Kenya's population stands at 47.6 million; Nairobi most populous county with 4.4 million people. A breakdown

Kenya's population stands at 47.6 million; Nairobi most populous county with 4.4 million people. A breakdown

Kunyan after kushindwa argument,
Karne hii mnapewa misaada ya chakula,
Unasema population yenu ni ndogo sasa mbona mnashindwa kuilisha hiyo population ndogo 😂😂😂 hadi msaidiwe na UAE pamoja na China.
Hapo sasa, wao kidogo lakini kujikimu chakula mgogoro
 
Nynyi mliamua kula albino na kinyesi...kwhyo ni uamuzi wenu, sisi hatuyawezi hayo..wakileta hatutokataa km tulivyowapa nynyi
Hivi wewe huwa una umri gani?
Una akili za kitoto sana, mtu anawezaje kuishi kwa kula hivyo vitu?
 

Hata hivyo ninyi mkiongezeka ndio furaha kwa Tanzania, sababu ndio inapata soko kubwa zaidi la mazao yake, kikubwa ni watanzania kuzidi kuzalisha zaidi sababu soko la uhakika lipo, takwimu zinaonesha Tanzania ndio msambazaji mkubwa wa vyakula pamoja na malighafi za viwandani nchini Kenya.
 
And for those who used to lie here that Kibera is 2.5 million people shame on you. According to 2019 census Kibera is only 185,000 people with 61,690 households. In every household there were averagely 2.9 people. This means that there are approximately 10,281 house structures in Kibera.
Kibera manispaa council ,shame on you unaeona watu laki mbili kasoro Ni kidogo
 
Dar si kubwa,Ni watu wengi wamejazana kwa slums....70 percent of which.as for a good city,nairobi is waaaay up there.
Eneo ambalo wakazi watatu wa Nairobi wanaishi ni sawa na eneo analo kaa mkazi mmoja tu wa Dar anaishi, mbaya zaidi pia resources kama maji ni shida huko Nairobi

Nimesoma BBC ni 50% tu ya Nairobi wana access to water wakati Dar ni 95% (tap water)
 
Eneo ambalo wakazi watatu wa Nairobi wanaishi ni sawa na eneo analo kaa mkazi mmoja tu wa Dar anaishi, mbaya zaidi pia resources kama maji ni shida huko Nairobi

Nimesoma BBC ni 50% tu ya Nairobi wana access to water wakati Dar ni 95% (tap water)

Lagos 1,171 km²
Dar 1,590 km²

dar is the largest city in Africa kudos!!
 
Living in denial won't save your ass
True my friend SI you have seen after cooking figures of 7.2% it later came out to be 4.1% and then learn later that Koroshow farmers have not been paid.
 
Tajiri huwa na watoto wasiozidi wawili ila masikini anakuwa na watoto zaidi ya watano.
Mentality ya kimagharibi, kuna watu matajiri duniani hapa kama waarabu? Si mshukuru waarabu wana familia kubwa mpaka dada zenu wa kikenya wamepata housemaid opportunities na kupunguza uhaba wa ajira Kenya.

Waarabu nao wangekua na hiyo mentality dada zenu wasingepata ajira therefore unemployment Kenya ingekua kubwa mara dufu.
 
Back
Top Bottom