Kenyan & Tanzanian Surburbs

Kenyan & Tanzanian Surburbs

Mbona hasira na matusi? Pole, pumua mwenzangu.

Ukweli ni kwamba watu wanaweka picha za maofisi, milima, mabonde, misitu, bahari na proposed projects. Nimeishi Dar na nafahamu sehemu hizo zote, ukweli hata wewe wafahamu. Cha pili, ni wazi wewe hujatembea Nairobi kulingana na yale unayoyasema. Mwenzangu wew haujui niko wapi sasa hivi, Houston nitakutembeza mimi ili ufahamu suburbs ziko wapi. Kama umetembea Harris County ama Fort Bend basi suburbia huko!😛oa

Haha ha sio hasira mkuu na lazy ass siyo tusi ila wewe M-KE gani unaongea ka mbongo, ulikulia uswahilini nini? Kuhusiana na wewe kuwa wapi siyo ishu ndo maana nikasema "if you've"
 
Kutani Beach

05 Ras Kutani Beach Tembea Tanzania.jpg
 
Lake Tanganyika - Kigoma Tanzania

03 Kayaking Lake Tanganyika.JPG

06 Lake Shore Lodge and Campsite Tanganyika.JPG

01 Kayaking Lake Tanganyika.JPG

MV Liemba - The Oldest Operating Ship in Africa

03  Liemba Lake Tanganyika.JPG
 
Hello we have been fighting for a long time over all sorts of things. I would like this thread to be different, let us post pictures of our suburbs and formal settlement only (No slums). Post a picture and the name of the neighborhood, city and country. Can anyone translate the statement above to kiswahili? Pics please!! No fighting this time!😛oa

truth hurts!!!
 
Kenya mmeshinda kny mpangilio mzuri wa makazi,tutajifunza kutoka kwenu. THREAD CLOSED

nina uhakika TZ tumekosa tu picha nzuri na wachangiaji ni wacheche ingAwa mechi inachezewa home, kwa mweNye busara anaweza kutambua dhumuni la thread hii na sisi ni wajibu wetu kuonyesha hapa bongo kuna makaZi kama hayo au yanafanana na yao na labda tupo nyuma kidogo tu kama nuilivyogusia makazi mengi uliyoyaona ni mapya au yapo katika hatua za mwisho za ujenzi, na kitu kama hiko kinakuja tanzania na kimeshaanza kufanyika, tulikua na mall kama mlimani ciyy lakini kwa sasa ukienda nyerere road tu kuan mall kibao quality center tayari wamefungua na mkiki house na menbgine kibao, kama umewahi kutembela forum ya SSC basi ungelewa vizuri dhumuni la thread hii, kuna watu wanaibeza Tanzania bila aibu na ukitaka kuhakikisha nenda SSC , nadhani kuna watu wamejazwa sijui nini huko vichwani mwao na chochote cha Tanzania ni joke kwao,

angalia na zile thread sijui za midle income class zote zimekuja kutafuja uchokozi na kuleta majigambo, wenye busara watanielewa
 
kunaa bias sanaa kwenyee hizi pichaaa,ukichekii pichaa za kenyaaa nyingi zimepigwa sehemu kwenye makaziii boraaaa,hata nairobii kunaa mitaa mibayaaa,kama konaa mbayaaa...pichaa nyingi za tanzania azija chukuliwaa kwenye best location.sithani kamaa alie pigaa picha arusha,hakuonaa sehemu kunaa nyumbaa na kumepangikaaaaa vizuri,mfano...njiro,moshono,soweto....tuachee kujiangushaa wenyeweeee.
ukooo sawaaa kuhusu kenyaaa.lol
 
Back
Top Bottom