Hiyo idadi ya watu iko sahihi? Au ilitengenezwa na wanywa Chang'aa wa kiambuu?Magu tatizo lake anafikiri kama mtu ambaye hajasoma. Anafikiri population kubwa ndio italeta mali kwenye nchi. Industrialisation ndio itasaidia nchi za Afrika.
Same websitehiyo GDP yenu ni ya kupika, hauwezi kukuza GDP zaidi ya 40b kwa miaka minne, 2015 mlikua na 60b at the 4% growth annually
View attachment 1254603
Industrialization bila ya watu haiwezekani. Angalia industries za western countries zenye diminishing population, uone zinavyojifia. Zipo hadi documentaries.Magu tatizo lake anafikiri kama mtu ambaye hajasoma. Anafikiri population kubwa ndio italeta mali kwenye nchi. Industrialisation ndio itasaidia nchi za Afrika.
Nilikuwa nchi fulani Europe ambayo ina watu millioni kumi lakini wana Gdp kubwa kushinda Gdp ya East Africa combined na ukumbuke East Africa tuna watu zaidi ya milioni 150. Kwa hivyo usiniambie mambo ya population. Population haidetermine level of development. Development is determined by level of industrialisation. Kuna nchi Europe zina watu chini ya milioni tatu na wao ni first world complete with electric trains and underground metros. Population ya China ilikuwa kizungumkuti hadi walipoanza kuindustrialize ndio standard of living ika improve.Industrialization bila ya watu haiwezekani. Angalia industries za western countries zenye diminishing population, uone zinavyojifia. Zipo hadi documentaries.
Kwanza iliwalazimu China wawe na "one child policy" hapo 70s ndiposa wapate nafuu ya kuendelea.Nilikuwa nchi fulani Europe ambayo ina watu millioni kumi lakini wana Gdp kubwa kushinda Gdp ya East Africa combined na ukumbuke East Africa tuna watu zaidi ya milioni 150. Kwa hivyo usiniambie mambo ya population. Population haidetermine level of development. Development is determined by level of industrialisation. Kuna nchi Europe zina watu chini ya milioni tatu na wao ni first world complete with electric trains and underground metros. Population ya China ilikuwa kizungumkuti hadi walipoanza kuindustrialize ndio standard of living ika improve.
Uko sahihi broNilikuwa nchi fulani Europe ambayo ina watu millioni kumi lakini wana Gdp kubwa kushinda Gdp ya East Africa combined na ukumbuke East Africa tuna watu zaidi ya milioni 150. Kwa hivyo usiniambie mambo ya population. Population haidetermine level of development. Development is determined by level of industrialisation. Kuna nchi Europe zina watu chini ya milioni tatu na wao ni first world complete with electric trains and underground metros. Population ya China ilikuwa kizungumkuti hadi walipoanza kuindustrialize ndio standard of living ika improve.
I've been too, read their stories. My point is, there is cons and pros to everything, ujanja ni moderation.Nilikuwa nchi fulani Europe ambayo ina watu millioni kumi lakini wana Gdp kubwa kushinda Gdp ya East Africa combined na ukumbuke East Africa tuna watu zaidi ya milioni 150. Kwa hivyo usiniambie mambo ya population. Population haidetermine level of development. Development is determined by level of industrialisation. Kuna nchi Europe zina watu chini ya milioni tatu na wao ni first world complete with electric trains and underground metros. Population ya China ilikuwa kizungumkuti hadi walipoanza kuindustrialize ndio standard of living ika improve.
Pia hawa wabongo wanaongoza dunia nzima kwa takwimu za wasichana wao wanaopachikwa mimba za mapema pamoja na kuozwa mapema ,haya yote hutokana na ujinga pamoja na umasikini uliokubuhu.
Huyo kuhani wao mkuu siye aliyeamuru kukamatwa kwa wanaopata mimba za mapema pamoja na watwikaji?
Akaamrisha watimuliwe na mashuleni kabisa kwasababu hili lilishakua kero kupitiliza hapo LDC?
HAHHAHHHAAH!
Maajabu haya.
Kisha baadae kaja tena na kauli za ajabu ,eti wazaliane.
Ushoshalisti ni umasikini uliotukuka.
And for those who used to lie here that Kibera is 2.5 million people shame on you. According to 2019 census Kibera is only 185,000 people with 61,690 households. In every household there were averagely 2.9 people. This means that there are approximately 10,281 house structures in Kibera.
Dar Kwa sasa tumeshafika 6ml tunaelekea 7mil
Ukubwa wa Tanzania
Ni Kenya +Uganda+Burundi+Rwanda
Na change inabakia
Hilo hujaliona?
Lakini Dar Ni kubwa karibu mara 3 ya Nairobi
Eneo ambalo wakazi watatu wa Nairobi wanaishi ni sawa na eneo analo kaa mkazi mmoja tu wa Dar anaishi, mbaya zaidi pia resources kama maji ni shida huko Nairobi
Nimesoma BBC ni 50% tu ya Nairobi wana access to water wakati Dar ni 95% (tap water)
Mada ni idadi ya watuTanzania ni kubwa mara nne ya UK na UK ina watu wengi kuliko Tanzania. Fikiria, kuendelea kwa nchi sio ukubwa wa ardhi.
Hivi hapo sijaongelea idadi ya watu wee mnywa gongo?Tumia Akili kujibu sio kukurupuka kama mnywa Chang'aa
Mada ni idadi ya watu
Nimesema Tanzania ni kubwa karibu mara mbili ya Kenya
Ajabu zinakaribiana idadi ya watu
Huoni Nchi yenye Shida hapo ni Kenya
Kumbe sasa mnapopayuka povu kwamba tunazaana sana mnakuwa mnaangalia vigezo gani??Hivi hapo sijaongelea idadi ya watu wee mnywa gongo?
This is the problem of arguing with albino eater. The 187k is the total number of people in Kibera constituency and the constituency is divided into groups. Kibera slum is one part of Kibera constituency. Others are Lindi estate, Kenyatta, Golf course. This part is also Kibera.Kibera manispaa council ,shame on you unaeona watu laki mbili kasoro Ni kidogo
Kwenye issue ya industrialization huyo Magu unae sema hafikirii vizuri anasemaje?Magu tatizo lake anafikiri kama mtu ambaye hajasoma. Anafikiri population kubwa ndio italeta mali kwenye nchi. Industrialisation ndio itasaidia nchi za Afrika.