Kenyans clash with Tanzanian police after businessman is abducted.

Kenyans clash with Tanzanian police after businessman is abducted.

Sinister

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
1,531
Reaction score
1,577
IMG_20190327_180905.png
For hours, demonstrations have rocked the Kenya-Tanzania border town of Namanga.

According to the officer, the demonstration erupted following yesterday’s (Tuesday) abduction of Kenyan businessman of whom the protesters say was driven into Tanzania.

A civil servant in Namanga, whose identity we protect because he is not authorised to speak on behalf of the government, has told Standard Digital that angry demonstrators blocked the road to Tanzania cutting out traffic to and from the two countries.

He says things got nasty when Tanzania police approached a perimeter wall separating the Kenya and Tanzanian sides after which the protesters got more agitated and the Tanzanians lobbed tear gas canisters at them.

He says the Kenyans took advantage of the wind that was blowing towards Tanzania to throw the canisters back at the Tanzanians after which it became an exchange of the irritating gas.

Residents block the Nairobi-Arusha road at Namanga.
When the situation threatened to get out of hand, he says, Tanzanian police fired into the air and the situation had not changed by the time this story was posted online.
 
Naona hili kundi hatari la Tanzania linalofahamika kama wasiojulikana limepata ujasiri wa kuvuka mpaka na kufanya yao, ila jinsi serikali yetu ilivyo ovyo, jambo kama hili wanaweza kulipotezea.
Hapa ndio huwa natamani tutawaliwe na watu kama Kagame, yule huwa hawabembelezi Watanzania, huwaliza sana.

Yaani kama watu wa ikulu hupitia humu wajue huwa nawachukulia ovyoo sana na wana udhaifu wa kijinga, tunafaa tufikie maamuzi ya ku-declare uhusiano baina ya hizi nchi mbili kama hostile, iwe kama kinachotokea baina ya Rwanda na Uganda.
 
Tye tye Hawa jamaa Taabu sana
Hawa watu bila kuwapeleka wimawima hawaelewi kabisa nasikia police wao walikuwa wakiwanunulia vijana chakula na maziwa ili wafanye fujo mpaka pesa ya kununua matairi na petrol imetolewa na police wa Kenya

Cha ajabu hayo yote wanayafanya upande wao huko kenya 😂😂😂😂😂 zumbukuku haswa

Sisi tumewapiga mabomu ya machozi hatutaki kelele
 
Naona hili kundi hatari la Tanzania linalofahamika kama wasiojulikana limepata ujasiri wa kuvuka mpaka na kufanya yao, ila jinsi serikali yetu ilivyo ovyo, jambo kama hili wanaweza kulipotezea.
Hapa ndio huwa natamani tutawaliwe na watu kama Kagame, yule huwa hawabembelezi Watanzania, huwaliza sana.

Yaani kama watu wa ikulu hupitia humu wajue huwa nawachukulia ovyoo sana na wana udhaifu wa kijinga, tunafaa tufikie maamuzi ya ku-declare uhusiano baina ya hizi nchi mbili kama hostile, iwe kama kinachotokea baina ya Rwanda na Uganda.
Wafunzeni kazi hao sio kila mtu anahusudu polisisisiem Kazi kukurupuka
 
Kutakuwa kuna tatizo na je wqo wanaushahidi gan kama huyonjamaa katekwa ? Na waio mteka ni akina nani ...hao polisi wa kenya ni maboya sanaa kwqnn wasi joint na wenzao kuchunguza issue ninn maana msije mkawa mnatufanyia fujo alafu usikute walio mteka ni wakenya wenzenu ila tu wameamua tu kukimbilia Tz
 
Pole saana kwa uchungu na maumivu makali ya kuona jinsi wakora wa nchi X walivyo na uwezo wa kupenya Kenya na kufanya yao then kusepa ya bila intelenjisia yenu kugundua

Yaani kama USA walivyomnyakua Osama bin Laden ndani ya Pakistan vile
Naona hili kundi hatari la Tanzania linalofahamika kama wasiojulikana limepata ujasiri wa kuvuka mpaka na kufanya yao, ila jinsi serikali yetu ilivyo ovyo, jambo kama hili wanaweza kulipotezea.
Hapa ndio huwa natamani tutawaliwe na watu kama Kagame, yule huwa hawabembelezi Watanzania, huwaliza sana.

Yaani kama watu wa ikulu hupitia humu wajue huwa nawachukulia ovyoo sana na wana udhaifu wa kijinga, tunafaa tufikie maamuzi ya ku-declare uhusiano baina ya hizi nchi mbili kama hostile, iwe kama kinachotokea baina ya Rwanda na Uganda.

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Nyepesi zinasema ni gaidi aliyekuwa anasakwa na nchi zote mbili.
 
Normal Kenyans can fight Tanzanian police. Alafu unasikia wengine wakikuambia Tanzania army is strong.
 
Back
Top Bottom