wanaongozwa na Makabila mawili (kikuyu and Kelenjin) kwa Miaka 60 sasa,Hawa jamaa kuna laana fulani inawatafuna sio bure. Hebu cheki hivi vitu;
1. Ukame ni wao.
2. Njaa ni yao.
3. Nzige ni janga lao pia.
4. Rushwa imejaa kwao.
5. Tamaa mbaya ya viongozi ni kwao.
6. ....
Kwanini? Nasikia hata msaada wa korona kits alizozitoa Jack Maa zimepotea mazima. Sijui wameziuza wapi?
Unaumwa wewe, aliyemtaja magufuli ni nani? Hivi mlitimiziwa hizi ahadi za kujengewa viwonder vingi na mitumba yenu kuuzwa Ulaya? [emoji38]Hivi wakenya mnapata wapi ujasiri wa kuzungumza na Tanzani kuhusu politicians wenu wasivyowajibika kwa wananchi badala yake wao hujilimbikizia Mali.
Katika eneo la wanasiasa kuwajibika na kuwatumikia wananchi badala ya kujilimbikizia mali, Tanzania inaongoza Africa nzima, Tanzanian politicians are closer to wananchi than any other politicians in Africa if not in the World.
Magufuli is the most hardworking president in the World currently still the second poorest and less paid president in Africa after Buhari of Nigeria.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Sehemu zilizoendea kama Tz au unamaanisha nini? 😀 UK walimng'atua PM wao madarakani kisa hakuwajibika, Thambo Mbeki wa S.A pia, Hosni Mubarak wa Misri n.k, n.k. Huna ufahamu wowote kuhusu masuala kama haya, akili zako ni saizi ya kukimbiza tu mwenge.Sehemu zilizoendelea ulishawahi kuona wanalalama kwa viongozi wao juu ya ahadi za uongo?
Hapo ndio utaona bora kichwa changu kinasaidia hata kubeba meno, ila cha kwako kina mzigo wa uchafu tu hapo ndani.
Unafahamu maana ya kuwajibika? Au unatype tu sababu keyboard inaruhusu?Sehemu zilizoendea kama Tz au unamaanisha nini? 😀 UK walimng'atua PM wao madarakani kisa hakuwajibika, Thambo Mbeki wa S.A pia, Hosni Mubarak wa Misri n.k, n.k. Huna ufahamu wowote kuhusu masuala kama haya, akili zako ni saizi ya kukimbiza tu mwenge.
Hapa labda ni kwa wazazi wako na upo hapa kupiga mdomoIla kunaonekana kuna umaskini na ufukara mno, cheki kulivopauka na watu walivyochakaa kwa kukosa matumaini [emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni wananchi ambao wanajitambua hurusha mawe ili viongozi waajibike. Najua huko kwenu mkushaimbiwa drimlaina na SGRaa foleni za kupiga zinajaa kondoo.Unafahamu maana ya kuwajibika? Au unatype tu sababu keyboard inaruhusu?
Kwanza argument na wapenda sifa wakati unashindia kiporo cha ugali wa juzi huwa sizifanyi. Kajifunze kiswahili ndio uje ulete facts za viongozi wako wamefanya nini ndio tutaelewana. Kama mna maendeleo wananchi wangerusha mawe ya nini?
Ni wananchi ambao wanajitambua hurusha mawe ili viongozi waajibike. Najua huko kwenu mkushaimbiwa drimlaina na SGRaa foleni za kupiga zinajaa kondoo.
View attachment 1560442
Usisahau Wakenya ndio mnaoweza wasiliana nao kwa lugha ya Kiswahili dunia nzima...respect our SWAHILI [emoji16]
Ukiachana na wakikuyu wenye wivu kwa Tanzania, Africa yote imekubali kwamba Magufuli is the best president, au unataka wazungu ndio wakuambie hivyo?, soma comments za waafrika ikiwemo wakenya wenzako baada ya kusikiliza videoUnaumwa wewe, aliyemtaja magufuli ni nani? Hivi mlitimiziwa hizi ahadi za kujengewa viwonder vingi na mitumba yenu kuuzwa Ulaya? [emoji38]
Uko gizani kwani wewe ni Mtazangiza kutoka Tanzagiza?Kwani katika nchi zenye kuongea kiswahili hata kenya imo kwenye orodha!
Tanzania yote hakuna sehemu iliyofikia ukame wa maeneo ya kaskazini mwa Kenya, huku Kenya kuna eneo kubwa sana utadhani jangwa kabisa.Sio kweli kwamba Tanzania yote in Rutuba, Wewe umesafiri mikoa ya Dodoma, Singida na Tabora na baadhi ya maeneo ya Iringa, Ni kukame sana ila watu wanalima na Kumwagilia alizeti na Zabibu like no one's bussiness,
Ndio maana unaona Tanzania inaongoza kiuchumi ukanda huu wote kwenye idadi ya Milionaires na billionaires yaani kila idara, na inaweza kumudu kulisha nchi kama Kenya yenye watu zaidi ya Milioni 45,
Huwezi kuwa mzembe ukalisha mataifa y Kenya na Rwanda kwa 100%
Pili Tanzania Sio maskini tena, ni nchi ya Kipato cha katiView attachment 1560310
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa ninapenda kutumia reasoning kwanza, kama sehemu ni very dry, hiyo Miraa inastawi vipi?hebu Google kidogo u will see that mbeere leads in miraa farming
What have you done kwenye huo ukame? Dodoma watu wanamwagilia mashamba kwa Underground waters, why this is so hard huko turkana?Tanzania yote hakuna sehemu iliyofikia ukame wa maeneo ya kaskazini mwa Kenya, huku Kenya kuna eneo kubwa sana utadhani jangwa kabisa.
Hapo utakuta yupo hospotali anatiwa maji mwilini kutokana na mshtuko[emoji23][emoji23]Jamaa anaitwa King'ang'i- mamba kwa kimbeere, kiembu, kitharaka, kichuka na kikamba pia, ila ana mbio kama swara. [emoji1][emoji1][emoji1] Vaaii ariteng'era marathoni ta Kipchoge mukuru! [emoji38]
Hushangai mbna tumewazidiHawa jamaa kuna laana fulani inawatafuna sio bure. Hebu cheki hivi vitu;
1. Ukame ni wao.
2. Njaa ni yao.
3. Nzige ni janga lao pia.
4. Rushwa imejaa kwao.
5. Tamaa mbaya ya viongozi ni kwao.
6. ....
Kwanini? Nasikia hata msaada wa korona kits alizozitoa Jack Maa zimepotea mazima. Sijui wameziuza wapi?
Baada ya kuona umekamatwa sasa unakimbilia kw lugha[emoji23][emoji23][emoji23]Unafahamu maana ya kuwajibika? Au unatype tu sababu keyboard inaruhusu?
Kwanza argument na wapenda sifa wakati unashindia kiporo cha ugali wa juzi huwa sizifanyi. Kajifunze kiswahili ndio uje ulete facts za viongozi wako wamefanya nini ndio tutaelewana. Kama mna maendeleo wananchi wangerusha mawe ya nini?
Angry residents of Mbeere South pelted stones and chased away their MP, Col. Geoffrey King'ang'i for failing to fulfil numerous promises he made to themView attachment 1559909View attachment 1559910View attachment 1559911
Hii imefuraisha watu kwa comments hapa👇
What have you done kwenye huo ukame? Dodoma watu wanamwagilia mashamba kwa Underground waters, why this is so hard huko turkana?
Sent using Jamii Forums mobile app