kenyatta amekosa majibu juu ya mwelekeo wa uchumi nchini baada ya kuonekana uchumi kushuka kila mwaka

bro dont bother....these figures are offered by the world Bank and IMF...sasa sijui kenya ilipika aje data..
Wananchi gani au wa nchi gani wanaishi vyema!!
Unachekesha wewe
njoo tu nitakuonyesha maisha mema mrembo😉😉😉
 
Mkuu mada zingine unajipima na uwezo wako au taaluma yako ukiona sio uwanja wako wa kujidai usichangie bali unasoma maoni ya wadau wengine waliokuwa na ufahamu wa kutosha juu ya suala husika.

Unatuaibisha sana mkuu.
Jamaa Kituko kabisa
na bahati mbaya Nchi yenyewe ya Kenya haijui
 
hio haijalishi...nchi zote hizo ziko kwenye kikundi kimoja cha developing countries....angalia GDP per capita pia...
Economic growth is rationed by the particular GDP sasa unataka kuongea economic growth lakini hutaki GDP you are insane
 
emergency landing imesaidia sana kutuingizia pato na kuioaisha tanzania kimataifa, alaf ukuta usikuume kiasi hicho heheh au kwa vile uhuru kashindwa😀😀
hahahaha how much money? ama utaniambia abiria 300😀😀😀😀
 
Economic growth is rationed by the particular GDP sasa unataka kuongea economic growth lakini hutaki GDP you are insane
haya basi nataka nikupe nchi ingine...Ghana na Morocco zote zinakua kwa asilimia ndogo ndogo...swali ni hili...does this mean that tz imeshinda Ghana na Morocco kwenye maendeleo? usiwe kana kwamba huna akili we jamaa bana...ni kawaida sana nchi zilizo maskini wa kutupwa kama ethiopia na tz kukua kwa asilimia kubwa..
 
Vipi mbona uchumi wenu umekua kwa asilimia 7 tangu wakati wa kikwete na hajawai toka kwa $50bn mark sai 2018 ndio ati mnafika $56bn kwenye tulikuwa 2013?....jibu ni rahisi ccm inapika data
hatuna itikadi za kupika data sisi sio watu wasifa 😀😀 tanzania itawaumiza sana kichwa 😛😛😛 bega kwa bega tu
2D4FC589-EB43-40C0-984B-753DDEB6EB1C.jpeg
 
Hapa wengi tutaliwa vichwa! Nimeona ktk uchumi wa Tanzania na Ethiopia umepambanuliwa kwa alama ya nyota "*" kwa maelezo kuwa ni world bank projected. Sasa projection sio actual! inaweza kuleta +ve au -ve varience, hivyo takwimu zenye nyota ni makadilio tu bado hazijathibitishwa. Kwa muktadha huu huwezi kuwashindanisha kenya wenye actual growth vs projected growths.
 
hahahaha how much money? ama utaniambia abiria 300😀😀😀😀
kwanza malipo ya viza kwa watu 500, hoteli zilihandle 500 people migahawa ilifanya kazi, landing fee and parking payments, transport charges from airport to hotel and hotel to airport😀😀😀😀

faida ya pili ilitutangaza kua tuko vzr na tumeweza ku handle airbus A380 pasipo matarajio
 
pwahahahaa ila mnabebewa watalii na emirates..sio?😀😀😀😀 where are the bombardier mitungi ya chang'aa?
 
haya basi nataka nikupe nchi ingine...Ghana na Morocco zote zinakua kwa asilimia ndogo ndogo...swali ni hili...does this mean that tz imeshinda Ghana na Morocco kwenye maendeleo? usiwe kana kwamba huna akili we jamaa bana...ni kawaida sana nchi zilizo maskini wa kutupwa kama ethiopia na tz kukua kwa asilimia kubwa..
Hahaha hata nchi maskini Africa huzijui sasa nipe economic growth rates za central Africa republic, Senegal, Malawi, Madagascar, Eritrea, Sudan, Somalia
 
pwahahahaa ila mnabebewa watalii na emirates..sio?😀😀😀😀 where are the bombardier mitungi ya chang'aa?
uhaha airbus A380 kutua dar imekua pigo sana kwenu maana haiwatoki mdomoni😀😀😀😀
 
haya basi nataka nikupe nchi ingine...Ghana na Morocco zote zinakua kwa asilimia ndogo ndogo...swali ni hili...does this mean that tz imeshinda Ghana na Morocco kwenye maendeleo? usiwe kana kwamba huna akili we jamaa bana...ni kawaida sana nchi zilizo maskini wa kutupwa kama ethiopia na tz kukua kwa asilimia kubwa..
Hivi unajua hata maana tu ya GDP and it's interpretation in economics analysis?
 
uhaha airbus A380 kutua dar imekua pigo sana kwenu maana haiwatoki mdomoni😀😀😀😀
ndege kama hizo zikitua humu hatuchukui mapicha kana kwamba washamba wa dunia...sie tumezoea
 
Back
Top Bottom