hamumwa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2022
- 754
- 664
Inawezekana maana sio kwa povu hiliHuyu jamaa ni shoga siyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana maana sio kwa povu hiliHuyu jamaa ni shoga siyo.
uzuri ni kwamba wewe hauko chadema ni ccm pure. Uhalisia wa uozo wa ccm unakuuma na kwa sababu you can not handle it, maumivu unayasukumia kwingine. Usijali sana, failing systems huwa ziko hivyo, zikiwa na shida ndani, hutafuta mchawi nje.CCM hana cha kujifunza ili kutoa haki kwa watu maana hiyo haina maslahi naye.
Wanapaswa kujifunza wanaotaka haki na kwa kuanzia kuwapurura wote wasiowaumini wa haki kwenye ranks zake.
Chama chenye kudai haki hakiwezi kuambatana na wapinga haki.
Hawa kina Yeriko, Waterluo, Yonda, mbingunikwenu nk waende tu huko Lumumba au hata mbinguni kama ndiyo kwao.
Huyu jamaa ni shoga siyo.
Inawezekana maana sio kwa povu hili
Utakuwa mmoja kati ya wale wajumbe mbambamba msiojitambua mnaotuchelewesha sana kupata katiba mpya.Unatoa ushauri, unalalamika, ama unajiongelesha wewe mwenyewe!?
Kutufanya sisi tuwe mambumbumbu kama Wajaluo wa Kenya hili kwetu Tanzania haliwezakani.
uzuri ni kwamba wewe hauko chadema ni ccm pure. Uhalisia wa uozo wa ccm unakuuma na kwa sababu you can not handle it, maumivu unayasukumia kwingine. Usijali sana, failing systems huwa ziko hivyo, zikiwa na shida ndani, hutafuta mchawi nje.
hata akina bashiru, pole pole hata JPM waliposhindwa kusolve interval strives za ccm, hasira zao wakazihamishia upinzani
Kudai haki ni ngumu sana, wengi wanaijua haki ni ile inayowahusu wao pekee, hawajui kama kuna haki za wengine nazo wanatakiwa kuziheshimu, haki zinatofautiana kulingana na makundi tofauti, heshimu haki za wenzio ili nao waheshimu zako, hii ndio sheria ya mchezo.
Mfano hilo la ushoga, huwa naona wengi wakilaani ushoga wanaegemea kwenye vitabu vitakatifu kwamba haviruhusu, sawa hata kama haviruhusu, nani anayetupa sisi wengine mamlaka ya kuwahukumu mashoga?
Ukweli ni kwamba wakati ukimnyooshea mwenzio kidole kimoja, tukumbuke vipo vingine vinatugeukia wenyewe, hilo ni kumbusho tosha toka kwa Mungu kuja kwetu wanadamu, kwamba ni yeye pekee ndie asiye na kasoro, mkamilifu.
Mbona tunajivika uungu kuwahukumu mashoga kinafiki ikiwa nasi tuna dhambi zetu nyingi tumezikalia kimya kimya? kazi ya kuhukumu ni ya Mungu pekee, wanadamu tusijivike hilo jukumu.
Pia kwa wazazi tunaolaani ushoga/usagaji kwa kuogopa wanetu wasijekujifunza, hapa la msingi ni jukumu letu kuwa karibu na wanetu kuhakikisha tunawasimamia karibu kimalezi, this is the only option.
Hii dunia haiwezi kwisha dhambi, wala tusipoteze muda kushindana na nature, Mungu kwa uwezo wake kama angekuwa hawataki mashoga hapa duniani angewaondoa, lakini siku zote andiko lazima litimie, kuhangaika kulifuta kwa midomo na kunyooshea wengine vidole ni kujidanganya.
Hebu acha kutokwa povu tupe uhusiano wa Kenyatta kusimama na Ruto.Imekuwa ni kawaida kwa wajuaji uchwara wa bongo kumwona Raila kama mkabila na mpuuzi fulani.
How Ruto allies provoked Uhuru to get involved in politics
Kenyatta kusimama na Odinga njoo 2027 kama bado siyo funzo kwa wajuaji uchwara hawa watajifunza lini?
Cha kusikitisha zaidi baadhi ya wajuaji uchwara hao wamo hata ndani ya vyama tegemeo kama Chadema.
