kazi ipo!
 
How could Raila kill OUKO?? Raila sio muuaji ,wauaji ni hao Wakalenjin na wakikuyu!! Ever heard of TOTAL MAN Nicholas Biwott during the Moi era? He was the man behind the plot that eliminated OUKO!!!

Wakati unaona mtu anaongea kuhusu jambo utafikili ni mtaalam na amefanya upelelezi kuhusu analozungumzia, RAILA sio muuaji unajua vipi kwani ni binamu yako? Tunafika sehemu ambapo kama watu wazima wenye akili, tusireason tu kama watoto na hoja zinazotoka kichwani au hewani, ila tuzungumze tunayoyajua kamili....hapo hakutakuwa na hila.

Nilidhani pia mazungumzo yenyewe yataambatana na mada..kumbe inapindishwa kuzunumzia mengine
 
Put it in a simple way: what you think about, you bring about. his obsession of being killed attracted the way he died.
Roulette, you made my day ... ! Lol!!! I real enjoyed the way..!! Your way, the very simplified way :happy: ... "his obsession of being killed attracted the way he died" ... plain spoken ... to the point!!, hah hah! Have no complain about that ...

But does it mean the little mechanism of the "HOW" in my explanation, Did make you think of quantum physics? Because the Object Shadow philosophy make you participate on reaching the conclusion AND this is sweet and relaxing .. dont you think so?:music:
 
Last edited by a moderator:
MziziMkavu,naielewa fika historia ya wakenya na ninawafahamu vilivyo,issue ya Ouko naifahamu sambamba na ukabila wao.Na sababu haswa aliyouwawa ni wasiwasi wa kuwa atachukuwa nchi,ukabila pia ni mojawapo ya sababu.
 
Last edited by a moderator:
How could Raila kill OUKO?? Raila sio muuaji ,wauaji ni hao Wakalenjin na wakikuyu!! Ever heard of TOTAL MAN Nicholas Biwott during the Moi era? He was the man behind the plot that eliminated OUKO!!!

Aliyesema hayo maneno yuko banned,msubiri akifunguliwa umwulize kama utakuwa na muda.
 
kujadiliana na wewe ni ujinga honestly,no time for that.
 

of course I picked that, but I just thought this was not the right thread to discuss it. I'm coming on PM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…