kenyatta amekosa majibu juu ya mwelekeo wa uchumi nchini baada ya kuonekana uchumi kushuka kila mwaka

kenyatta amekosa majibu juu ya mwelekeo wa uchumi nchini baada ya kuonekana uchumi kushuka kila mwaka

mbona usalama umeiacha ???? au haina maana😀😀
so hizo nchi hazina usalama wa airport? mbona unatumia makalio kufikiri?😀😀ama uliskia ndege huwa zinatua kwenye battlefield? hakuna sehemu inachungwa kama airport so hio ndege inaweza ikatua hata kama ni somalia
 
so hizo nchi hazina usalama wa airport? mbona unatumia makalio kufikiri?😀😀
waulize emirates hilo swali kwasababu wao ndio waliongea hvo sasa kuna kitu wanakijua zaidi
 
go on dreaming unafkiri magu ni kama uhuru kenyata anawadanganya atajenga ukuta mpaka na somali akajua ukuta ni kama kula makande😀😀😀

magu akisema na kitendo kinafuata hapo hapo
Sisi hatuhitaji kuambiwa na kiongozi uchumi unakua tunajionea venye gdp yet inapepea tangu uhuru aingie madarakani 2014 tulikuwa $50bn miaka minne baadaye tuko $86bn si kushinda tukiambiwa oh jiwe la msingi, blabla hapa kazi tu bla bla, mtu ayamaze afanye kazi acha vitendo vionekana si kuishi ukiambia watu unafanya kazi😀😀😀
 
so hizo nchi hazina usalama wa airport? mbona unatumia makalio kufikiri?😀😀ama uliskia ndege huwa zinatua kwenye battlefield? hakuna sehemu inachungwa kama airport so hio ndege inaweza ikatua hata kama ni somalia
hvi kati ya nairobi na dar wapi kuna usalama???
usiwe kama mtoto mdogo usiefikiri
 
nitakuwa humu tu ucjali...ndege zilianza kuja miaka miwili iliopita mpaka wa leo hazijafika nashangaa kwani zina elekea Jupiter au?
haya tusubiri next two months😀😀😀😛
 
apana nakuuliza wewe sababu ndio umekuwa ukini explainiya...usianze kutapa tapa
mm nimesikiliza vigezo vyao walivotoa na ndizo nimekwambia hapa na wao walisema walikua wana airport nne au tano za kutua lakin dar ndio airport yao walioichagua kwa emergency landings kutokana na vigezo vyao sasa unanilalamikia kwan mi emirates😀😀
 
airport zote hizo ni salama...lakini leo umekamatwa kwenye makei...
hahaha yani sikutegemea jibu rahisi kias hicho yani usalama wa airport wa dar unaeza fananisha na usalama wa airport ya nairobi serious??? yani unaongea hadharani kabisa😀😀😀😀
 
hahaha yani sikutegemea jibu rahisi kias hicho yani usalama wa airport wa dar unaeza fananisha na usalama wa airport ya nairobi serious??? yani unaongea hadharani kabisa😀😀😀😀
nimkwambia hakuna sehem inayochungwa kama airport...so hata airport ya somalia au syria ni sawa tu na airport nyingine kwa usalama...ushaskia wapi airport imelipuliwa au wezi wamekamatwa airport wakiiba? ebu tafta kisha uniletee hapa
 
Jay456watt upo vizuri kwa debate.
Naona unakaza almost peke yako lakini kwa watani zako tupo wengi.

Sema wengine wanaharibu mjadala wanachomekea matusi.
 
mm nimesikiliza vigezo vyao walivotoa na ndizo nimekwambia hapa na wao walisema walikua wana airport nne au tano za kutua lakin dar ndio airport yao walioichagua kwa emergency landings kutokana na vigezo vyao sasa unanilalamikia kwan mi emirates😀😀
basi niletee oficial link sio kutapa tapa hapa
 
Back
Top Bottom