Kenya's population stands at 47.6 million; Nairobi most populous county with 4.4 million people. A breakdown

Magu tatizo lake anafikiri kama mtu ambaye hajasoma. Anafikiri population kubwa ndio italeta mali kwenye nchi. Industrialisation ndio itasaidia nchi za Afrika.
Hiyo idadi ya watu iko sahihi? Au ilitengenezwa na wanywa Chang'aa wa kiambuu?
IMG_20191106_094409.jpeg
 
Magu tatizo lake anafikiri kama mtu ambaye hajasoma. Anafikiri population kubwa ndio italeta mali kwenye nchi. Industrialisation ndio itasaidia nchi za Afrika.
Industrialization bila ya watu haiwezekani. Angalia industries za western countries zenye diminishing population, uone zinavyojifia. Zipo hadi documentaries.
 
Nilikuwa nchi fulani Europe ambayo ina watu millioni kumi lakini wana Gdp kubwa kushinda Gdp ya East Africa combined na ukumbuke East Africa tuna watu zaidi ya milioni 150. Kwa hivyo usiniambie mambo ya population. Population haidetermine level of development. Development is determined by level of industrialisation. Kuna nchi Europe zina watu chini ya milioni tatu na wao ni first world complete with electric trains and underground metros. Population ya China ilikuwa kizungumkuti hadi walipoanza kuindustrialize ndio standard of living ika improve.
 
Kwanza iliwalazimu China wawe na "one child policy" hapo 70s ndiposa wapate nafuu ya kuendelea.
Hawa wabongo ni vichwa vya wendawazimu.
Wakiongozwa na huyo hapo wa magogoni.
Walakin sina shaka kwa kua Bado wanpokea misaada toka hao wanaowaita mabeberu ,nna hakika watawasaidia kupangilia uzazi na wakizidi kua malofa watawapunguzeni idadi kwa nguvu.
Mbinu mzungu anazo nyingi tu.
 
Nilikuwa nchi fulani Europe ambayo ina watu millioni kumi lakini wana Gdp kubwa kushinda Gdp ya East Africa combined na ukumbuke East Africa tuna watu zaidi ya milioni 150. Kwa hivyo usiniambie mambo ya population. Population haidetermine level of development. Development is determined by level of industrialisation. Kuna nchi Europe zina watu chini ya milioni tatu na wao ni first world complete with electric trains and underground metros. Population ya China ilikuwa kizungumkuti hadi walipoanza kuindustrialize ndio standard of living ika improve.
Uko sahihi bro
 
Pia hawa Wabongo wanaongoza dunia nzima kwa takwimu za wasichana wao wanaopachikwa mimba za mapema pamoja na kuozwa mapema ,haya yote hutokana na ujinga pamoja na umasikini uliokubuhu.
Huyo kuhani wao mkuu siye aliyeamuru kukamatwa kwa wanaopata mimba za mapema pamoja na watwikaji?
Akaamrisha watimuliwe na mashuleni kabisa kwasababu hili lilishakua kero kupitiliza hapo LDC?
HAHHAHHHAAH!

Maajabu haya.
Kisha baadae kaja tena na kauli za ajabu ,eti wazaliane.
Ushoshalisti ni umasikini uliotukuka.
 
Nilikuwa nchi fulani Europe ambayo ina watu millioni kumi lakini wana Gdp kubwa kushinda Gdp ya East Africa combined na ukumbuke East Africa tuna watu zaidi ya milioni 150. Kwa hivyo usiniambie mambo ya population. Population haidetermine level of development. Development is determined by level of industrialisation. Kuna nchi Europe zina watu chini ya milioni tatu na wao ni first world complete with electric trains and underground metros. Population ya China ilikuwa kizungumkuti hadi walipoanza kuindustrialize ndio standard of living ika improve.
I've been too, read their stories. My point is, there is cons and pros to everything, ujanja ni moderation.
Check their populations walivyokuwa wanaanza industrialization back then compare na km sq za nchi, wao walishapita huko.
 
