Nashukuru kwa ufafanuzi, but niliyemquote aliandika George Saitoti aliyekuwa makawa wa Rais wakati wa serikali ya Moi, nikadhani hivi sasa hana cheo tena. Got you men!
Alpha Charlie down? WTH is cooking around here, seriously lift the ban on Delta4 as i take it to be a sinister move targetting a specific quadrant in JF.
As i said earlier, villification shouldnt be selective, if Tanzanians spew foul dirt on Kenyans they should expect a rapid and fiery response right back... Anyway, wasnt the Kenyan subforum meant for Kenyans and everything Kenyan? (the targetted assetts) or sth??? ...'alas, i was wrong! Still Tanzanians flock the 'sub' forum and call the shots here too!! Apparently I was/am smoking something heavy...Effin nonsensical, everything daent feel right one bit and i strongly detest!!!..... The site/sight (whichever) now sucks on geopolitics, nkt!!! Hakuna balancing of the the act!!..
livefire bana...You want to claim ownership? Mmekaribishwa kwa kupewa chumba but the landlord remains the same!
Delta4,
Please have some decorum when addressing folks...moreso those you dont know. The above highlighted
remark is uncalled for and I take exception to it.
To save you some little bit of reading and researching effort Nyaralego, is a Kenyan lady of respectable
standing on this forum. Hii mambo ya ku-unleash condescending retorts sio freshi and I believe it is in
order kumuomba huyu dada'etu msamaha and withdraw.
Have a civil day.
Ab-Titchaz.
PS. As regards Saitoti and Co's death, all speculation is valid more-so when people like Moi saying he was supporting Saitoti in his bid for the Presidency. If Uhuru is to dance at The Hague, then I believe Saitoti becomes a big force to reckon with....In terms of experience and deep pockets. The other guy being Raila. I cant put anything past the presently constituted Police force and Kenyan Intelligentsia at large.
Nashindwa kutambua mpaka leo ni nani alikuja na wazo la kumtuma Nchimbi kwenye mazishi ya Saitoti, hivi hawa wenzetu wakenya wanatuonaje, wajinga au tahira, speech ambao ata wa darasa la nne hapa Arusha asingeshindwa kusoma. Hapo serikali ya JK linamtuma Nchimbi,huyu mtu alipata udokta wake wapi,siwezi kusema ni aibu sababu tumezoe aibu
Yaani jinsi ulivyoandika hii habari hata ambaye hakwenda kabisa shule asingeiandika namna hii. Sembuse Dr. Nchimbi aliyesoma hotuba kwa kiwango cha Darasa la nne? Mbona basi yupo vema sana kushinda wewe, in terms of presentation.Nashindwa kutambua mpaka leo ni nani alikuja na wazo la kumtuma Nchimbi kwenye mazishi ya Saitoti, hivi hawa wenzetu wakenya wanatuonaje, wajinga au tahira, speech ambao ata wa darasa la nne hapa Arusha asingeshindwa kusoma. Hapo serikali ya JK linamtuma Nchimbi,huyu mtu alipata udokta wake wapi,siwezi kusema ni aibu sababu tumezoe aibu
katika mazishi ya prof saitot waziri nchimbi ndiye alimuwakilisha rais wa tz....katika kusoma salamu za rambi rambi nchimbi alisoma kwa kingereza....mbali ya kuwa misa ya kumuombea marehemu kusomwa kwa kiswahili na salamu za pole kwa wageni kuzitoa kwa kiswahili na shughuli nzima kuendeshwa kwa kiswahili kwa aslimia kubwa ...bado nchimbi alisoma salamu kwa kimombo...
tatizo sio kusoma salamu kwa kimombo bali aina ya kimombo alichokuwa anasoma...kilikuwa kibovu sana, alikuwa anatetemeka, hajiamini...kwa kweli ilileta miguno toka wabaadhi ya watu waliokuwa pale ....
angesom kwa kiswahili angeeleweka pia...kama alivyosema yeye kuwa amemwakilisha raisi wa nchi basi na hizo ndioz salamuzake basi inaonyesha kuwa tatizo la lugha ni kubwa sana kuanzia kwa mwandishi hadi kwa msomaji...nchimbi alianza kusoma salamu hizo akianzia juu kabisa kwenye anauni ya mwandishi, akashuka chini kwenye tarehe nakuanza kusoma akiwa anatetemeka na hofu kubwa......kwa kifupi ilikuwa aibu...
nadhani mwandishi wa thread alimaanisha hiki nilichosema...
Duh nilimuona jamaa alikuwa anatetemeka sana!
Zis, zat, zilitawala.....
Ilikuwa noma sana!