Kenyatta anaposimama na Odinga, CHADEMA mnayo ya kujifunza


Kulikuwa na kawimbo:

"Nyerere yupo ukiona kundi la wapigania haki na yeye yupo."

Kina Che Guevara walikuja kupigania haki hadi DRC. Wakafia ugenini Cuba huko, kama mashujaa.

Chadema ni movement ya haki. Wa nini wasioamini kwenye haki?

Odinga hana rundo la wapumbavu. Ana wachache waliodhamiria na kazi inaendelea.

Odinga ana agenda zake zinazokubaliwa na wakenya. Agenda hizo si za kikabila kama zinavyodaiwa na wapuuzi wa kwetu. Agenda zake kwao wanazitambua kuwa ni za haki ndiyo maana anaungwa mkono.

Tunazo zetu za haki tunazozipigania kupitia chadema. Mbinu za kupigania haki ni zile zile kote duniani.

Hupiganii haki na wasio waumini wa haki.

Hapo ndipo tunapokwama sisi.

Tuna wajumbe mizigo baina yetu. Hawa ni heri kuwafurusha kuliko kuwa nao.
 
Kwa upuuzi unataka kulazimisha kuwa CHADEMA siyo chama kinachopigania haki, hapo ndipo bangi zako zinapoonekana dhahiri.

Je CHADEMA haipiganii haki? Mbowe na CHADEMA wamevuka level ya harakati ndio maana wamekaa na kufikia muafaka na sasa tunaenda kwenye mchakato wa katiba mpya, kesi za kisiasa na wafungwa wa kisiasa wameachiwa. Wewe unazungumzia harakati twende tukaandamane barabarani kama Odinga? Pathetic
 
wafuasi wa CHADEMA wengi ni wazee wa Upinde
Chadema ni chama Cha kihafidhina maana ni mrengo wa kati-kulia so ni ngumu ku support LGBTQ. Dunia nzima conservatives hardly tolerate homosexuality.
 
Braza, Duh
Unarukaruka tu, tena kana mkojo wa mbuzi! How ironic.
.......Nauliza tena,
1.Uhuru anaenda kugombea Uraisi tena?
2.Wawekezaji uchwara wafukuzwe kwa kukwepa kodi? Manake wapo watu wa namna hiyo au?

Ukinijibu siweki picha ya mambuzi na wale wanaodhulumu haki za wenzao.
 
.

Watu wenye kuwanyanyapaa wapalestina, waukraine, na hata mashoga hawawezi katu kuwa hazina kwa chama au taifa lolote lenye kuamini kwenye ustaarabu.
.

Nmesoma Nmeishia hapo,nmekupuuza[emoji115]
 
Uneandika kitu kigumu mnoo nashindwa kukoment
 
Akihukumiwa na kulaaniwa bwana yule ni sawa ila wakihukumiwa mashoga ndio tunakumbuka kwamba Mungu ndio pekee mwenye haki ya kuhukumu.
Bwana yupi huyo unayemzungumzia?
 
Wanasiasa makini wajifunze nini kutoka kwa Uhuru na Raila? Raila aliuza "legacy" yake ili k apate urais kupitia kura za Wakikuyu. Uhuru alimsaliti Ruto asiyekuwa na jina kubwa na kuungana na Raila mwenye jina kubwa ili nchi ya Kenya iendelee kuongozwa na familia zenye majina makubwa. Wanasiasa wa Tanzania hawana chochote cha maana cha kujifunza kutoka kwa hao wawili. Sana sana kitu cha kujifunza hapo ni jinsi raia wa Kenya walivyopevuka na kukataa uongozi wa kurithishana.
 
Umepotoka katika hili.
Halafu umetuhumu kijumla jumla tu.

Tambua kupenda haki hakumaanishi kukubaliana na upuuzi na uovu kama ushoga.
 
Wewe tayari unayo ndio maana unatoa hoja za kibangibangi
Mara hii umesahau ulikuwa umesema je? Kukumbusha haya ni hapa chini ni maneno yako:



Tulishakubaliana ambaye tayari keshatupia kama kofia ni wewe.
 
Umepotoka katika hili.
Halafu umetuhumu kijumla jumla tu.

Tambua kupenda haki hakumaanishi kukubaliana na upuuzi na uovu kama ushoga.

Ushoga upi unaouongelea wewe? Mada hii siyo ya ushoga ndugu. Kama lengo lako ni kujadili ushoga uko kwenye jukwaa jingine.
 

Ya kujifunza yako mengi pa kuanzia ni mnavyofichama uvunguni mkiitwa kutokea kwenye maandamano kama mapanya au kuku waliomwagiwa maji.

Wafanya biashara wa kariakoo wana ujasiri wa kukomaa na wanachoamini lakini si ninyi wenye kutaka kuwabeza wenye ujasiri wa kujisimamia.

Bure kabiisa!
 

Kwamba hujui unachoandika ni upuuzi ndugu?

Ushauri uliopo ni kwa chadema ambacho ni chama makini Cha kupigania haki kuwafurusha manungayembe ninyi msioamini katika haki.

Wapi unaposoma chadema kalaumiwa?

Kwamba unataka kuniwekea maneno mdomoni?

Koma wee!
 

Juruka ruka naona unafanya wewe.

Narudia Tena:

1. Rejea Iko kwenye mada Nini Uhuru atafanya. Mwenye macho haambiwi tazama!

Nakuongeza rejea nyingine hapa kama kusoma unajua :

Kenyatta sasa jino kwa jino na Ruto, atimua waliosaliti Jubilee

2. Ya kodi kaongee na Mwigulu Nchemba daktari wa uchumi huku sisi tunaongelea haki ndugu.

Habari ndiyo hiyo.
 
Polisi Marekani Wakizuia maandamano ya amani ya BLM(Black Lives Matter)

Picture: CNN edition
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…