Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
so hizo nchi hazina usalama wa airport? mbona unatumia makalio kufikiri?😀😀ama uliskia ndege huwa zinatua kwenye battlefield? hakuna sehemu inachungwa kama airport so hio ndege inaweza ikatua hata kama ni somaliambona usalama umeiacha ???? au haina maana😀😀