Kenya's military might

Mkuu nakubaliana na wewe kuhusu uwezo wa kijeshi wa misri (sio waarabu wote).

Lakini kuhusu Yom Kippur war, sio kweli kuwa Egypt walishinda, washindi katika ile vita ni Israel, wakiwapiga misri na Syria kwa pamoja!

Sema kinachoonekana ionekane Israel walishindwa ni kwa sababu raia wengi wa Israel walikufa. Kilichofanyika misri ikaomba vita imalizike huku Israel nao wakiomba vita iishe, ndo UN wakaingilia kati na kusaini hayo makubaliano ya amani!

Kujiuzuru kwa waziri mkuu, waziri wa ulinzi, makatibu wa wizara zote za ulinzi na usalama haikuwa kwa sababu ya kupoteza vita! La hasha!

Sababu kubwa la kujiuzuru kwa hao watu ni kwa sababu watu hao walikataa kata kata taarifa iliyotolewa na mossad kuwa Israel ingeshambuliwa na misri na Syria siku hiyo ya Yom Kippur.

Kukataa kwao kulisababisha hata wasiwaandae wanajeshi waliokuwa mapumzikoni kutokana na sikukuu hiyo, na kweli Israel ikashambuliwa kama mossad walivyoonya na hakukuwa na mwanajeshi hata mmoja aliyekuwa tayari kwa vita!

Ndio maana hao watu wakajiuzuru kutokana na report ya tume iliyoundwa kuchunguza utaratibu ulioutumika katika kutafsiri taarifa iliyotolewa na mossad
 
Umesahau tulivyowafurumusha kule Amboni Tanga mkuu

Niseme tu uwezo ni kuzuia sio kupambana

nYaNi wA KaLe
 
Kenya kuna viasi vidogo vidogo wamevishindwa

nYaNi wA KaLe
 
Eti hatuna rekodi za kivita? Sio kweli! Tuna rekord nyingi za kivita kuliko kenya, tena tunawazidi mbali kabisa kwenye hayo masuala!

Kitu kinachoonekana nyie muonekane ni jeshi bora duniani ni kwa sababu ya kusaidia serikali ya Somalia dhidi ya alshabaab! Hii inachangia kwanza mtumie pesa nyingi kwenye bajeti yenu, pili mpate misaada mingi ya kijeshi kutoka nchi wahisani na hivyo kuonekana nguvu yenu ya kijeshi ikiongezeka
 
watanzania muishi kuomba vita isiwai tokea na sisi (kenya) juu recce squad+gsu itamaliza tpdf
 
Ile kagera war ni mchiriku?

nYaNi wA KaLe
 
Kdf ishajikatia tamaa labda amjui mambo ya kijeshi kwenye kupima morali tuje tukusaidieni ili mjue cha kufanya
 
GSU walikuwa wapi kwani wakati vijana watatu walivoteka WASTEgate? Mtaweza kweli kupamabana na wakora M23 msituni? Si badala ya kupigana nao mtatafuta chainsaws mukate miti mukauze mbao 😀... Kuna tofauti ya Jeshi (JWTZ) na Majambazi (KDF)
 
Sawa nimekubali. Lakini nina swali, haya mambo yanatia ugali kwenye sahani yako vipi?
SISI wa tz tunanunua siraha kimikakati siyo nyinyi mnanunua ovyo ovyo misiraha matokeo mnashindwa kuzitumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…