Kenyatta anaposimama na Odinga, CHADEMA mnayo ya kujifunza

uzuri ni kwamba wewe hauko chadema ni ccm pure. Uhalisia wa uozo wa ccm unakuuma na kwa sababu you can not handle it, maumivu unayasukumia kwingine. Usijali sana, failing systems huwa ziko hivyo, zikiwa na shida ndani, hutafuta mchawi nje.

hata akina bashiru, pole pole hata JPM waliposhindwa kusolve interval strives za ccm, hasira zao wakazihamishia upinzani
 
Unatoa ushauri, unalalamika, ama unajiongelesha wewe mwenyewe!?
Utakuwa mmoja kati ya wale wajumbe mbambamba msiojitambua mnaotuchelewesha sana kupata katiba mpya.

Katiba ipya italetwa na wenye kujitambua ambako kwao haki ndiyo msingi pekee.

Kwenye hilo ninyi ni wa kufurusha mapema iwezekanavyo mkajiunge na mambuzi wenzenu huko.
 
Kutufanya sisi tuwe mambumbumbu kama Wajaluo wa Kenya hili kwetu Tanzania haliwezakani.

Ma mbumbumbu ni wasioweza kuchukua hatua kuhusiana na haki zao.

Kwa makamanda waliolowa maji kama wewe heri wafanyabiashara wa kariakoo.

Katiba mpya gani au kutoka wapi inapatikana na na makamanda uchwara kama wewe mjomba?

Lissu anajua umuhimu wa kujifunza kutoka Kenya ila mambuzi wa pale Lumumba.

Msalimie Joni huko maskani kwenu.
 

Kwani hata ni mashindano ya kuwa au kutokuwa chadema?

Kwamba wewe usiyejitambua wala kutambua una nini mkononi?

Kama tunataka Katiba Mpya, Tusiionee "Haya" Haki ya awaye yote

Kwamba wewe ni chadema? Kama uko chadema siyo hii tuliyo na imani nayo wengine itakayoleta katiba mpya sasa:

Tuna Imani na CHADEMA hii, wala si nyingine
 

Umeandika vyema ila tuna rundo la mambuzi hadi Chadema. Lissu ana kazi sana kulifahamisha rundo la warugaruga hawa kuhusu haki zikiwamo zao wenyewe.

Ushauri wa bure, wasio waumini wa haki hawana la kufanya, tija, mchango, Wala umuhimu wowote.

Washauriwe kuwahi Lumumba huko!

Haisaidii kulea majinga hayo ndiyo yanayo tuchelewesha kupata katiba mpya

Ni heri kuwa na wachache wenye kujitambua kuliko rundo la mambuzi aina ya Lumumba chamani.
 
Hebu acha kutokwa povu tupe uhusiano wa Kenyatta kusimama na Ruto.

Tuelezee historia fupi wako wapi chama kikongwe CHA KANU? Maana Kenya walikubali kuacha tofauti zao wakatengeneza katiba mpya na kuweka uwanja sawa wa kufanya siasa. Hawa majambazi ya CCM yasiyotaka kuweka uwanja sawa wa kufanya siasa siyo wajuaji uchwara bali ni wahanga wa ukatili ndio wakosaji? Bangi hizi!

Chama kinachotegemewa na nani? CHADEMA haiwezi kutegemewa na wajinga kama mtoa post hii. Sema ujuaji gani kama siyo undezi.

Haki gani ambazo CHADEMA hakuna ukilinganisha na CCM? Haki za kuhujumiwa?

Kama siyo upumbavu CHADEMA wapi imewanyanyapaa hayo makundi uliyoyataja? Tupe uthibitisho.

Na unatarajia CHADEMA ni wapumbavu kama wewe wafanyie kazi upuuzi
 
Bangi unazo wewe. CCM Hana cha kujifunza namna ya kupata katiba mpya itakauotupa sote haki sawa kama wadau wa nchi hii. Ni wapumbavu peke yake wenye kumsubiri CCM ajifunze namna ya kuwapa katiba mpya.

Bure kabisa!
Punguza bangi wewe utavaa chupi kichwani nini sasa unachosema?
 
Ulivyotetea tu ushoga umenichefua!!

Endelea kushughulikiwa
 
Ulivyotetea tu ushoga umenichefua!!

Endelea kushughulikiwa

Katiba mpya itapatikana na wapigania haki. Ipo tofauti kubwa baina ya ushoga na utetea haki. Kama wewe ni mshughulikiwa usidhani kila mtu ni mshughulikiwa. Lissu ni mpigania haki lakini si mshughulikiwa. Alipo Tupo!
 
wafuasi wa CHADEMA wengi ni wazee wa Upinde

Mawazo duni kabisa kutokea Lumumba. Mambuzi ushoga no suala binafsi na si msingi wa hoja hapa.

Hoja hapa ni fukuza wote wasiowaumini wa haki. Chadema ni chama Cha wapigania haki kama wewe si mmoja wa wapigania haki wahi Lumumba huko.
 
Mawazo duni kabisa kutokea Lumumba. Mambuzi ushoga no suala binafsi na si msingi wa hoja hapa.

Hoja hapa ni fukuza wote wasiowaumini wa haki. Chadema ni chama Cha wapigania haki kama wewe si mmoja wa wapigania haki wahi Lumumba huko.

simameni majukwaani mujitangaze kama hamtobakia peke yenu mkapoteza wafuasi karibu ya wote.
 
MmeeeeeeπŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜…
Mambuzi Oyeeee
 
Jambo la kujiuliza ni kama Katiba Mpya itazitambua haki za makundi mbalimbali, na kama ikizitambua, vipi hawa wabishi wataiona Katiba Mpya imekosewa?

Kwasababu nikitazama hili jambo kwa upeo wao, ni kama wanaona hii nchi inaendeshwa kwa sheria za kidini, ndio maana wanatumia maandiko matakatifu kuwahukumu mashoga, wao wanasahau serikali yetu haina dini.

Haya mambo yanawahitaji watu kupanua fikra zao sana, ndio maana tumeachwa mbali na wazungu tunaowaona washenzi, kumbe sisi ndio wajinga tunaojidanganya kwa kujivika utakatifu ambao kimsingi hatuna, tumeamua tu kuishi gizani na kuridhika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…