carter
JF-Expert Member
- Jan 23, 2009
- 3,664
- 4,259
Hiyo idadi ya watu iko sahihi? Au ilitengenezwa na wanywa Chang'aa wa kiambuu?Magu tatizo lake anafikiri kama mtu ambaye hajasoma. Anafikiri population kubwa ndio italeta mali kwenye nchi. Industrialisation ndio itasaidia nchi za Afrika.