Watu wasiojua maana ya haki, wasioamini katika haki au wasiosimama na haki bIla kujali maslahi binafsi hawana msaada wowote katika chama au nchi.
Watu wenye kuwanyanyapaa wapalestina, waukraine, na hata mashoga hawawezi katu kuwa hazina kwa chama au taifa lolote lenye kuamini kwenye ustaarabu.
Ushauri wa bure kwa Chadema, fukuza watu wote wa namna hiyo mara moja. Ni heri kuwa na watu wachache waliodhamiria kuliko kuwa na rundo la wasiojitambua.
Waende kwa mambuzi huko ambako kukalia haki za wengine kwao ni jadi.
Punguza bangi wewe utavaa chupi kichwani nini sasa unachosema?Bangi unazo wewe. CCM Hana cha kujifunza namna ya kupata katiba mpya itakauotupa sote haki sawa kama wadau wa nchi hii. Ni wapumbavu peke yake wenye kumsubiri CCM ajifunze namna ya kuwapa katiba mpya.
Bure kabisa!
Hii ni mada chokonozi inayokulazimu wewe na wengine kutanua bongo zenu kwa manufaa yenu, lakini kwa hilo jibu ulilotoa hapo juu unaonesha vile umeamua kujibanza kwenye blanketi la mazoea ya kifikra, hutaki kabisa kutoka nje ya box.Huyu jamaa ni shoga siyo.
Ulivyotetea tu ushoga umenichefua!!Imekuwa ni kawaida kwa wajuaji uchwara wa bongo kumwona Raila kama mkabila na mpuuzi fulani.
How Ruto allies provoked Uhuru to get involved in politics
Kenyatta kusimama na Odinga njoo 2027 kama bado siyo funzo kwa wajuaji uchwara hawa watajifunza lini?
Cha kusikitisha zaidi baadhi ya wajuaji uchwara hao wamo hata ndani ya vyama tegemeo kama Chadema.
Watu wasiojua maana ya haki, wasioamini katika haki au wasiosimama na haki bIla kujali maslahi binafsi hawana msaada wowote katika chama au nchi.
Watu wenye kuwanyanyapaa wapalestina, waukraine, na hata mashoga hawawezi katu kuwa hazina kwa chama au taifa lolote lenye kuamini kwenye ustaarabu.
Ushauri wa bure kwa Chadema, fukuza watu wote wa namna hiyo mara moja. Ni heri kuwa na watu wachache waliodhamiria kuliko kuwa na rundo la wasiojitambua.
Waende kwa mambuzi huko ambako kukalia haki za wengine kwao ni jadi.
Hawa nao ni watoto? Au Hawa wanakushangaa wewe Lumumba hapo?Watoto watupu wa MAENEO ya busunzu wanaoshangaaa masipika tuuu
Ulivyotetea tu ushoga umenichefua!!
Endelea kushughulikiwa
wafuasi wa CHADEMA wengi ni wazee wa Upinde
Mawazo duni kabisa kutokea Lumumba. Mambuzi ushoga no suala binafsi na si msingi wa hoja hapa.
Hoja hapa ni fukuza wote wasiowaumini wa haki. Chadema ni chama Cha wapigania haki kama wewe si mmoja wa wapigania haki wahi Lumumba huko.
Kwa wananchi wa Tanangozi. Unabisha?Chadema ni tegemeo kwa nani?
Jambo la kujiuliza ni kama Katiba Mpya itazitambua haki za makundi mbalimbali, na kama ikizitambua, vipi hawa wabishi wataiona Katiba Mpya imekosewa?Umeandika vyema ila tuna rundo la mambuzi hadi Chadema. Lissu ana kazi sana kulifahamisha rundo la warugaruga hawa kuhusu haki zikiwamo zao wenyewe.
Ushauri wa bure, wasio waumini wa haki hawana la kufanya, tija, mchango, Wala umuhimu wowote.
Washauriwe kuwahi Lumumba huko!
Haisaidii kulea majinga hayo ndiyo yanayo tuchelewesha kupata katiba mpya
Ni heri kuwa na wachache wenye kujitambua kuliko rundo la mambuzi aina ya Lumumba chamani.