Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,887
Mimi sijui kingereza labda wewe kwakuwa unajua kiswahili na kingereza unaweza kutusaidia.Kwani jeshi ni nini? unaweza kuandika kwa kiingereza jeshi la magereza au uhamiaji?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi sijui kingereza labda wewe kwakuwa unajua kiswahili na kingereza unaweza kutusaidia.Kwani jeshi ni nini? unaweza kuandika kwa kiingereza jeshi la magereza au uhamiaji?
Hawa ndio majimaji rebellion ama nini.Jeshi la Sungusungu
![]()
![]()
![]()
Halafu kumbuka kuna jeshi lingine limeongezeka hapa tanzania kulingana na kukua kwa technolojia.Kwani jeshi ni nini? unaweza kuandika kwa kiingereza jeshi la magereza au uhamiaji?
Wanaitwa Local Government Law enforcement.Hawa ndio majimaji rebellion ama nini.
Military = jeshiMimi sijui kingereza labda wewe kwakuwa unajua kiswahili na kingereza unaweza kutusaidia.
Google ndiyo nchi gani?kwani ww kipofu?? pale somalia na sudan kusini wanalisha ng'ombe au? nyi mna uzoefu upi?? nchi imetulia sana...hakuna threat from within or without...tanzania has never gone to war...my friends, huwa mnapenda majivuno ila hamna chochote...nenda Google just search most powerful african militaries...kisha uje uniambie...hata nashuku hizo missile launchers hamjui kutumia...
Hiyo issue ni yenu wakenya sisi tunataratibu zetu.Military = jeshi
Police = polisi.
Hakuna kitu kinachoitwa jeshi la polisi, huo ni upotoshaji. Jeshi linaitwa jeshi na polisi inaitwa polisi.
Mkuu wa majeshi anaitwa mkuu wa majeshi ya ulinzi(Chief of Defence) sio ulinzi(ulinzi)na usalama(security). Rais ndiye Amiri jeshi wa vyombo vya ulinzi na usalama.
Issue gani?Hiyo issue ni yenu wakenya sisi tunataratibu zetu.
Nimekupatia link ukasome mbona hutaki kusoma?
Jeshi la Polisi Tanzania
Mwanzo | Jeshi La Polisi Tanzania
Jeshi la zima moto na uokoaji
Jeshi la Zimamoto – Kuokoa maisha na mali
Jeshi la Kujenga Taifa
http://www.jkt.go.tz/
Issue zenu za kusema police siyo jeshi.Issue gani?
Si umesema force ni kani, neno jeshi limetoka wapi?Issue zenu za kusema police siyo jeshi.
Kwetu sisi Tanzania Police ni jeshi. Linaitwa Jeshi la Police.
Unaswali jingine?
Rudia kusoma hapa:Si umesema force ni kani, neno jeshi limetoka wapi?
Kwetu tanzania Police linaitwa Jeshi (Jeshi la polisi Tanzania). Sawa
Wote hao ni jeshi.
Amiri Jeshi mkuu ni raisi
Majeshi yaliyopo Tanzania:-
1. Jeshi la Polisi
2. Jeshi la Uhamiaji
3. Jeshi la zima moto na uokoaji
4. Jeshi la magereza
5. Jeshi la mali asili
6. Jeshi la mgambo na kikosi cha akiba
7. Jeshi la kujenga Taifa
8. Jeshi la wananchi Tanzania
9. Jeshi la sungusungu
Mpaka hapo utakuwa umeelewa kuwa watanzania wote ni wanajeshi wanatofautiana idara zao tu.
Ndio maana umeulizwa unajua jeshi ni nini?
Siku hizi naona umeanza kupoteza kumbukumbuNdio maana umeulizwa unajua jeshi ni nini?
Kwani jeshi ni nini? unaweza kuandika kwa kiingereza jeshi la magereza au uhamiaji?
Married?It seems like ur a fool of his own kind because that isn't a link,that is what i wrote to reply to your comment
Swali la kwanza uliambiwa uandike kwa kiingereza na swali la pili utoe maana hata kama ni ya kiswahili.Siku hizi naona umeanza kupoteza kumbukumbu
Aliye uliza ni wewe. Nikakuambia ulete jibu mimi sijui kingereza. Sasa unakimbia kimbia kama kichaa au zimefyatuka kidogo?
Check hapa ulivyo uliza:
Jeshi la kujenga Taifa (JKT)Swali la kwanza uliambiwa uandike kwa kiingereza na swali la pili utoe maana hata kama ni ya kiswahili.
Maana ya neno jeshi tu.Jeshi la kujenga Taifa (JKT)
![]()
![]()
![]()
Navy base ipo Kigambni facing Dar Port.
Tuliza mshono, hata uki google unaweza kuliona !Hivi nani amekutuma kutoa information za Kijeshi kama hizo mnatumika kwenye mitandao kutoa information zingine ambazo kama watoto weka vitu vilivyo public kama zinazoonyeshwa kwenye maonyesho basi, BETTER Waseme wao