Kenyan VP Impeachment in Senate. Kenya is a million miles away in Democrat Practice. Tanzania inahitaji miaka 1000 kufikia kiwango hichi

Gachagua anatolewa kwa sababu ni mtu mjinga mjinga, mkabila wa wazi na fisadi.
And this should AND MUST BE a general rule if anyone get top position Or AUTHORITY must be subjected to ACCOUNTABILITY or DOUBT to APPOINTMENT
 
Kenya inakimbia kwa kasi sana. Kwa uchumi na ustaarabu pia.
 
And this should AND MUST BE a general rule if anyone get top position Or AUTHORITY must be subjected to ACCOUNTABILITY or DOUBT to APPOINTMENT
Ikiwa hivi ushenzi ushenzi mwingi utapungua.
 
Mimi nikianzishaga juzi za kenya maswala ya impeachment kina Melo wanazipiga chini jamaa wapo bias kinoma. Ngoja nione kama ww utadumu.

Jamaa wana mabayas kinoma
Moderatored content in favor of PEOPLE IN POWER+Cheap diplomatic Regional FEAR
 
KenyA is 1000,000 a head on Trabalism with the coat of Better Constitution.. in Africa
 
Hii kitu ilipangwa toka zamani,na even Kenyan they know that after Ruto,Rigathi atachukua madaraka.
Kilichofanyika wala sio cha kuiga it's a deadly game they are praying to brainwash the minds of the people.
Sisi kama Watanzania hakuna cha kujifunza hapo.
We did this during Richmond and it cost us a lot kiasi ya kutuingiza kwenye Siasa mbaya za uhasama kiasi cha kuwafanya watu kuwa machawa wa wanasiasa ili wapate madaraka.Na hii ni kwa vyama vyote vya Siasa.
 
There SHOULD BE A BALANCE OF POWER between PILLARS, not ONE of them FEELING is SUPERIOR than the others. EACH PILLER MUST STAND FOR WHAT IT FEEL BIS OKAY and after that feel SAFE and NOT without fear or INTIMIDATION of (KUBAMBIKIWA KESI, KUFILISIWA, KUTWEKWA, KUTENGULIWA BILA SABABU there after KAufanyiwa FIGISU e.t c
 
Hakuna kitu kama hicho, angalia na kusikiliza hilo bunge, utaona jinsi jamaa walivyo huru.
Ruto hana uwezo wa kuwapanga wabunge
Na si kweli kuwa hana mawasiliano ya wabunge....
 
Former US President Donald Trump was impeached twice. He survived both. TUSIOGOPE DEMOKRASIA.
 
No fear or intimidations in Republic of Kenya?🤣
 
Vice president ameshakuwa impeached
 
Sisi tuna safar ndefu. Tena sana.
Embu ona hata kura zinapigwa live kwenye televishen na wananchi wanaona
Watu wakiambiwa katiba mpya wanaleta stories, kenya wana katiba na matokeo tunayaona
 
kuna kakundi fulani kenyewe kapo busy kuandika majina kwenye vitabu, yaani ukurasa mmoja unaandikwa majina manne tu alafu unaenda kurasa zingine unaweka majina mawili kurasa zingine majina matatu....sehemu zilizoachwa wazi zote wanakwenda kujaza majina hewa ama majina ya watu ambao wala hawajakwenda kujaza na kusaini......wakija publicity utasikia ni ngumu sana kumtoa mkuu wa meza maana ameweka mizizi kitambo sana 😛
 
Huyo gachagua anatolewa kwa sababu Ruto hamtaki, sio kwa sababu yeyote ile unayodhani,
Kama mafisadi wapo wengi sanaaaaa ila hawatolewi

So elewa hapo kenya wanalamba viatu vya Ruto
Hoja ya mleta mada ni vyombo vya maamuzi vya Wakenya kulishughulikia jambo hilo kwa uwazi na weledi kuanzia ktk Bunge na sasa ktk Senate kwa kila mjumbe kutoa mawazo/maoni yake binafsi kwa kadiri aonavyo na amiinivyo yeye....

Hoja si Ruto kutokumtaka, kumchukia au kumpenda au kumfanyia fitna msaidizi wake DP Rigathi Gachagua....

Kama kuna hoja za namna hii (kutotakiwa au kusingiziwa au kupakaziwa) mambo fulani kwa DP Gachagua na boss wake Pr. William Ruto kwa lengo la kumtoa, basi ndio wakati wa wajumbe wa vyombo hivi viwili muhimu kufanya maamuzi kwa kuchambua na kuweka kila kitu kwa uwazi bila hofu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…