Pia hawa wabongo wanaongoza dunia nzima kwa takwimu za wasichana wao wanaopachikwa mimba za mapema pamoja na kuozwa mapema ,haya yote hutokana na ujinga pamoja na umasikini uliokubuhu.
Huyo kuhani wao mkuu siye aliyeamuru kukamatwa kwa wanaopata mimba za mapema pamoja na watwikaji?
Akaamrisha watimuliwe na mashuleni kabisa kwasababu hili lilishakua kero kupitiliza hapo LDC?
HAHHAHHHAAH!

Maajabu haya.
Kisha baadae kaja tena na kauli za ajabu ,eti wazaliane.
Ushoshalisti ni umasikini uliotukuka.

Subiri mtaona wasomali watakavyo take over your country.
Issue ni moderation, keep on imitating an ageing vanishing race.
Sawa kuna nchi kama naija huwezi shauri hivyo but Tz is so vast, kuna maeneo kibao yanahitaji kushughulikiwa na watu ili kuongeza vipato. And hatupewi donor kihivyo, tuko na mindset ya umoja na kujitegemea.
 
And for those who used to lie here that Kibera is 2.5 million people shame on you. According to 2019 census Kibera is only 185,000 people with 61,690 households. In every household there were averagely 2.9 people. This means that there are approximately 10,281 house structures in Kibera.

...........and that is the whole Kibra Subcounty - including Woodley, Ngumo, Kenyatta, Ayany and Upperhill which are not slums. Meaning Kibera slums could be having just about 120k people.
 
Dar Kwa sasa tumeshafika 6ml tunaelekea 7mil

Nairobi metro has more than 7M people. of the 2.4M people in Kiambu, about 1.4M are in Nairobi metro, of the 1.4 people in Machakos, about 600k are in Nairobi metro, of the 1.1 people in Kajiado, about 500k are in Nairobi metro making the total Nairobi metro population to be about 6.9M.
 
Ukubwa wa Tanzania
Ni Kenya +Uganda+Burundi+Rwanda
Na change inabakia
Hilo hujaliona?

Tanzania ni kubwa mara nne ya UK na UK ina watu wengi kuliko Tanzania. Fikiria, kuendelea kwa nchi sio ukubwa wa ardhi.
 
Eneo ambalo wakazi watatu wa Nairobi wanaishi ni sawa na eneo analo kaa mkazi mmoja tu wa Dar anaishi, mbaya zaidi pia resources kama maji ni shida huko Nairobi

Nimesoma BBC ni 50% tu ya Nairobi wana access to water wakati Dar ni 95% (tap water)

Ebu weka hapa link.
 
Tanzania ni kubwa mara nne ya UK na UK ina watu wengi kuliko Tanzania. Fikiria, kuendelea kwa nchi sio ukubwa wa ardhi.
Mada ni idadi ya watu
Nimesema Tanzania ni kubwa karibu mara mbili ya Kenya
Ajabu zinakaribiana idadi ya watu
Huoni Nchi yenye Shida hapo ni Kenya
 
Tumia Akili kujibu sio kukurupuka kama mnywa Chang'aa
Mada ni idadi ya watu
Nimesema Tanzania ni kubwa karibu mara mbili ya Kenya
Ajabu zinakaribiana idadi ya watu
Huoni Nchi yenye Shida hapo ni Kenya
Hivi hapo sijaongelea idadi ya watu wee mnywa gongo?
 
Kibera manispaa council ,shame on you unaeona watu laki mbili kasoro Ni kidogo
This is the problem of arguing with albino eater. The 187k is the total number of people in Kibera constituency and the constituency is divided into groups. Kibera slum is one part of Kibera constituency. Others are Lindi estate, Kenyatta, Golf course. This part is also Kibera.
4lrxyHO.jpg
download (4).jpg
 
Magu tatizo lake anafikiri kama mtu ambaye hajasoma. Anafikiri population kubwa ndio italeta mali kwenye nchi. Industrialisation ndio itasaidia nchi za Afrika.
Kwenye issue ya industrialization huyo Magu unae sema hafikirii vizuri anasemaje?
 
Back
Top Bottom