Kenya's military might

Hawa ndio majimaji rebellion ama nini.
Wanaitwa Local Government Law enforcement.
Wewe jichanganye tu vijijini uibe au udanganye utawatabua wao ni nani? Ukifika mgeni kwenye kijiji lazima wakujue.
Kunasehemu wameweka tangazo "KAMA WEWE NI MWIZI AGA NYUMBANI"
 
Mimi sijui kingereza labda wewe kwakuwa unajua kiswahili na kingereza unaweza kutusaidia.
Military = jeshi

Police = polisi.

Hakuna kitu kinachoitwa jeshi la polisi, huo ni upotoshaji. Jeshi linaitwa jeshi na polisi inaitwa polisi.

Mkuu wa majeshi anaitwa mkuu wa majeshi ya ulinzi(Chief of Defence) sio ulinzi(ulinzi)na usalama(security). Rais ndiye Amiri jeshi wa vyombo vya ulinzi na usalama.
 
Google ndiyo nchi gani?
Wewe weka siraha hapa tuone kama kweli huwa hamkojoi kitandani.

SIJUI KESHO.
 
Hiyo issue ni yenu wakenya sisi tunataratibu zetu.
Nimekupatia link ukasome mbona hutaki kusoma?

Jeshi la Polisi Tanzania
Mwanzo | Jeshi La Polisi Tanzania
Jeshi la zima moto na uokoaji
Jeshi la Zimamoto – Kuokoa maisha na mali
Jeshi la Kujenga Taifa
http://www.jkt.go.tz/
 
Si umesema force ni kani, neno jeshi limetoka wapi?
Rudia kusoma hapa:

Ndio maana umeulizwa unajua jeshi ni nini?
Siku hizi naona umeanza kupoteza kumbukumbu
Aliye uliza ni wewe. Nikakuambia ulete jibu mimi sijui kingereza. Sasa unakimbia kimbia kama kichaa au zimefyatuka kidogo?
Check hapa ulivyo uliza:

Kwani jeshi ni nini? unaweza kuandika kwa kiingereza jeshi la magereza au uhamiaji?
 
Siku hizi naona umeanza kupoteza kumbukumbu
Aliye uliza ni wewe. Nikakuambia ulete jibu mimi sijui kingereza. Sasa unakimbia kimbia kama kichaa au zimefyatuka kidogo?
Check hapa ulivyo uliza:
Swali la kwanza uliambiwa uandike kwa kiingereza na swali la pili utoe maana hata kama ni ya kiswahili.
 
Navy base ipo Kigambni facing Dar Port.

Hivi nani amekutuma kutoa information za Kijeshi kama hizo mnatumika kwenye mitandao kutoa information zingine ambazo kama watoto weka vitu vilivyo public kama zinazoonyeshwa kwenye maonyesho basi, BETTER Waseme wao
 
Tuliza mshono, hata uki google unaweza kuliona !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…