Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
so hizo nchi hazina usalama wa airport? mbona unatumia makalio kufikiri?ππama uliskia ndege huwa zinatua kwenye battlefield? hakuna sehemu inachungwa kama airport so hio ndege inaweza ikatua hata kama ni somaliambona usalama umeiacha ???? au haina maanaππ
zita, tuki, tutamwez wa saba sio mbali nitakutafuta wala usijal
hahaha sio miezi saba tena?miez miwili ijayo sio mbali just 60 days heheheππ
Sisi hatuhitaji kuambiwa na kiongozi uchumi unakua tunajionea venye gdp yet inapepea tangu uhuru aingie madarakani 2014 tulikuwa $50bn miaka minne baadaye tuko $86bn si kushinda tukiambiwa oh jiwe la msingi, blabla hapa kazi tu bla bla, mtu ayamaze afanye kazi acha vitendo vionekana si kuishi ukiambia watu unafanya kaziπππgo on dreaming unafkiri magu ni kama uhuru kenyata anawadanganya atajenga ukuta mpaka na somali akajua ukuta ni kama kula makandeπππ
magu akisema na kitendo kinafuata hapo hapo
apana nakuuliza wewe sababu ndio umekuwa ukini explainiya...usianze kutapa tapawaulize emirates hilo swali kwasababu wao ndio waliongea hvo sasa kuna kitu wanakijua zaidi
nitakuwa humu tu ucjali...ndege zilianza kuja miaka miwili iliopita mpaka wa leo hazijafika nashangaa kwani zina elekea Jupiter au?ok lets wait and see lakin nitakutafuta πππ
hvi kati ya nairobi na dar wapi kuna usalama???so hizo nchi hazina usalama wa airport? mbona unatumia makalio kufikiri?ππama uliskia ndege huwa zinatua kwenye battlefield? hakuna sehemu inachungwa kama airport so hio ndege inaweza ikatua hata kama ni somalia
airport zote hizo ni salama...lakini leo umekamatwa kwenye makei...hvi kati ya nairobi na dar wapi kuna usalama???
usiwe kama mtoto mdogo usiefikiri
mm nimesikiliza vigezo vyao walivotoa na ndizo nimekwambia hapa na wao walisema walikua wana airport nne au tano za kutua lakin dar ndio airport yao walioichagua kwa emergency landings kutokana na vigezo vyao sasa unanilalamikia kwan mi emiratesππapana nakuuliza wewe sababu ndio umekuwa ukini explainiya...usianze kutapa tapa
hahaha yani sikutegemea jibu rahisi kias hicho yani usalama wa airport wa dar unaeza fananisha na usalama wa airport ya nairobi serious??? yani unaongea hadharani kabisaππππairport zote hizo ni salama...lakini leo umekamatwa kwenye makei...
nimkwambia hakuna sehem inayochungwa kama airport...so hata airport ya somalia au syria ni sawa tu na airport nyingine kwa usalama...ushaskia wapi airport imelipuliwa au wezi wamekamatwa airport wakiiba? ebu tafta kisha uniletee hapahahaha yani sikutegemea jibu rahisi kias hicho yani usalama wa airport wa dar unaeza fananisha na usalama wa airport ya nairobi serious??? yani unaongea hadharani kabisaππππ
basi niletee oficial link sio kutapa tapa hapamm nimesikiliza vigezo vyao walivotoa na ndizo nimekwambia hapa na wao walisema walikua wana airport nne au tano za kutua lakin dar ndio airport yao walioichagua kwa emergency landings kutokana na vigezo vyao sasa unanilalamikia kwan mi emiratesππ
pamoja broJay456watt upo vizuri kwa debate.
Naona unakaza almost peke yako lakini kwa watani zako tupo wengi.
Sema wengine wanaharibu mjadala wanachomekea matusi.