Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
njoo tu nitakuonyesha maisha mema mremboπππWananchi gani au wa nchi gani wanaishi vyema!!
Unachekesha wewe
Jamaa Kituko kabisaMkuu mada zingine unajipima na uwezo wako au taaluma yako ukiona sio uwanja wako wa kujidai usichangie bali unasoma maoni ya wadau wengine waliokuwa na ufahamu wa kutosha juu ya suala husika.
Unatuaibisha sana mkuu.
Economic growth is rationed by the particular GDP sasa unataka kuongea economic growth lakini hutaki GDP you are insanehio haijalishi...nchi zote hizo ziko kwenye kikundi kimoja cha developing countries....angalia GDP per capita pia...
hahahaha how much money? ama utaniambia abiria 300ππππemergency landing imesaidia sana kutuingizia pato na kuioaisha tanzania kimataifa, alaf ukuta usikuume kiasi hicho heheh au kwa vile uhuru kashindwaππ
haya basi nataka nikupe nchi ingine...Ghana na Morocco zote zinakua kwa asilimia ndogo ndogo...swali ni hili...does this mean that tz imeshinda Ghana na Morocco kwenye maendeleo? usiwe kana kwamba huna akili we jamaa bana...ni kawaida sana nchi zilizo maskini wa kutupwa kama ethiopia na tz kukua kwa asilimia kubwa..Economic growth is rationed by the particular GDP sasa unataka kuongea economic growth lakini hutaki GDP you are insane
hatuna itikadi za kupika data sisi sio watu wasifa ππ tanzania itawaumiza sana kichwa πππ bega kwa bega tuVipi mbona uchumi wenu umekua kwa asilimia 7 tangu wakati wa kikwete na hajawai toka kwa $50bn mark sai 2018 ndio ati mnafika $56bn kwenye tulikuwa 2013?....jibu ni rahisi ccm inapika data
kwanza malipo ya viza kwa watu 500, hoteli zilihandle 500 people migahawa ilifanya kazi, landing fee and parking payments, transport charges from airport to hotel and hotel to airportππππhahahaha how much money? ama utaniambia abiria 300ππππ
ππππhatuna itikadi za kupika data sisi sio watu wasifa ππ tanzania itawaumiza sana kichwa πππ bega kwa bega tu
View attachment 767697
pwahahahaa ila mnabebewa watalii na emirates..sio?ππππ where are the bombardier mitungi ya chang'aa?kwanza malipo ya viza kwa watu 500, hoteli zilihandle 500 people migahawa ilifanya kazi, landing fee and parking payments, transport charges from airport to hotel and hotel to airportππππ
faida ya pili ilitutangaza kua tuko vzr na tumeweza ku handle airbus A380 pasipo matarajio
Hahaha hata nchi maskini Africa huzijui sasa nipe economic growth rates za central Africa republic, Senegal, Malawi, Madagascar, Eritrea, Sudan, Somaliahaya basi nataka nikupe nchi ingine...Ghana na Morocco zote zinakua kwa asilimia ndogo ndogo...swali ni hili...does this mean that tz imeshinda Ghana na Morocco kwenye maendeleo? usiwe kana kwamba huna akili we jamaa bana...ni kawaida sana nchi zilizo maskini wa kutupwa kama ethiopia na tz kukua kwa asilimia kubwa..
500 sio?ππππabiria walikua 500 people hehehe usilie plz
Hivi unajua hata maana tu ya GDP and it's interpretation in economics analysis?haya basi nataka nikupe nchi ingine...Ghana na Morocco zote zinakua kwa asilimia ndogo ndogo...swali ni hili...does this mean that tz imeshinda Ghana na Morocco kwenye maendeleo? usiwe kana kwamba huna akili we jamaa bana...ni kawaida sana nchi zilizo maskini wa kutupwa kama ethiopia na tz kukua kwa asilimia kubwa..
ndege kama hizo zikitua humu hatuchukui mapicha kana kwamba washamba wa dunia...sie tumezoeauhaha airbus A380 kutua dar imekua pigo sana kwenu maana haiwatoki mdomoniππππ