Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,867
- 19,250
Tanzania ukiwa na watoto wengi ndio unapanua majaruba zaidi ya mpunga na mashamba ya pambaNa vile vyuma vimekaza hivi na population ndogo hivi hebu jiulize ya Tz je na wako 60+ million?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzania ukiwa na watoto wengi ndio unapanua majaruba zaidi ya mpunga na mashamba ya pambaNa vile vyuma vimekaza hivi na population ndogo hivi hebu jiulize ya Tz je na wako 60+ million?
Hapo sasa, wao kidogo lakini kujikimu chakula mgogoroKunyan after kushindwa argument,
Karne hii mnapewa misaada ya chakula,
Unasema population yenu ni ndogo sasa mbona mnashindwa kuilisha hiyo population ndogo 😂😂😂 hadi msaidiwe na UAE pamoja na China.
Nimeona kuna ombwe kubwa la kutafsiri data hukuUkubwa wa Tanzania
Ni Kenya +Uganda+Burundi+Rwanda
Na change inabakia
Hilo hujaliona?
LDC ni jina tu la mzungu, kikubwa ni kujitosheleza kwa mahitaji muhimu, China yenyewe bado ni developing countryNa hiyo ukubwa yote ndiyo bado mko nao LDC
Hivi wewe huwa una umri gani?Nynyi mliamua kula albino na kinyesi...kwhyo ni uamuzi wenu, sisi hatuyawezi hayo..wakileta hatutokataa km tulivyowapa nynyi
Wapo wengi kwao sababu wanao uwezo wa kuwamudu, hakuna ambae hapendi watoto kama uwezo wa kuwatunza upo.Maskini na ngono Ni Kama Chanda na Pete na ndio maana Tanzanians wanazaana Kama panya. joto la jiwe si mko zaidi ya watoto 6 kwa familia yenu?
Kibera manispaa council ,shame on you unaeona watu laki mbili kasoro Ni kidogoAnd for those who used to lie here that Kibera is 2.5 million people shame on you. According to 2019 census Kibera is only 185,000 people with 61,690 households. In every household there were averagely 2.9 people. This means that there are approximately 10,281 house structures in Kibera.
Living in denial won't save your assKENYA
47 million - GDP $100billion
Vs
Tanzagiza
60 million - GDP $55billion
Huo ndio ukweli unless you have alternative date to refute the same.
Those are the facts, you are the one living in denial.Living in denial won't save your ass
Dar si kubwa,Ni watu wengi wamejazana kwa slums....70 percent of which.as for a good city,nairobi is waaaay up there.Lakini Dar Ni kubwa karibu mara 3 ya Nairobi
kulialia tu ndio zako…..you are a poor country my friendLiving in denial won't save your ass
sasa watulete ya tandaleKibera manispaa council ,shame on you unaeona watu laki mbili kasoro Ni kidogo
Eneo ambalo wakazi watatu wa Nairobi wanaishi ni sawa na eneo analo kaa mkazi mmoja tu wa Dar anaishi, mbaya zaidi pia resources kama maji ni shida huko NairobiDar si kubwa,Ni watu wengi wamejazana kwa slums....70 percent of which.as for a good city,nairobi is waaaay up there.
Eneo ambalo wakazi watatu wa Nairobi wanaishi ni sawa na eneo analo kaa mkazi mmoja tu wa Dar anaishi, mbaya zaidi pia resources kama maji ni shida huko Nairobi
Nimesoma BBC ni 50% tu ya Nairobi wana access to water wakati Dar ni 95% (tap water)
Ina faida gani?Lagos 1,171 km²
Dar 1,590 km²
dar is the largest city in Africa kudos!!
True my friend SI you have seen after cooking figures of 7.2% it later came out to be 4.1% and then learn later that Koroshow farmers have not been paid.Living in denial won't save your ass
Akili zako Ni za ki-ldcWapo wengi kwao sababu wanao uwezo wa kuwamudu, hakuna ambae hapendi watoto kama uwezo wa kuwatunza upo.
Tajiri huwa na watoto wasiozidi wawili ila masikini anakuwa na watoto zaidi ya watano.Tanzania ukiwa na watoto wengi ndio unapanua majaruba zaidi ya mpunga na mashamba ya pamba
Mentality ya kimagharibi, kuna watu matajiri duniani hapa kama waarabu? Si mshukuru waarabu wana familia kubwa mpaka dada zenu wa kikenya wamepata housemaid opportunities na kupunguza uhaba wa ajira Kenya.Tajiri huwa na watoto wasiozidi wawili ila masikini anakuwa na watoto zaidi ya watano.